Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

jamani mimi naomba niulize swali, Nguvu za kiume ni zipi:

i/. Niuwezo wa kusimamisha?
ii/. Niuwezo wa kuzalisha?
iii. Niuwezo wa kumridhisha mwandani?

sorry to be off-topic for a while!
 
Tafuna vutunguu saumu na vitunguu maji,tikiti maji na mbegu zake tafuna usiziteme,tangawizi kwa sana,karafuu.mbona wengi e wanapiga hako kamoja tu wanaridhika na hawaoni tabu wewe mbili unalalamika unataka ungoe hapo
mkuu,mi hapa huwa sipigi zaidi ya goli moja ila LAZMA nihakikishe ameridhika vya kutosha ndio niachie
 
jamani mimi naomba niulize swali, Nguvu za kiume ni zipi:

i/. Niuwezo wa kusimamisha?
ii/. Niuwezo wa kuzalisha?
iii. Niuwezo wa kumridhisha mwandani?

sorry to be off-topic for a while!
nguvu za kiume ni kuwa na uwezo wa kumridhisha huyo mwenza wako ,sio unaingiza na kupizi na ghafla mnyama amelala na bibie ndio kwanza anataka,
na hii inasababishwa na kupiga nyeto
 
jamani mimi naomba niulize swali, Nguvu za kiume ni zipi:

i/. Niuwezo wa kusimamisha?
ii/. Niuwezo wa kuzalisha?
iii. Niuwezo wa kumridhisha mwandani?

sorry to be off-topic for a while!

Ni Namba 1 tu,Kumridhisha m/ke inategemea na mambo mengine unaweza ukawa na nguvu za kiume za kutosha lkn usimridhishe m/ke!! Kumridhisha m/ke ni Timing na Teknike.
 
Tusiwe na mtazamo finyu (narrow thinking) kuhusu mapenzi. Kiukweli kinachoongeza nguvu za kiume ni mambo makubwa mawili:

  1. Balanced diet, chakula cha kawaida tuu, cha msingi upate mahitaji muhimu ya mwili.
  2. Kisaikolojia: Unahitaji uwe na amani ya akili yako. Ukiwa na hofu japo kidogo tuu, au msongo wa mawazo hata mwanamke wako afanyeje kukuliwaza dude halisimami ng'ooo.
  3. Uwe katika mazingira na muda ambao unajisikia huru. Hii inahusiana na point namba mbili hapo juu.
 
Kula samaki aina ya PWEZA, pia kunywa maziwa yaliyo changanywa na ASALI MBICHI, kunywa MAJI mengi, pia kula ALMOND SEEDS, punguza kula vitu vyenye sukari, Na kula matunda kama walivyokushauri jamaa, mboga za majani kwa wingi. Pia kula CHEESE (jibini), kula ugali wa unga ambao haujakobolewa. Punguza kutumia vyakula vya makopo (vilivyotengenezwa viwandani ni hatari sana) pia kumbuka kufanya mazoezi ya viungo, jizoeze kutembea kwa miguu au kutumia baiskeli. Kama unakunywa pombe acha kabisa, punguza mawazo. Yapo mambo mengi ya kukusaidia, lakini kwanza timiza hayo. God bless you.
 
nguvu za kiume ni kuwa na uwezo wa kumridhisha huyo mwenza wako ,sio unaingiza na kupizi na ghafla mnyama amelala na bibie ndio kwanza anataka,
na hii inasababishwa na kupiga nyeto

kiongozi hapo kwenye red, mbona kuna wataalamu wanashtua kwanza ndio wanaanza gemu?? mimi naona kumridhisha ni ufundi tu lakini hausababishwi na kuwa na izo nguvu!
 
Ni Namba 1 tu,Kumridhisha m/ke inategemea na mambo mengine unaweza ukawa na nguvu za kiume za kutosha lkn usimridhishe m/ke!! Kumridhisha m/ke ni Timing na Teknike.

mimi pia nawazo kama lako mkuu, but vipi kama mtu unao huo uwezo wa kusimamisha lakini still una-sperm za kuweza kualisha.. je unakuwa unakosa nini?
 
mimi pia nawazo kama lako mkuu, but vipi kama mtu unao huo uwezo wa kusimamisha lakini still una-sperm za kuweza kualisha.. je unakuwa unakosa nini?

Kama huna uwezo wa kuzalisha na nguvu unazo basi kuna mambo mengi yanachangia ktk kumpa mimba m/ke,mfano kasi ya sperm kutoka,low sperm count,timing ya siku husika,kutokuwa na mbegu kabisa na pia inawezekana ttzo upande wa m/ke.
 
copy that.over
 
Mkuu, fanya mazoezi, kula chakula ambacho unaweza ku-afford kuvipata katika hivyo vyote vilivyotajwa hapo juu na wanabodi, tuliza mwili wako maana inawezekana ukawa wakati wa game haupo concentrated na game, ongea vizuri na mwenza wako pia kama kuna styles ambazo unapendelea zaidi wakati wa ngono au kama kuna vitu ambavyo vinakunyima raha mnapokuwa mnatifuana. Umesema ukipiga mbili unakuwa hoi, ww unataka uwe unapiga ngapi na hizo mbili mwenzio anaridhika au la?. Cha mwisho jaribu kwenda kuwaona madaktari sababu kuna baadhi ya magonjwa yanaweza kukusababishia hali hiyo. Usisahau kula kitimoto mara kwa mara inasaidia mno!!
 
tafuna sana mbegu za papai, pia shuka chumvini kwa wingi acha uvivu
 
Kweli tupo tofauti mi nikiona chupi tu kitu hicho
 
Back
Top Bottom