kula mboga za majani, ugali wa dona
guyz naomba mnitajie vyakula vinavyoongeza nguvu za kiume
guyz naomba mnitajie vyakula vinavyoongeza nguvu za kiume
mkuu,mi hapa huwa sipigi zaidi ya goli moja ila LAZMA nihakikishe ameridhika vya kutosha ndio niachieTafuna vutunguu saumu na vitunguu maji,tikiti maji na mbegu zake tafuna usiziteme,tangawizi kwa sana,karafuu.mbona wengi e wanapiga hako kamoja tu wanaridhika na hawaoni tabu wewe mbili unalalamika unataka ungoe hapo
nguvu za kiume ni kuwa na uwezo wa kumridhisha huyo mwenza wako ,sio unaingiza na kupizi na ghafla mnyama amelala na bibie ndio kwanza anataka,jamani mimi naomba niulize swali, Nguvu za kiume ni zipi:
i/. Niuwezo wa kusimamisha?
ii/. Niuwezo wa kuzalisha?
iii. Niuwezo wa kumridhisha mwandani?
sorry to be off-topic for a while!
jamani mimi naomba niulize swali, Nguvu za kiume ni zipi:
i/. Niuwezo wa kusimamisha?
ii/. Niuwezo wa kuzalisha?
iii. Niuwezo wa kumridhisha mwandani?
sorry to be off-topic for a while!
nguvu za kiume ni kuwa na uwezo wa kumridhisha huyo mwenza wako ,sio unaingiza na kupizi na ghafla mnyama amelala na bibie ndio kwanza anataka,
na hii inasababishwa na kupiga nyeto
Ni Namba 1 tu,Kumridhisha m/ke inategemea na mambo mengine unaweza ukawa na nguvu za kiume za kutosha lkn usimridhishe m/ke!! Kumridhisha m/ke ni Timing na Teknike.
mimi pia nawazo kama lako mkuu, but vipi kama mtu unao huo uwezo wa kusimamisha lakini still una-sperm za kuweza kualisha.. je unakuwa unakosa nini?
Kama huna uwezo wa kuzalisha na nguvu unazo basi kuna mambo mengi yanachangia ktk kumpa mimba m/ke,mfano kasi ya sperm kutoka,low sperm count,timing ya siku husika,kutokuwa na mbegu kabisa na pia inawezekana ttzo upande wa m/ke.
guyz naomba mnitajie vyakula vinavyoongeza nguvu za kiume
Ukiona vyakula ulivyotajiwa vimedunda jaribu Viagra
hizo mbili zinazokuchosha ni za kuku au mbili takatifum2 wngu hali mbay mana naona cku hz bao 2 nmechoka et