Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

Wandugu Hii si ile Formula aliyokuwa akielezea marehemu Manyota jinsi ya kuliita JINI MAHABA likusaidie kwenye kumstareheshea mkeo, na akasema ukikosea masharti JINI linakustareheshea wewe...POPOBAWA.. maana kila kitu kimekamilika isipokuwa namba 21 ameifichaficha, ila mara3 X 7days = (21).........mimi simo!!!

Mkuu SALMA2015 Hapa hakuna cha Jinni wa Shetani wala PopoBawa wewe kama una Mume wako au mpenzi wako ana matatizo nimekupa hiyo Formula atumie kisha unipe mimi Feedback. mimi ndio MziziMkavu Hauchimbwi Dawa, hiyo dawa inatibu hayo maradhi. Na Formula ukifuata utafanikiwa usipofuata Shauri yako. MAKE IT OR BREAK IT
 
safi mzizimkavu, bali mi napenda kujuwa maana hasa ya nguvu za kiume, kwa sababu bila kufafanuwa hili tutawa-mislead watu. halafu umeelezea pia kuhusu ''vinywaji vyenye nguvu ili kujipa nguvu zaidi'', ndiyo vinywaji vipi hivyo?. ahsante

Nafahamu hii sio mara yako ya kwanza kuuliza nini maana ya nguvu za kiume! nna uhakika wewe una homoni za k.i.k.e
 
safi mzizimkavu, bali mi napenda kujuwa maana hasa ya nguvu za kiume, kwa sababu bila kufafanuwa hili tutawa-mislead watu. halafu umeelezea pia kuhusu ''vinywaji vyenye nguvu ili kujipa nguvu zaidi'', ndiyo vinywaji vipi hivyo?. ahsante
Maana ya Neno (Nguvu za kiume) yaani ni hivi mwanamme anapokuwa anafanya tendo la mapenzi kwa mwanamke huwa eidha ana maliza haraka au huwa akisha piga goli moja huwa tena hawezi kurudia tena hiyo mechi yake. Sisi humu ndani ya hii forums

Mwanamme kama huyu tunamwita ana Matatizo ya nguvu za kiume . Usije ukafikiria Nguvu za kiume ni kupigana ngumi la hasha Nguvu za kitandani unapokutana na mwanamke kwa ajili ya tendo la sex ndiyo hivyo Mkuu wangu. Nguvu za ngumi ni mbali na Nguvu a kiume ni mbali Unaweza kuwa na nguvu za ngumi lakini kwenye nguvu za kiume ukawa huna ni vitu viwili tofauti hivyo, kama una swali uliza utajibiwa tu.
 
Nimekuwa na tatizo la kukojoa ndani ya ****** mawili tu nikiingiza uume,kitendo hiki kimekuwa namkera sana mke wangu, kwani baada ya hapo itachukua masaa 6 uume kusimama tena. Ninapokuwa nahamu ya tendo mke wangu amekua anakataa kwani namsumbua simfanyi akaridhika. Natafuta dawa ya kuponesha au kumalizia kabisa kwani kitendo cha mke wangu kuamua kuninyima inanifanya nitamani kufanya nje japo goli moja kwa **** mbili, lakini naogopa ukimwi wazee.
Nisaidie dawa ya kuondoa tatizo au kufanya uume huu usisimame milele.
 
Jamani sidhani kama hii post hapa ni mahali pake, khaaah. Maneno makali sana.
 
Tafuta dawa inaitwa Rijaal ipo misikitini nje watu wanaziuzA tumia chupa nne na utakuwa rijali kweli ni dawa ya kisunna kama una malengo ya kuitumia ufanyie umalaya haifanyi kazi!
 
tafuta dawa inaitwa rijaal ipo misikitini nje watu wanaziuza tumia chupa nne na utakuwa rijali kweli ni dawa ya kisunna kama una malengo ya kuitumia ufanyie umalaya haifanyi kazi!
asante mopaozi kwa ushauri na maelekezo lakini rijaal anaruhusiwa mtu wa dini yeyote? Maana ni dawa ya kisunna na inauzwa misikitini
 
asante mopaozi kwa ushauri na maelekezo lakini rijaal anaruhusiwa mtu wa dini yeyote? Maana ni dawa ya kisunna na inauzwa misikitini

Dini yeyote hata mpagani pia chukua samaki papa mkavu tafuna na kitunguu swaumu inasaidia sn
 
Nimekuwa na tatizo la kukojoa ndani ya ****** mawili tu nikiingiza mboo,kitendo hiki kimekuwa namkera sana mke wangu, kwani baada ya hapo itachukua masaa 6 mboo kusimama tena. Ninapokuwa nahamu ya tendo mke wangu amekua anakataa kwani namsumbua simfanyi akaridhika. Natafuta dawa ya kuponesha au kumalizia kabisa kwani kitendo cha mke wangu kuamua kuninyima inanifanya nitamani kufanya nje japo goli moja kwa **** mbili, lakini naogopa ukimwi wazee.
Nisaidie dawa ya kuondoa tatizo au kufanya mboo hii isisimame milele.


Punguza tumbo hilo,unaona sifa kuwa na m-tumbo mkubwa utafikiri mimba.Wanaume wengi wana hayo matatizo kwa sababu ya unene na kula bila mpangilio.Vile vile piga viroba au valuu za kutosha kabla ya mechi
 
duuuuu pole,
Mluhusu nkeo akachapwe nje ?
Wakati unatafuta dawa lasivyo atakukimbia
 
dini yeyote hata mpagani pia chukua samaki papa mkavu tafuna na kitunguu swaumu inasaidia sn
je naeza anza tafuna kitunguu sawumu pekeemaana papa mkavu issue huku nilipo
 
Back
Top Bottom