EL MAGNIFICAL
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 938
- 125
125000/= mshahala wote nihamishie kwenye nguvu za kiume kweli ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
125000/= mshahala wote nihamishie kwenye nguvu za kiume kweli ?
Eti bwana halafu uishie kubaka na kutiwa mbaroni tu! Ya nini yote hayo. Bora niendelee kubembeleza tunguvu hutuhutu tulitobaki.
Ukiichaji juani kama betri zinarudi
Mkuu ni kweli puli inachangia sana kuua saikologia ya mtu hance inapunguza nguvu za kiume!nani kakuambia nguvu za kiume zinaisha kwa kupiga nyeto?tafuta chanzo chako halisi cha kupungukiwa nguvu tukupe ushauri sahihi
Mkuu ni kweli puli inachangia sana kuua saikologia ya mtu hance inapunguza nguvu za kiume!
kama ulivyosema "kuua saikolojia ya mtu" lakini sio nguvu za kiume.hata ukifanya kazi sana na mazoezi "inaua" saikolojia ya mtu kuwa na hamu ya ngono,hata ukitoka kupiga game la ukweli na mtu wako akajitokeza beyonce knowles mtupu kabisa unaweza kumuangalia kama jiwe tu je nguvu zako zimeisha?tafakari
Sasa yeye badala ya kupost hii thread JF Doctor anaileta hapa MMU ili ashauriwe nini? hapa uliza jinsi ya kumfikisha mwanamke kileleni utajibiwa.we dada acha kumkatisha tamaa watu wanashida wewe unaleta utani!
Sasa yeye badala ya kupost hii thread JF Doctor anaileta hapa MMU ili ashauriwe nini? hapa uliza jinsi ya kumfikisha mwanamke kileleni utajibiwa.
Kwakuwa wewe ni mgeni nakusamehe bure, ila jifunze kwanza kusoma na kuelewa.haha ww tatizo co dm afike kilelen jibu swali
Mkuu Maybach Zipo sababu nyingi zinazosababisha wanaume kupungua nguvu za kiume katika hizo ni hizi zifuatazo:Jaman nna swali hv mfn m2 alieshiw nguv za kiume kwa kupiga nyeto akaacha..atakaa muda gan mpaka nguvu za kiume zirejee tena?
Mkuu Mc Tilly Chizenga mimi hapa ndio niliye mwambia kuwa kupiga Punyeto kunasababisha upungufu wa nguvu za kiume unasemaje?nani kakuambia nguvu za kiume zinaisha kwa kupiga nyeto?tafuta chanzo chako halisi cha kupungukiwa nguvu tukupe ushauri sahihi
Mkuu Maybach Zipo sababu nyingi zinazosababisha wanaume kupungua nguvu za kiume katika hizo ni hizi zifuatazo:
1.ubugiaji wa tumbaku .
2.uvutaji wa sigara.
3.utafunaji wa mirungi.
4.unywaji wa pombe.
5.kupooza kwa mwili kunakosababishwa na maradhi.
6.ugonjwa wa kisukari.
7.kujisaidia kwa njia ya mkono. (Punyeto)
8.kuwa na mawazo kupita kiasi.
9.kufanya kazi ngumu.
Kwa kuacha kupiga Punyeto huwezi kupona nguvu zako za kiume mpaka utumie Dawa za kurudishanguvu zako za kiume waone Wataalam wahusika wakupe Dawa ikishindikana hujapona nione mimi kwa njia ya Email yangu nitakupa Dawa ya kurudisha nguvu zako za Kiume niandikie barua ya pepe Email yangu ni hii hapa fewgoodman@hotmail.com
Dawa ya Nguvu za Kiume TIBA YAKE: Bonyeza hapa https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/196934-dawa-za-nguvu-za-kiume-kwa-anayetaka.html
Mkuu Mc Tilly Chizenga mimi hapa ndio niliye mwambia kuwa kupiga Punyeto kunasababisha upungufu wa nguvu za kiume unasemaje?
Mh!We Kongosho Limekuwa Betri Hilo?
Heheheh!