Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Mkuu SALMA2015 Hapa hakuna cha Jinni wa Shetani wala PopoBawa wewe kama una Mume wako au mpenzi wako ana matatizo nimekupa hiyo Formula atumie kisha unipe mimi Feedback. mimi ndio MziziMkavu Hauchimbwi Dawa, hiyo dawa inatibu hayo maradhi. Na Formula ukifuata utafanikiwa usipofuata Shauri yako. MAKE IT OR BREAK ITWandugu Hii si ile Formula aliyokuwa akielezea marehemu Manyota jinsi ya kuliita JINI MAHABA likusaidie kwenye kumstareheshea mkeo, na akasema ukikosea masharti JINI linakustareheshea wewe...POPOBAWA.. maana kila kitu kimekamilika isipokuwa namba 21 ameifichaficha, ila mara3 X 7days = (21).........mimi simo!!!
safi mzizimkavu, bali mi napenda kujuwa maana hasa ya nguvu za kiume, kwa sababu bila kufafanuwa hili tutawa-mislead watu. halafu umeelezea pia kuhusu ''vinywaji vyenye nguvu ili kujipa nguvu zaidi'', ndiyo vinywaji vipi hivyo?. ahsante
Maana ya Neno (Nguvu za kiume) yaani ni hivi mwanamme anapokuwa anafanya tendo la mapenzi kwa mwanamke huwa eidha ana maliza haraka au huwa akisha piga goli moja huwa tena hawezi kurudia tena hiyo mechi yake. Sisi humu ndani ya hii forumssafi mzizimkavu, bali mi napenda kujuwa maana hasa ya nguvu za kiume, kwa sababu bila kufafanuwa hili tutawa-mislead watu. halafu umeelezea pia kuhusu ''vinywaji vyenye nguvu ili kujipa nguvu zaidi'', ndiyo vinywaji vipi hivyo?. ahsante
asante mopaozi kwa ushauri na maelekezo lakini rijaal anaruhusiwa mtu wa dini yeyote? Maana ni dawa ya kisunna na inauzwa misikitinitafuta dawa inaitwa rijaal ipo misikitini nje watu wanaziuza tumia chupa nne na utakuwa rijali kweli ni dawa ya kisunna kama una malengo ya kuitumia ufanyie umalaya haifanyi kazi!
asante mopaozi kwa ushauri na maelekezo lakini rijaal anaruhusiwa mtu wa dini yeyote? Maana ni dawa ya kisunna na inauzwa misikitini
Nimekuwa na tatizo la kukojoa ndani ya ****** mawili tu nikiingiza mboo,kitendo hiki kimekuwa namkera sana mke wangu, kwani baada ya hapo itachukua masaa 6 mboo kusimama tena. Ninapokuwa nahamu ya tendo mke wangu amekua anakataa kwani namsumbua simfanyi akaridhika. Natafuta dawa ya kuponesha au kumalizia kabisa kwani kitendo cha mke wangu kuamua kuninyima inanifanya nitamani kufanya nje japo goli moja kwa **** mbili, lakini naogopa ukimwi wazee.
Nisaidie dawa ya kuondoa tatizo au kufanya mboo hii isisimame milele.
duuuuu pole,
Mluhusu nkeo akachapwe nje ?
Wakati unatafuta dawa lasivyo atakukimbia
duuuuu pole,
mluhusu nkeo akachapwe nje ?
Wakati unatafuta dawa lasivyo atakukimbia
muda mwingine ka huna cha kuchangia bora kukaa kimya tu sio mradi tu nawe ujaze wingi wa post.duuuuu pole,
Mluhusu nkeo akachapwe nje ?
Wakati unatafuta dawa lasivyo atakukimbia
je naeza anza tafuna kitunguu sawumu pekeemaana papa mkavu issue huku nilipodini yeyote hata mpagani pia chukua samaki papa mkavu tafuna na kitunguu swaumu inasaidia sn