Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo


Naona umepata ushauri wa kutosha kuhusu tiba, mazoezi nk....yote hayo ni vema kabisa. Lakini pia sina uhakika ni kwa nini unaamini ili kumridhisha mwanamke katika tendo la ndoa ni 'uume' peke yake. Muandae mkeo, ongeeni, tumia viungo vyako vingine (ulimi,vidole nk) kwa ufanisi....ukifanya hivi unaweza kumridhisha mkeo bila hata kuingiza uume wako au hata kama ukitaka kuingiza basi ni kwa muda mfupi sana. Jifunze kutumia viungo vyako vingine na nakuhakikishia hutajilaumu....actually, unaweza kujikuta unamaliza kila kitu bila kuutumia uume wako na bado ukajisikia vizuri tu....ni burudani sana kuona upande wa pili unavyofurahia mahaba!
 
Kuna kitu sielewi hapa...au ni issue ya multiple IDs?
(ambili) Muulizaji aliniuliza mimi huo ushauri wangu unatoka wapi kichwani mimi nikamjibu kwenye ubongo. Ninafikiri mkuu ambili alikuwa anamuuliza mkuu hashycool sio mimi. mimi nimejibu kimakosa samahani.
 
Reactions: SMU
(ambili) Muulizaji aliniuliza mimi huo ushauri wangu unatoka wapi kichwani mimi nikamjibu kwenye ubongo. Ninafikiri mkuu ambili alikuwa anamuuliza mkuu hashycool sio mimi. mimi nimejibu kimakosa samahani.
Kama ni hivyo, unaweza ku edit post yako au kui delete otherwise inaleta impression kwa msomaji kuwa wewe ndiye hashycool!
 
Mkuu haya ni matatizo ya muda fulani kwa wanaume karibu 87%. Nguvu za kiume upotea kwa msimu kutokana na mazingira tuliyomo ikiwemo majukumu (kufanya kazi kupita kiasi, magonjwa kama vindonda vya tumebo, kisukari, BP, nk). Pia unaweza kupoteza kwa kukosaa hamu ya tendo ahii haimaanishsi "umekufa" hasha, ni muda tu unarejea kwenye hali yako ya kawaida.

Tumia sana vyakula vya protini (korosho, Karanga, Matikiti maji ila usitoe mabegu, unga wa soya na jaribu mara chache kutafuta supu ya pweza) mkuu. Pia tumia kahawa na vitu kma karanga, korosho na asali. Tumia pia vyakula vyenye madini ya Zinc. ukiweza kupata supplements kwa mfano Ukienda kwenye baadhi ya maduka ya dawa makubwa kama Nakiete Mwenge kama upo Dar, pale Bunguruni, IPS kwa S.H. Amon nk uliza 21 Centrury Dietary supplements (one Daily Men's). Hizi ni mult-vitamins

kopo ina mfano huu, zipo hata za kike pia ( One Daily Women's) :



Ningewashauri mtumie hii kitu ambayo ina xombination za vitamini na madini mbalimbali kama ifuatavyo:


Supplement Facts:
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="colspan: 3"]Supplement Facts[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 3"]Serving Size: 1 Tablet[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 70%"] [/TD]
[TD="width: 17%"]Amount Per Serving[/TD]
[TD="width: 13%"]% DV[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Vitamin A (as acetate & 14% as beta carotene)[/TD]
[TD]3,500 IU[/TD]
[TD]70%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Vitamin C (as ascorbic acid)[/TD]
[TD]90 mg[/TD]
[TD]150%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Vitamin D (as cholecalciferol)[/TD]
[TD]400 IU[/TD]
[TD]100%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Vitamin E (dl-alpha tocopheryl acetate)[/TD]
[TD]45 IU[/TD]
[TD]150%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Vitamin K (as phytonadione)[/TD]
[TD]20 mcg[/TD]
[TD]25%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Thiamin (as Thiamin Mononitrate)[/TD]
[TD]1.2 mg[/TD]
[TD]80%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Riboflavin[/TD]
[TD]1.7 mg[/TD]
[TD]100%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Niacin (as Niacinamide)[/TD]
[TD]16 mg[/TD]
[TD]80%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Vitamin B6 (as pyridoxine HCl)[/TD]
[TD]3 mg[/TD]
[TD]150%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Folic Acid[/TD]
[TD]400 mcg[/TD]
[TD]100%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Vitamin B12 (as Cyanocobalamin)[/TD]
[TD]18 mcg[/TD]
[TD]300%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Biotin[/TD]
[TD]30 mcg[/TD]
[TD]10%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Pantothenic Acid (as d-Calcium Pantothenate)[/TD]
[TD]5 mg[/TD]
[TD]50%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Calcium (as Calcium carbonate)[/TD]
[TD]210 mg[/TD]
[TD]21%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Magnesium (as Magnesium Oxide)[/TD]
[TD]120 mg[/TD]
[TD]30%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Zinc (as Zinc Oxide)[/TD]
[TD]15 mg[/TD]
[TD]100%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Selenium (as Sodium Selenate)[/TD]
[TD]105 mcg[/TD]
[TD]150%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Copper (as Copper Oxide)[/TD]
[TD]2 mg[/TD]
[TD]100%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Manganese (as Manganese Sulfate)[/TD]
[TD]2 mg[/TD]
[TD]100%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Chromium (as Chromium Chloride)[/TD]
[TD]120 mcg[/TD]
[TD]100%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Potassium (as Potassium Chloride)[/TD]
[TD]100 mg[/TD]
[TD]3%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Lycopene[/TD]
[TD]600 mcg[/TD]
[TD]**[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 3"]**Daily Value (DV) not established.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Other Ingredients:>Starch, Cellulose, Stearic Acid, Croscarmellose Sodium, Silicon Dioxide, Magnesium Stearate.
Unconditionally guaranteed for purity, freshness and label potency. No added sugar, yeast, preservatives or artificial flavors.

Pia unaweza kununua Zinc Capsule ambazo kama vile Tiens zinapatikana katika maduka ya Tiens ikiwemo pale Nyuma ya Ubungo Plaza (Kama upo Dar) karibu na kanisa na KKKT. Hizi zipo very very effective kwenye kukuletea hamu ya tendao la ndoa na kuondoa tatizo la kukosa vichocheo vya mbegu na nguvu za kiume.




Important Sources: The important food sources of zinc include meat based products. Other products like oysters, turnips, peas, oats, peanuts, almonds, whole wheat grain, pumpkin seeds, ginger root and pecan nuts.
Benefits: The most important health benefits of zinc are as follows:

  • Skin Care: Studies have shown zinc to be an effective home remedy for curing pimples or acne. It is even more powerful than placebo and consumption of antibiotic medication is still considered to be more effective.
  • Eczema: Also called as atopic dermatitis, is an inflammatory and chronic disorder of skin. It is mainly caused by deficiency of zinc in the body. Zinc plays an important role in healing chronic infection and assists the body in restoring its ability to heal properly.
  • Acne: This mineral is important for erasing acne from skin. It regulates in controlling the amount of testosterone in the body which plays a dominant role in causing acne. In addition to it, zinc is also concerned with collagen synthesis. This further aids in normalizing the amount of skin oils and maintenance of a healthy skin.
  • Wound healing: Deficiency in zinc causes delayed healing of wounds. Human body has several zinc dependent enzymes, which promote the synthesis of collagen that thereby aids in wound healing.
  • Prostate disorder: Zinc is very important in dealing with prostate disorders. Zinc deficiency causes enlargement of the prostate gland and makes it vulnerable to cancer. It is advisable to take 15mg of zinc everyday, under close medical observation, when suffering from prostate disorder.
  • Cold: Zinc supplements help in decreasing the severity and duration of cold illness. It reduces the amount of proinflammatory cytokinesis, which is aggravated during the cold infections.
  • Weight loss: Zinc plays a leading role in weight loss and in controlling the appetite of the person.
  • Pregnancy: It is essential for the repair and functioning of DNA. It is hence, necessary for quick growth of cells and building of major constituents of the cell during the course of pregnancy.
  • Reproduction: In males, zinc assists in spermatogenesis and development of the sex organs. While in females, it aids in all the reproductive phases, including parturition and lactation stages.
  • Biological Functions: Zinc plays a vital role in many biological functions such as reproduction, diabetes control, stress level, immune resistance, smell and taste, physical growth, appetite and digestion.
  • Infection: Zinc helps a person to sense the taste and smell, provides an aid to wound healing, boosts immunity and helps in promoting the fetus growth. Zinc helps in protecting against the infectious disorders and fungal infections, which includes pneumonia and conjunctivitis.
  • Antioxidant: Zinc acts as an antioxidant and is basically involved in some of the biochemical decisive reactions, which includes protein synthesis, enzymatic function and carbohydrate metabolism.
  • Enzymes regulation: Zinc is a component of a number of enzymes, which help in regulation of cell growth, protein synthesis, hormonal level, DNA, regulating the gene transcription, energy metabolism and other related health benefits of zinc.
  • Cancer: In males, zinc plays a vital role in the prostate gland and prevents the early damage, which can lead to problems like cancer.
  • Chronic Fatigue: People suffering from chronic fatigue are suggested to consume fish oil, as it is rich in zinc. The doctors suggest no other medications are required for curing chronic fatigue except the intake of fish oil rich in zinc content.
  • Alopecia: Alopecia causes loss of hair in both children and adults. Remedies suggested by the doctors to the people suffering from it, should intake a diet rich in zinc content. There are various capsules that are rich in zinc, so the medicines rich in zinc will help preventing hair loss.
  • Bone loss: It is a disease when the bones become weak and fragile. Zinc is a component of hydroxyapatite, which is a salt and makes the bone matrix strong and hard. Due to this reason, zinc content should be added in your dietary plan to avoid bone loss.
  • Night blindness: Consuming Zinc in about 150-450 mg will improve the vision. So it is always suggested to consume food like beef, lamb, oysters, buckwheat and crabs as they are rich in zinc content and will improve the vision of the eye.

 
Mi siyo doctor ila naamini kitu kimoja.
Pamoja na dawa zote unazoweza kutumia, bado kuna kitu ambacho naamini kinaweza kuwa msaada mkubwa nacho ni hiki:
relax your mind, usijihukumu kuwa wewe ni muhanga wa hilo tatizo na kuona kuwa watu wengine wana bahati sana na wewe unamkosi mpaka kufikia mahali ukaona wivu juu ya wengine.
Nakuomba ujiamini kuanzia leo kuwa u will be fine in time.
Tena isifikiea mahali ukaanza kusema mbona najitahidi kujiamini lkn sioni mabadiliko? Ukifanya hivyo utakuwa umeanza kujilaumu tena na kujiona mi ni wa hivi hivi. JUST RELAX & BELIEVE that u will be fine.
Maumivu yakizidi muone daktari.
NB: wewe ndiye daktari wa kwanza. Acha kujilalamikia au kulalamikia wengine.
 
i. Samli na maziwa.
§ Samli lita 1¼
§ Maziwa fresh700 ml
§ Asali 700 ml
§ Vitunguu thaumu1kg (tengeneza juisi)
§ Nyama yakusaga ya mbuzi ichemshe
§ Ufuta ¼ kilo
§ Tende ¼ kilo
Chemsha,maziwa na Samli, ufuta, tende, juisi yavitunguu thaumu na nyama vyote hivyo mpaka iive, kisha tia asali kwenye dawailiyochemshwa, koroga mpaka ichanganyike vizuri.
Matumizi:
Kikombe chakahawa kunywa mara 3 kila siku kwa muda wa mwezi 1.
* 700ml = chupa ya orenj

AU UNAWEZA KUTUMIA HII


. Habbasoda tangawizi asali nakituguu thaumu.
  • Habbasoda(unga) kijiko1cha chakula
  • Tangawizi (unga) kijiko1 cha chakula
  • Asali glasi 1
  • Juisi ya kitunguu thaumu kijiko1cha chakula
Changanya vizuri.

Matumizi:

Kikombe chakahawa kunywa mara 3
 
habbasoda ni aina ya puje puje nyeusi maduka ya dawa za asili inauzwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…