Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

Kwa maelezo zaidi pia tembelea tovuti hii
Viagra-Like Effects From Watermelon
 
Kunywa supu ya pweeza mambo yatakuwa mpwitompwito!
 
safi mzizimkavu, bali mi napenda kujuwa maana hasa ya nguvu za kiume, kwa sababu bila kufafanuwa hili tutawa-mislead watu. halafu umeelezea pia kuhusu ''vinywaji vyenye nguvu ili kujipa nguvu zaidi'', ndiyo vinywaji vipi hivyo?. ahsante

sasa mkuu nimeona post moja umeandika kuwa umeoa na una watoto, hao watoto walipatikanaje tafadhali tufahamishe ili tukufafanulie nini maana ya nguvu za kiume.
 
vyakula kama karanga, mihogo, nazi na matunda huongeza sana nguvu na uwezo wa mwanaume......pia ni muhmu kunywa maji angalau glass 5 kwa simu na kufanya kazi ama mazoezi ili utooe jasho kidogo..
 
Zipo sababu nyingi zinazosababisha wanaume kupungua nguvu za kiume katika hizo ni hizi zifuatazo:
1.ubugiaji wa tumbaku .
2.uvutaji wa sigara.
3.utafunaji wa mirungi.
4.unywaji wa pombe.
5.kupooza kwa mwili kunakosababishwa na maradhi.
6.ugonjwa wa kisukari.
7.kujisaidia kwa njia ya mkono. (Punyeto)
8.kuwa na mawazo kupita kiasi.
9.kufanya kazi ngumu.
TIBA YAKE:
chukua mbegu za tikiti maji zikaange halafu zitwange ili zitoe unga, chukua juici ya kitunguu thaumu lita moja na asali lita moja changanya pamoja juisi ya kitunguu thaumu na asali weka na vijiko kumi vikubwa vya unga wa tikiti maji koroga vizuri na uwe unakunya dawa hii kikombe kimoja cha kahawa mara tatu kila siku kwa muda wa wiki moja.

Chanzo: Mzizimkavu

Nimeipenda hii pia kuna moja kali sana inafanya kazi ndani ya siku chache yaani
si mchezo tatizo nashindwa kuiweka hapa kwa sababu nimegundua wengi hawajaoa
Humu JF hivyo ukiwawekea hapa utasababisha balaa anayehitaji atanipm
 
Sawa Mkuu Gazete nimeipenda hiyo Avatar yako Simba anaikimbiza Pikipiki ya Punda milia duhhhhhhh Simba ataweza kuikamata hiyo Pikipiki?
 
Nimeipenda hii pia kuna moja kali sana inafanya kazi ndani ya siku chache yaani
si mchezo tatizo nashindwa kuiweka hapa kwa sababu nimegundua wengi hawajaoa
Humu JF hivyo ukiwawekea hapa utasababisha balaa anayehitaji atanipm
PM ya nini mkuu, hapa si mnasema kuna talk openly tu? weka hapa hapa tunaoumwa ni wengi
 
mi nimezidiwa na minguvu ya kiume nitumie dawa gani ili nishuke kiwango na kuwafikieni nyie?
Kupunguza nguvu za kiume kunywa sana maji ya baridi,vyakula vya baridi nina maanisha vinavyotoka katika friji, ukipika chakula weka sana mafuta ya kupikia ukinywa chai weka sukari nyingi na pia tumia Mboga ya bamia mlenda kama jinsi ulivyoregea na wewe nguvu zako zitaregea utakuwa kama bamia ilivyoregea jaribu kufanya hivyo nguvu zitapungua ulizokuwa nazo.
 
Mmmmh!! Hapa si kuuana?
 
Nimeipenda hii pia kuna moja kali sana inafanya kazi ndani ya siku chache yaani
si mchezo tatizo nashindwa kuiweka hapa kwa sababu nimegundua wengi hawajaoa
Humu JF hivyo ukiwawekea hapa utasababisha balaa anayehitaji atanipm
Shusha darasa hapa..
 
Mkuu labda una sababu nyingine tofauti na hii, unataka kusema ambao hawajaoa hawajui ku-pm?! Maana utadhibitishaje kuwa kila atakayeku-pm ameoa/olewa???
 
Mmmmh!! Hapa si kuuana?
Mkuu Katavi Bujibuji si anataka Dawa ya kupunguza Nguvu za kiume? nimempa hizo dawa atumie nguvu zitampungua kichizi. Bujibuji anataka kinyume cha watu wanavyotaka nimempa dawa anazo zitaka. bujibuji analeta mambo ya kihuni na mimi nimemjibu kihuni unaseamaje Katavi?
 
Wandugu Hii si ile Formula aliyokuwa akielezea marehemu Manyota jinsi ya kuliita JINI MAHABA likusaidie kwenye kumstareheshea mkeo, na akasema ukikosea masharti JINI linakustareheshea wewe...POPOBAWA.. maana kila kitu kimekamilika isipokuwa namba 21 ameifichaficha, ila mara3 X 7days = (21).........mimi simo!!!

mi nimezidiwa na minguvu ya kiume nitumie dawa gani ili nishuke kiwango na kuwafikieni nyie?

Bujibuji, majibu umeshapewa na MziziMkavu tangu hapo awali!!
 
asante sana kwa shule hii maana sie wengine(punheta kule Libya) imeuua kabisa midude yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…