Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

Mkuu pole sana kwanza, mie sio mtaalam lakini naweza kutoa mchango kidogo na wataalam zaidi wakija watanirekebisha au wataongeza.

Tatizo la nguvu za kiume zinasababishwa na mambo mengi kama ugonjwa wa moyo, kisukari na pia mishipa ya damu kuwa imeziba na kusababisha mteremko wa damu kwenye uume kuwa mdogo wakati wa tendo la ndoa. Stress pia inasababisha hili swala na pia kuto jiamini kiasi cha kwamba mawazo yako huwa yako kwenye wasi wasi wa kutomridhisha mwenzako kwahio unapoteza focus kabisa na hapo ubongo wako unapata ujumbe tofauti.

Sasa je mkuu vipi una magonjwa yoyote hapo juu

Je unafanya mazoezi mkuu na kula kwa mpangilio mzuri? ( na kukaa mbali na vyakula venye mafuta mengi )

Umemuona daktari kujaribu kufanya vipimo vyote vya afya yako?

Nguvu za kiume zinatokana na mteremko mzuri wa damu kwenye uume na kuweza kupeleka kiwango cha oxygen ya kutosha kutengeneza ATP energy ya kutosha kuwezesha misuli (HIPO MITATU KWENYE UUME AMBAYO INAFANYA UUME USIMAME) yako ya uume kuchapa kazi. Kwahio kiwango kidogo cha damu ni sawa na kiwango kidogo cha oxygen na pia ni sawa na kiwango kidogo cha ATP energy kuzalishwa. Kiwango kidogo cha ATP energy kinafanya misuli yako ifanye kazi ndogo.
Dawa kama viagra zinaongezamteremko wa damu kwenye uume na sio njia nzuri kwani kama una magonjwa mengine utakuwa umeyaacha yaendelee.
Muone daktari fanya vipimo,fanya mazoezi na kula vizuri.
Kila la kheri mkuu.
 
kula matunda mengi,kula mboga za majani kwa wingi,kama unaweza kupata asali tumia mara kwa mara.wewe una tatizo la constipation,ambalo linapelekea kukosekana mmeng'enyo mzuri wa chakula mwilini.chukua ushauri wa jamaa hapo juu.usile mafuta mkuu.pole sana kwa tatizo uskate tamaa utapona pia cheki vidonda vya tumbo.
 
Matatizo yote Duniani yako kwa wanaume..kazi kweli kweli..
 
Asante ndugu Arsene Wenger!! Nachukua +ve na serious
 
75% ya matatizo ya nguvu za kiume kupungua hutokana na tatizo la kisaikolojia(kutojiamini,woga wa kushindwa kama ilivyokuwa jana pamoja na msongo wa mawazo mengine).

25% ni kutokana na magonjwa mbalimbali ya kimwili km kisukari,magonjwa ya zinaa etc.
NAKUSHAURI UENDE KWA WATAALAM WA KISAIKOLOJIA.
NA KAMA UNAHISI TATIZO LINGINE KIMWILI NENDA HOSPITAL/KITUO CHA TIBA UKAPATE UCHUNGUZI NA TIBA.
 
kula ashua za mbuzi zitakusaidia.....jitahidi utafute demu mzuri maaana vibungo hata mzuka unapungua!!!!!
 
kula matunda mengi,kula mboga za majani kwa wingi,kama unaweza kupata asali tumia mara kwa mara.wewe una tatizo la constipation,ambalo linapelekea kukosekana mmeng'enyo mzuri wa chakula mwilini.chukua ushauri wa jamaa hapo juu.usile mafuta mkuu.pole sana kwa tatizo uskate tamaa utapona pia cheki vidonda vya tumbo.

Asanti katikati = centre
 
ebu mtafute mzizi mkavu anauza anadai hiko vizuri.jaribu kusearch ishu za nguvu za kiume humu janvini utapata majibu mazuri mengi sana turishajadili kitambo.maana naona watu wamekua wa vivu.
 
wewe umeshakwisha ww umekuwa kushi nei ww hapo hauna dawa

khadija omari dochi wele mombasa

Post za namna hii sio nzuri Mkuu kwa mtu mwenye matatizo....
Tafadhali tuwe waungwana kwenye Jukwaa hili, matatizo ni kwa kila mtu na wala hamna mtu anayependa yamkute....
Mods naomba posts za namna hii mziondoe tu hata kama hamna mtu aliyereport abuse.....
Hii haivumiliki kwakweli
 
Naamini huyo jamaa alo jibu utumbo si mtu mzima na kama ni mtu mzima basi mungu atampa jibu la dharau zake kwani malipo huwa hapa hapa. Pili ushauri wangu naomba ujaribu kutafuta asali ya nyuki wadogo alafu uwe unalunywa vijiko viwili kila siku asubuh na jiona halafu pia kula matikiti maji kila siku tafuna zile mbegu zake usizitupe ,hilo ndilo nlijualo kuhusu tatizo lako.
 
Post za namna hii sio nzuri Mkuu kwa mtu mwenye matatizo....
Tafadhali tuwe waungwana kwenye Jukwaa hili, matatizo ni kwa kila mtu na wala hamna mtu anayependa yamkute....
Mods naomba posts za namna hii mziondoe tu hata kama hamna mtu aliyereport abuse.....
Hii haivumiliki kwakweli

Aisee nimepata mashaka sana na huyo dogo MATESLAA, hajui kuwa HUJAFA HUJAUMBIKA!, ametoa kauli mbovu zilizokosa utu, hekima, busara na nina wasiwasi mtu wa namna hii aisee. Please tuwe na utu jamani matatizo kaumbiwa binadamu ipo siku utakuwa mzima lakini ipo siku utakuwa na matatizo dunia yazunguka!
 
Msaada jamani!!

Nimeteseka na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume kwa miaka 4 sasa. Nimekula dawa tofauti nyingi tu zikiwemo za kichina, unga wa miti na nyingine nyingi tu.
Nimeshindwa la kufanya!! Km kuna mtu anajua tiba sahihi!! siyo kubahatisha, basi an-PM. Natanguliza shukurani nyiiingi.

asante

Kama upo serious ni-PM nikupatie tiba. Umeoa?
 
Back
Top Bottom