Mkuu huo sio ugonjwa bali ni tatizo la kutokujiamini kazini, mimi pia for the first time kujifungia chumba kimoja na kiumbe wa kike ilishawahi kunitokea baada ya kuvaa kinga 2 wazee hao wakamiminika, na baada ya hapo nilizidi kuingiwa na uoga na wasiwasi juu ya kichotokea, mtoto wa watu nimemvua nguo na sijafanya chochote na kibaya zaidi nilikuwa mgeni katika hivo viwanja (nilijaribu kujilazimisha kusimamisha ndani ya dakika 5 ili kuokoa jahazi kitu ambacho kitaalamu ni kigumu na kinatokea mara chache sana ...) nilichofanya nijaribu kujitetea nilivyojua mwenyewe, issue ikawa imeeishia pale ,,,, na baada ya kuwa yule dada kaondoka sikutaka kukutana nae tena katika mazingira yoyote yale ambayo yangepelea mimi nae kufanya mapenzi kwa hofu kwamba kilichotokea kingeweza kujirudia.... na lazima ujue kitu kimoja kwamba hata hao akina dada ambao unafanya nao mapenzi bila mafanikio baadhi yao wanajua kwamba hiyo hali inatokeaga na ndio maana usishangae baada ya hilo tukio la kwanza baadhi inaweza ikatokea wakaendelea kutaka kuwa na wewe ili kukupa mda wa kuwazoea na kugain confidence katika utendaji!
ushauri wangu:
1. jitahidi kuwa karibu na hao viumbe uweze kuwaona wa kawaida.
2. ikitokea umekojoa kabla ya kuanza kazi usiwe na wasiwasi kwani goal la kwanza kama hujafanya mapenzi kwa mda mrefu probability ya kutoka ndani ya dakika moja ni kubwa.
3. ukishakojoa goal la kwanza sio mwisho wa mechi inachukua kuanzia dk 45 hadi 1hr na hata zaidi baada ya goal kusimamisha na usiforce iache itokee naturally unaweza kufanya just romantic actions na mwenzi wako ambacho zitasaidia mzee kushtuka, na mwisho jaribu kudumu na mpenzi mmoja kwa mda inaweza kukusaidia kumzoea!