Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

Dawa za Nguvu ya kiume kwa anayetaka bonyeza hapa https://www.jamiiforums.com/jf-doctor...naye-taka.html

Sababu 9 muhimu zinazo sababisha upungufu wa nguvu za kiume
Zipo sababu nyingi zinazosababisha wanaume kupungua nguvu za kiume katika hizo ni hizi zifuatazo:
1.ubugiaji wa tumbaku .
2.uvutaji wa sigara.
3.utafunaji wa mirungi.
4.unywaji wa pombe.
5.kupooza kwa mwili kunakosababishwa na maradhi.
6.ugonjwa wa kisukari.
7.kujisaidia kwa njia ya mkono. (Punyeto)
8.kuwa na mawazo kupita kiasi.
9.kufanya kazi ngumu.

Na Pia ujiepushe na moja kati ya hizi Sababu 9 zinazochangia upungufu wa nguvu za kiume.​
 
Majibu haya yanasaidia wengi!!
Asante kwa kuimba ushauri kwa ajili ya wengi, hili linaleta msononeko sana kwa wanaume, hasa kwa kuwa wengi hupenda kuonekana kuwa wanaweza na wana nguvu sana kiasi cha kuexagerate na kutishia average people wakadhani wana matatizo.
Je wataalamu, yupi ni normal? mtu aanze kuwa cocerned akiona nini? Kuendana na umri
 
Ni kweli Haika!!
 
naomba azuiwe kushiliki jf doctor huyu MATESLAA hadi hawe na hekima.tafadhari mod muondoe mtu huyu haraka anatia kinyaa janvini tunaoneka wote wa ajabu.uchafu shwainii!!
 
Mkuu swala zima la upungufu wa nguvu za kiume,ni ulaji wetu watu wengi tumekuwa tukidharau vyakula vya asili,watu wa mjini mara nyingi wanapenda vyakula vya bandia,yaani vyakula visivyo na rutuba Chips kuku nk..., siku hizi mtu ukionekana unakula ugali wa dona na mchichi,basi utatangazwa mtaa mzima kwamba umechalala,mimi nakushauli uanze kula vyakula vya asili,kama dona samaki frsh, chai iliyoungwa asali,karanga mbichi na maziwa fresh kila siku,mchemsho wa ndizi na samaki frsh hasa ndizi bukoba zinaongeza nyege sana,epuka vyakula vya mafuta mengi alafu kunywa maji kwa wingi,usisahau na ukwaju huu unasaidia sana kuondoa sumu mwilini,na mahindi ya kuchoma haya yanaongeza sana nguvu mwilini,ukifata haya mambo ndani ya mwezi utaona matokeo,hutaamini kama ni wewe mtanange utakuwa hewani fulltime.
 
75% ya matatizo ya nguvu za kiume kupungua hutokana na tatizo la kisaikolojia(kutojiamini,woga wa kushindwa kama ilivyokuwa jana pamoja na msongo wa mawazo mengine).

25% ni kutokana na magonjwa mbalimbali ya kimwili km kisukari,magonjwa ya zinaa etc.
NAKUSHAURI UENDE KWA WATAALAM WA KISAIKOLOJIA.
NA KAMA UNAHISI TATIZO LINGINE KIMWILI NENDA HOSPITAL/KITUO CHA TIBA UKAPATE UCHUNGUZI NA TIBA.

Ni kweli kabisa wanaume wengi wanasumbuliwa na matatizo ya kisaikolojia, tatizo lake pengine ni hofu tu. Wengi wamekuwa wakihangaika sana pasipo kujua kwamba wao wenyewe ndio suluhisho la tatizo lako, ushauri huu ni wa ukweli.
 
Mkuu swala zima la upungufu wa nguvu za kiume,ni ulaji wetu watu wengi tumekuwa tukidharau vyakula vya asili,watu wa mjini mara nyingi wanapenda vyakula vya bandia,yaani vyakula visivyo na rutuba Chips kuku nk..., siku hizi mtu ukionekana unakula ugali wa dona na mchichi,basi utatangazwa mtaa mzima kwamba umechalala,mimi nakushauli uanze kula vyakula vya asili,kama dona samaki frsh, chai iliyoungwa asali,karanga mbichi na maziwa fresh kila siku,mchemsho wa ndizi na samaki frsh hasa ndizi bukoba zinaongeza nyege sana,epuka vyakula vya mafuta mengi alafu kunywa maji kwa wingi,usisahau na ukwaju huu unasaidia sana kuondoa sumu mwilini,na mahindi ya kuchoma haya yanaongeza sana nguvu mwilini,ukifata haya mambo ndani ya mwezi utaona matokeo,hutaamini kama ni wewe mtanange utakuwa hewani fulltime.

Asante KICHOMIZ najitahidi kuzingatia haya yote. Hope itafanya kazi.
 
Ni kweli kabisa wanaume wengi wanasumbuliwa na matatizo ya kisaikolojia, tatizo lake pengine ni hofu tu. Wengi wamekuwa wakihangaika sana pasipo kujua kwamba wao wenyewe ndio suluhisho la tatizo lako, ushauri huu ni wa ukweli.

Asante TUMY najitahidi kuzingatia haya. kuna sykolojist mmoja nimepanga kumwona, najipanga tu.
 
Msaada jamani!!

Nimeteseka na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume kwa miaka 4 sasa. Nimekula dawa tofauti nyingi tu zikiwemo za kichina, unga wa miti na nyingine nyingi tu.
Nimeshindwa la kufanya!! Km kuna mtu anajua tiba sahihi!! siyo kubahatisha, basi an-PM. Natanguliza shukurani nyiiingi.

asante

Vuta subira kijana tuliza akili utapona tu. ondoa hofu
 
simpo mkuu

tumia kipande cha samaki aina ya papa na kitunguu maji kwa kutafuna nguvu zitarejea kwa kasi sana
 
eti kuna watu wana pumbu moja..?na kama wapo uwezo wao wa kufanya mapenzi ni sawa na mtu wa kawaida ambaye amekamilika???..na kuzaa inakuwaje????,wale wanawake wanaofanya mapenzi kinyume na maumbile madhala yake nini has kwa wale ambao hawajazaa?,je kuna dawa ya kumtibu huyo ambaye ameathrika na hiyo khali?
 
Du pole mkuu kwa kua na kende moja,kama mbegu zako ziko fresh haina noma utakua na uwezo wa kumpa mimba binti,pili sio mchezo mzuri kumuingilia msichana wako kinyume na maumbile kuna athari nyingi sana kwako kama kupigwa bomba na kwake kupata uvimbe kwenye njia ya haja kubwa,kuaribu sphinta za njia,ugumu wakati wa kujifungua,acha huo mchezo wa kuruka ukuta
 
Back
Top Bottom