Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

hauna impotence....unapata erection,,tatizo lako kitaalamu linaitwa premature ejaculation.....Mara nyingi ni psychological..linatibika.....unahitaji special training.Dr.dee

majimama yameaidia sana vijana waliopoteza confidence; wakati tunasoma jamaa mmoja alikua akitongoza tu anapiga bao, ilimsumbua sana, lakini alikwenda india kusoma, hukohuko wakampa dawa ila pia he was involved in some practica sessions anasema zilimsaidia mno

tatizo ni jinsi mtu anavyoichukulia sex, na hasa kama ulianza ukiwa mdogo, inaweza ikawa kama ulikua abused more than having some pleasure encounter, vijana wengi walioanzishiwa hiyo kitu mapema wana matatizo hayo kwasababu ya kukosa uthamini/thamani ya tendo lenyewe
 
Si mpaka apimwe ndio ijulikane kuwa ana ugonjwa wa ( anxiety ) mkuu ?
 
mkuu atapimwaje?? kwa asali na mdalasini na other mitishambaz??
Mkuu asali na Mdalasini ni dawa sio kipimo mkuu mbona unachanganya Dawa na Vipimo? Mgonjwa akileta hapa matatizo anapewa Dawa. Kwa sababu kuna hospitali kuna Madokta huko Mahospitalini wewe ukisema matatizo yako hapa jukwaani inamaanisha umeshakwenda hospitali na hukupata mafanikio ndio maana unataka ushauri wa Watu hapa jukwaani tutakupa tu. kwani wewe Dawa za mitishamba unazipiga vita nini mkuu?
 
aaah kamanda mbona mimi sipigi vita dawa za mitishamba mazee??

wewe umesema apewe asali na mdalasini kama dawa ya kuondoa uhanithi, mimi nikasema ana anxiety, wewe ukasema apimwe kwanza, mimi nikasema hapimwi kwa mdalasini... sasa mbona wote tuko kwenye njia moja?? tumeshamfanyia diagnosis tena bila hata ya kum-clerk huyo mgonjwa?? sisi sote si tumetoa tiba pia?? au kwasbabu misimamo ya diagnosis ilipishana??

sina issues na mitishamba, na sina issues trials and errors kama njia ya kutibu/na diagnosis pia kwani kuna baadhi ya cases hayo hufanyika

I think tumepishana pale ulipoagiza asali mie nikasema aondolewe anxiety.... BASI BORA TUMWAMBIE DOGO AENDE HOSPITALI KUPIMA KWANZA KAMA NI ANXIETY AU UHANITHI
 
Sawa uliposema wewe nanukuu ( mkuu atapimwaje?? kwa asali na mdalasini na other mitishambaz??) mimi nilikuelewa wewe unapinga Dawa za Asili mitishamba sasa nimesha kuelewa lakini nakuomba na wewe utoe dawa ya hiyo ugonjwa wa ( anxiety) Maana umesha toa ugonjwa wakati yeye mgonjwa ameleza matatizo yake mengine sawa mkuu. Nakuomba tumsaidie jamaa apone inshallah...... Tafadhali usinielewe vibaya natanguliza ....
 
I always respect your support humu jamvi la daktari... nadhani wewe na Riwa mmekua msaada kwa wengi sana... ila pia tusaidiane kuelewa positively maana ya maneno kwanza kabla ya kwenda negative

respect kama kawa
 
tafuta tangawizi kiasi cha robo kg, karoti, robo kg pamoja zisange tengeneza juice kunywa kikombe cha chai kutwa mara 3 ndani ya siku 7 unaweza tengeneza kidogo ninaimani utafanikiwa
 
Hivi kuna upungufu wa nguvu za kike? Sijawahi kusikia.
 
tafuta tangawizi kiasi cha robo kg, karoti, robo kg pamoja zisange tengeneza juice kunywa kikombe cha chai kutwa mara 3 ndani ya siku 7 unaweza tengeneza kidogo ninaimani utafanikiwa
im jus curious mkuu.,...hizo carrots na tangawzi inatakiwa zisagwe hadi kuwa unga au hapo ni vipi?
 
Ndugu fuata ushauri wa Mzizi Mkavu! Niliisoma mada yake hapo nyuma ambayo unachanganya asali mbichi na mdalasini, kwa kweli kama hauna tatizo lingine inasaidia sana. Mimi nilitumia mchanganyiko huo kwa majaribio wakati nipo "field" sehemu fulani. Ilikuwa ni ngondo!
 
mkuu hata mm imenitokea mara nyingi kiasi kwamba nilijaribu kutumia viagra lakini haikuwezekana, tena kwangu ngoma huwainakuwa nzito binti anapoanza kuringa hataki kufanya, kuja nkambembeleza tayari nshu ishalala ck nyingi. hata leo nlikuwa na shemeji yenu mambo yamekuwa yaleyale hadi nmempa mwaka mmoja ili npate njia nzuri ya kujipanga........ok kwa maoni ya jf bas hata next week ntajaribu. lkn wadau kwa nn mstufanyie cancelling mojakwa moja kuliko kwenda kwa haowataala na huku wengine ni matapeli? au tuelekezeni wataalam wa ukweli wanako patikana.
tutashukuru tukipata msaada wenu.
 
Mimi pia naamini ni tatizo la kisaikoljia tu. Hebu jaribu kuwazoea wasichana na uwaone wa kawaida tu. Ukipata demu anayependa music nenda naye club, mcheze naye staili mbali mbali, ikiwemo pinda mugongo na staili zote za kugusana mwili. Jaribu kuchagua demu aliyenona kwa maana ya mguu na makalio. Inawezekana wakati wa kucheza ukapiga bao. Baada ya hapo unaweza kwenda naye geto, naamini itakaposimama, itafanyakazi vema tu.

otherwise nakupa pole sana maana watu kama ninyi mna bahati ya kupendwa sana
 
dogo hebu nieleze unakkoa ukishaingiza jogoo kunako au mapajani. kama ni hadi muhogo uingie ndani ndo unakojoafanya yafuatayo
jaribu vaa kondom wakati wa sex huwa inachelewesha bao
kama unakojoa hata kbla ujapewa mambo kuraa mkongoraa au ni pm kwa darasa zaidi . usijali utakuwa unapiga hata bao 6
 
Mkuu huo sio ugonjwa bali ni tatizo la kutokujiamini kazini, mimi pia for the first time kujifungia chumba kimoja na kiumbe wa kike ilishawahi kunitokea baada ya kuvaa kinga 2 wazee hao wakamiminika, na baada ya hapo nilizidi kuingiwa na uoga na wasiwasi juu ya kichotokea, mtoto wa watu nimemvua nguo na sijafanya chochote na kibaya zaidi nilikuwa mgeni katika hivo viwanja (nilijaribu kujilazimisha kusimamisha ndani ya dakika 5 ili kuokoa jahazi kitu ambacho kitaalamu ni kigumu na kinatokea mara chache sana ...) nilichofanya nijaribu kujitetea nilivyojua mwenyewe, issue ikawa imeeishia pale ,,,, na baada ya kuwa yule dada kaondoka sikutaka kukutana nae tena katika mazingira yoyote yale ambayo yangepelea mimi nae kufanya mapenzi kwa hofu kwamba kilichotokea kingeweza kujirudia.... na lazima ujue kitu kimoja kwamba hata hao akina dada ambao unafanya nao mapenzi bila mafanikio baadhi yao wanajua kwamba hiyo hali inatokeaga na ndio maana usishangae baada ya hilo tukio la kwanza baadhi inaweza ikatokea wakaendelea kutaka kuwa na wewe ili kukupa mda wa kuwazoea na kugain confidence katika utendaji!
ushauri wangu:
1. jitahidi kuwa karibu na hao viumbe uweze kuwaona wa kawaida.
2. ikitokea umekojoa kabla ya kuanza kazi usiwe na wasiwasi kwani goal la kwanza kama hujafanya mapenzi kwa mda mrefu probability ya kutoka ndani ya dakika moja ni kubwa.
3. ukishakojoa goal la kwanza sio mwisho wa mechi inachukua kuanzia dk 45 hadi 1hr na hata zaidi baada ya goal kusimamisha na usiforce iache itokee naturally unaweza kufanya just romantic actions na mwenzi wako ambacho zitasaidia mzee kushtuka, na mwisho jaribu kudumu na mpenzi mmoja kwa mda inaweza kukusaidia kumzoea!
 

Soma comments za wadau hapa kwenye hii thread


https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/210051-serious-dawa-ya-nguvu-ya-kiume.html?highlight=

Njamayo!!!
 

mkuu naunga mkono hoja yako na mim ishu hiyo ishanitokea hapa karibuni na nilikuwa sijawah kudo kwa mda kama wa zaidi ya 5 yrs. Nilipo test ku do ile kuvaa jezi tu wazungu haoo.Nikazuga zuga kwa maromance kibao ngoma ikaamka nikatest tena ila kuingia tu katikati ya mapaja wazungu tena haoo nilijisikia noma sana nikataka nizuge tena na romance bahati mbaya dem alikuwa kesha fika kilimanjaro.

Toka siku hiyo nimekata mguu sitaki kabisa kusikia lolote kuhusu mwanamke.
 
namshukuru mungu sijawahi kupata tatizo hilo....
nenda pwani, nunua chaza ''oyster''...piga hyo kitu mara kwa mara kama sehemu ya mlo. ukiweza kumla mbichi ndiyo haswaaaaa, balaa. hamna chakula chochote duniani hata asali na mdalasini, sijui pweza, sijui ngisi, haviingii ndani kwa hawa chaza, kula mbichi.
usijaribu viagra, na dawa zingine zozote za kuongeza nguvu za kiume, zitakumaliza kabsaaaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…