Asante sana kwa mleta swali maana sio siri nilikuwa mbioni pia kuuliza swali kama hili hili! kwa maana hiyo mashine za wanawake siku hizi ni mbovu! maana ukipita kila kona wimbo ni huu huu, jamaa akipiga goli moja ndo mpaka kesho yake au baada ya siku hata tano hivi! yani mpaka unaanza kumuhisi vibaya yani. Kama mimi nilishawahi kuuliza, nilishoambiwa kwamba uchovu ndo unaomfanya awe hivyo? Kwa hiyo kwa kuwa unampenda inabidi uvumilie na kuamini hivyo hivyo siku ziende.
Pamoja na factors zote kuna factor moja kubwa ambayo tunaisahau. Sex ni psychological phenomenon. Ni kitu ambacho hujengwa kwa fikra zaidi hasa kwa binadamu.
Wanyama wao wamepewa uwezo wa kunusa na kupata harufu inayomuwezesha kujua kuwa mwenzake yupo kwenye "heat period" na hapo naye hupandwa na hormone za kufanya mapenzi au mating.
Binadamu tumenyimwa uwezo huo wa kutambua kwa harufu, na hivyo tumepewa uwezo wa kutumia vision, yaani ukiangalia maumbile ya mwanamke ndiyo yanayoweza kukufanya kujisikia kufanya nae mapenzi regardless yupo kwenye "heat period" au la.
Utamaduni wetu umechangia sana kumaliza matamanio ya wanaume kufanya ngono. Tamaduni hizi zinatokana na mavazi hasa kwa upande wa wanawake. Zamani enzi za mwalimu ilikuwa kuona mguu wa mwanamke au miraba ya nguo ya ndani ya mwanamke ashakum (chupi) ilikuwa ni kama kuona moto unawaka ndani ya maji. Na ukiona tu basi jamaa atakwenda nyuzi tisini mpaka atakuwa anauma.
Siku hizi kuona mgongo, matiti, makalio, mapaja, na hata wakati mwingine nguo ya ndani kabisa kama "thong" kimekuwa ni kitu cha kawaida. Sasa vitu kama hivi vyote vinawaondolea wanaume psychology ya kufikiria visivyofikirika na hata kuwapa hamu ya kufanya tendo mara kwa mara. Nakumbuka enzi za mwalimu ilikuwa mnamaliza shughuli unajisikia umechoka mkianza kuvaa tu ukimuangalia mwenzako mzee anataka tena na kuanza kupumua kwa ishara kama vile anasema, "tena! tana!, tena!, tena!". Unarudi mpaka unajisikia nothing comes out but air like.
Siku hizi haya hayapo kwani ukimuangalia mwenzako unaona ni kama wengine wengi ambao huwaona nje wengi tu waliokuwa wanakutesa siku za nyuma mpaka ukazoea.
Kuna studies zimefanyika zinakadiria kuwa wanaume wengi wameathirika kisaikolojia kiasi ya kupote uwezo wao wa kufanya ngono more and more.
Note: Heat period- ni kipindi ambacho ovum/ova zipo tayari kwa kurutubishwa endapo ita/zita kutana na sperm(s)