Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,205
Mkuu pole sana kwanza, mie sio mtaalam lakini naweza kutoa mchango kidogo na wataalam zaidi wakija watanirekebisha au wataongeza.
Tatizo la nguvu za kiume zinasababishwa na mambo mengi kama ugonjwa wa moyo, kisukari na pia mishipa ya damu kuwa imeziba na kusababisha mteremko wa damu kwenye uume kuwa mdogo wakati wa tendo la ndoa. Stress pia inasababisha hili swala na pia kuto jiamini kiasi cha kwamba mawazo yako huwa yako kwenye wasi wasi wa kutomridhisha mwenzako kwahio unapoteza focus kabisa na hapo ubongo wako unapata ujumbe tofauti.
Sasa je mkuu vipi una magonjwa yoyote hapo juu
Je unafanya mazoezi mkuu na kula kwa mpangilio mzuri? ( na kukaa mbali na vyakula venye mafuta mengi )
Umemuona daktari kujaribu kufanya vipimo vyote vya afya yako?
Nguvu za kiume zinatokana na mteremko mzuri wa damu kwenye uume na kuweza kupeleka kiwango cha oxygen ya kutosha kutengeneza ATP energy ya kutosha kuwezesha misuli (HIPO MITATU KWENYE UUME AMBAYO INAFANYA UUME USIMAME) yako ya uume kuchapa kazi. Kwahio kiwango kidogo cha damu ni sawa na kiwango kidogo cha oxygen na pia ni sawa na kiwango kidogo cha ATP energy kuzalishwa. Kiwango kidogo cha ATP energy kinafanya misuli yako ifanye kazi ndogo.
Dawa kama viagra zinaongezamteremko wa damu kwenye uume na sio njia nzuri kwani kama una magonjwa mengine utakuwa umeyaacha yaendelee.
Muone daktari fanya vipimo,fanya mazoezi na kula vizuri.
Kila la kheri mkuu.