Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

Eti bwana halafu uishie kubaka na kutiwa mbaroni tu! Ya nini yote hayo. Bora niendelee kubembeleza tunguvu hutuhutu tulitobaki.

tunguvu twenyewe twa raund moja af unatubembeleza. shauri yko. mchunge sana houseboy, dereva na jiran
 
Jaman nna swali hv mfn m2 alieshiw nguv za kiume kwa kupiga nyeto akaacha..atakaa muda gan mpaka nguvu za kiume zirejee tena?
 
Mkuu ni kweli puli inachangia sana kuua saikologia ya mtu hance inapunguza nguvu za kiume!

kama ulivyosema "kuua saikolojia ya mtu" lakini sio nguvu za kiume.hata ukifanya kazi sana na mazoezi "inaua" saikolojia ya mtu kuwa na hamu ya ngono,hata ukitoka kupiga game la ukweli na mtu wako akajitokeza beyonce knowles mtupu kabisa unaweza kumuangalia kama jiwe tu je nguvu zako zimeisha?tafakari
 
ww tafuta picha hata humu JF kwenye jukwaa lake nguvu itaonezeka tu, huwezisogea kwenye mlango wa Guest mwombe mhudumu haitachukua muda kusikia sauti tu kabla ya kuchabo
 

mkuu basi mshauri tiba yake
 
we dada acha kumkatisha tamaa watu wanashida wewe unaleta utani!
Sasa yeye badala ya kupost hii thread JF Doctor anaileta hapa MMU ili ashauriwe nini? hapa uliza jinsi ya kumfikisha mwanamke kileleni utajibiwa.
 
Sasa yeye badala ya kupost hii thread JF Doctor anaileta hapa MMU ili ashauriwe nini? hapa uliza jinsi ya kumfikisha mwanamke kileleni utajibiwa.

haha ww tatizo co dm afike kilelen jibu swali
 
Jaman nna swali hv mfn m2 alieshiw nguv za kiume kwa kupiga nyeto akaacha..atakaa muda gan mpaka nguvu za kiume zirejee tena?
Mkuu Maybach Zipo sababu nyingi zinazosababisha wanaume kupungua nguvu za kiume katika hizo ni hizi zifuatazo:
1.ubugiaji wa tumbaku .
2.uvutaji wa sigara.
3.utafunaji wa mirungi.
4.unywaji wa pombe.
5.kupooza kwa mwili kunakosababishwa na maradhi.
6.ugonjwa wa kisukari.
7.kujisaidia kwa njia ya mkono. (Punyeto)
8.kuwa na mawazo kupita kiasi.
9.kufanya kazi ngumu.
Kwa kuacha kupiga Punyeto huwezi kupona nguvu zako za kiume mpaka utumie Dawa za kurudishanguvu zako za kiume waone Wataalam wahusika wakupe Dawa ikishindikana hujapona nione mimi kwa njia ya Email yangu nitakupa Dawa ya kurudisha nguvu zako za Kiume niandikie barua ya pepe Email yangu ni hii hapa fewgoodman@hotmail.com

Dawa ya Nguvu za Kiume TIBA YAKE: Bonyeza hapa https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/196934-dawa-za-nguvu-za-kiume-kwa-anayetaka.html

nani kakuambia nguvu za kiume zinaisha kwa kupiga nyeto?tafuta chanzo chako halisi cha kupungukiwa nguvu tukupe ushauri sahihi
Mkuu Mc Tilly Chizenga mimi hapa ndio niliye mwambia kuwa kupiga Punyeto kunasababisha upungufu wa nguvu za kiume unasemaje?
 

mheshimiwa MziziMkavu naona upo kazini,utauzaje sasa dawa za kuongeza nguvu kama hutasema nyeto inapunguza nguvu?kumtafuta mganga wa kienyeji anayeuza dawa za kuongeza nguvu za kiume ambaye atakuambia nyeto haiui nguvu za kiume ni kama kumtafuta mc ambaye ni bubu!

au labda niseme kama inaua nguvu za kiume basi inakuwa kama alergy tu,wengine wengi poa wachache kiduchu inawadhuru

however ktk jibu lako umetoa sababu nyingi tu za kupungukiwa hizo kwa nini mtoa mada anadhani ni hiyo tu ya kupiga master master?
 
Huwa nakuimagine utakuwaje sijui, maana majibu yako yafurahisha sana KONGOSHO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…