Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

Mkuu Mc Tilly Chizenga Nenda Hospitali sio kwa mganga wa Kienyeji kaulize Swali Kupiga Punyeto

kunapunguza Nguvu za kiume? Kisha uje hapa utupe Feedback. Mimi nikikwambia kitu nina uhakika nacho sibahatishi hata

kidogo nenda ukafanye uchunguzi kisha uje hapa utuambie ukweli kawaulize Wataalam nenda hospitali ya Muhimbili kuna

Wataalam zaidi watakuambia madhara ya kupiga Punyeto.
 
nani kakuambia nguvu za kiume zinaisha kwa kupiga nyeto?tafuta chanzo chako halisi cha kupungukiwa nguvu tukupe ushauri sahihi
Inaonyesha wewe ni kazi yako kupiga Punyeto?ndio maana unatetea Gonjwa la kupiga Punyeto wewe Mc Tilly Chizenga Endelea kupiga hilo Punyeto Faida yake utaona wakati utakapo taka kuowa mke.
 
Last edited by a moderator:
Inaonyesha wewe ni kazi yako kupiga Punyeto?ndio maana unatetea Gonjwa la kupiga Punyeto wewe Mc Tilly Chizenga Endelea kupiga hilo Punyeto Faida yake utaona wakati utakapo taka kuowa mke.

haaa!haaa!haaa!mkuu umenichekesha kweli,mi nina mke kitambo.najadili tu mambo kwa mujibu wa maarifa niliyonayo,naongea sana na vijana wamegonga sana hiyo makitu na hakuna lolote baya.by the way wataalam ukiwauliza kiakili watakuambia hiyo ni ngono salama!
 
Kweli nguvu za kiume ni janga! Mi nimepiga sana Punyeto, na ninamridhisha vixuri tu mke wangu! Labda wewe lengo lako ukomoe mtu, hapo ndo tatixo!
 
Mkuu Mc Tilly Chizenga Kama una Mke basi Mada hii haikuhusu mada hii inawahusu wale wasiokuwa na Wanawake kisha wanapiga Punyeto. Au kama wewe ni Mwanachama wa Kupiga Punyeto ok unakaribishwa changia Uzi huu karibu je mwenzetu mpiga Punyeto?
 
MziziMkavu,endelea kuwaelimisha vijana kiongozi,nilikuwa naleta porojo za ki-mc bana!
 
Mkuu, naopoga kuwapotezea watu biashara zao....

Afya haitakiwi kuchezewa ndiyo maana nasema kuwa kama una uhakika na dawa yoyote ambayo haitakiwi kwa matumizi kwa sababu moja au nyingine ni vema ianikwe hadharani kuliko kuficha.
 
Mkuu, mi nahitaji dawa au lishe kwa ajili ya nguvu tu za mwili siyo za kime, nitumie vyakula gani?
 
nimefanya utafiti kwenye site mbali mbali kama vile ummah.com nimeona hii issue imekaa kidini zaidi na haina logic ya kitaalamu. Nilipost hii thread coz huku ZNZ ukionekana na Gold unaaambiwa "sio nzuri kwa wanaume".
Nimepata bahati ya kusoma biblia na quran na nilichogundua ni kuwa kuna research title nyingi sana kwenye hivi vitabu. Hivyo basi bila kujali imani uliyonayo ni vema ukafanyia utafiti jambo linalokatazwa au kufunuliwa kuliko kusema limekaa kidini. Kwenye Quran kuna aya inasema "...na tumewaumbieni vipando ambavyo ndani yake mnasafiria..." Hapa kazi ya mwanadamu ilikamilisha maneno haya kwa kutengeneza magari, ndege, meli, n.k.

Omba msaada tutani upate undani wa aya au hadith inayokataza wanaume kujitundika dhahabu halafu fanya utafiti juu ya tabia ya wanaume wavaa dhahabu. Bila hivyo humu utaambulia politiki tu
 
Vyakula vinavyoondoa upungufu wa nguvu za kiume (2)

KWA mujibu wa ripoti za Shirika la Afya Duniani (WHO), idadi ya wanaume ambao wanakuwa �wanaume suruali� inazidi kuongezeka kwa kasi huku kukiwa hakuna dalili za kupungua kwa tatizo hilo.

Sababu kubwa kwa sasa ni kukua kwa matumizi ya vyakula vya viwandani. Vyakula hivi kwa bahati mbaya huwa vina kemikali nyingi.

Hakuna shaka kwamba hata wewe umekuwa shahidi, kwa mfano maji mengi yanayouzwa siku hizi yamesafishwa kwa kemikali, juisi nyingi hazijatengenezwa kwa matunda halisi, bali zimetokana na harufu ya matunda na kemikali.

Ulaji usiofaa unaonekana kuwa ni mojawapo ya sababu kubwa za wanaume kwa wanawake kusumbuliwa na tatizo la nguvu au uwezo katika kushiriki jambo hili.

Ingawa tatizo la upungufu wa uwezo huo linaonekana zaidi kwa wanaume, hata wanawake nao wanasumbuliwa nalo, kwa maana ya kukosa hamu ya kushiriki tendo la ndoa.

Hata hivyo tiba ambayo wanaume wanaweza kutumia, ni ile ile ambayo wanawake wanapaswa kuitumia, kwa maana ya kula aina fulani ya vyakula ili nao waweze kuwa sawasawa kama walivyo watu wengine.

Wengine wanakula tu ili mradi tumbo limejaa, bila kuangalia hiki nakula kwa ajili ya kwenda kufanya nini katika mwili.

Mafunzo mengi yametolewa kuhusu vyakula kuanzia shule za msingi hadi sekondari na vyuo, kwamba mayai yanasaidia nini, vyakula vyenye kuongeza nguvu, wanga nk ni vipi. Lakini bado si wengi wanaojali walichofundishwa.

Pombe inasaidia nini katika mwili? Sigara inasaidia nini katika mwili? Kahawa, soda na vyakula unavyotumia vina msaada gani mwilini? Ni mambo ambayo unapaswa kuyajua.

Ndugu yangu acha tabia ya kula tu vitu ili mradi unashiba.

Unaharibu mwili wako, kwani baadhi ya vyakula vinachangia ugonjwa wa kisukari au magonjwa mengine mwilini kama moyo au nguvu za kiume kupungua hasa vile vya jamii ya mafuta.

Hata matumizi ya mafuta ya kula ni lazima kuwa nayo makini, kuna baadhi ya mafuta yanachangia mirija ya kupitisha damu katika mwili kuganda, matokeo yake damu haipiti vizuri, kitendo ambacho kinachangia mwili wa mwanadamu kuwa dhaifu.

Wengi ni wazuri wa kusoma na kushukuru kwa mada nzuri, lakini hilo silo ninalotaka; ninachotaka ni kuona mtu anachukua hatua ili kuleta mabadiliko.

Viko vyakula maalumu vilivyotengenezwa tayari kwa ajili ya kuondoa tatizo la nguvu za kiume, lakini unaweza kujaribu kutumia baadhi ya vyakula kama tangawizi vina msaada katika mwili.

Kitaalam, tangawizi ni moja ya vyakula vinavyoweza kurejesha nguvu za kiume; Jinsi ya kufanya ni kwamba unaweza kuichemsha tangawizi na ukatumia kwa kuinywa kama chai asubuhi, mchana na jioni.

NJIA NYINGINE YA KUFANYA:
Unaweza pia kuchukua kitunguu saumu kisha changanya na asali pamoja na mmea fulani unaitwa habat soda na uwe unakunywa mchanganyiko huo mara tatu kwa siku.

Ugali wa mtama asilia, mchuzi wa matembele, pweza, mrenda na maziwa navyo vina msaada katika mwili wa mwanadamu.

Mambo yanayochangia kuwa na nguvu imara ni mawili nayo ni kula chakula bora pamoja, kupata mahitaji muhimu ya mwili na kisaikolojia unahitajika uwe na amani.

Ukiwa na hofu japo kidogo tu, au msongo wa mawazo hata mwanamke wako afanyeje kukuliwaza ni ngumu kusisimka ipasavyo.

Katika kushiriki jambo hili la ndoa, unapaswa kuwa katika mazingira na muda ambao unajisikia huru.

Zaidi ya yote pendelea kunywa maziwa yaliyo changanywa na asali mbichi, kunywa maji mengi, punguza kula vitu vyenye sukari, na kula matunda, mboga za majani kwa wingi.

Pendelea kufanya mazoezi ya viungo, jizoeshe kutembea kwa miguu au kutumia baiskeli angalau nusu saa kwa siku.

Kama unakunywa pombe acha kabisa, punguza mawazo pale unapokuwa na matatizo, elewa kuwa matatizo ni sehemu ya maisha.
 
Wakuu,njia zote zikishindikana;bado lipo tumaini kwa Muumba wa mtu,kufanyia matengenezo kiungo kilichokufa au kuharibika;maana Yeye {Mola} hajawahi kushindwa kuumba upya hata sasa mtu akimwomba kwa imani!Nimesema haya kutokana na habari niliyosikia kutoka kijiji cha Mtera;jamaa alitangaza hadharani kuwa amerejeshewa upya nguvu tele ya kiume baada ya miaka 32 na Mwenyezi Mungu wake;na ameoa na kuzaa watoto na mapacha pia.
 
Ni kweli waweza pia kuja kwa tiens(tianshi) kuna zinc, 7 forces, diagins,calcium na pia tunatoa ushauri kwa watu na kucheki afya pia tunatoa ushauri juu ya aina ya lishe inayofaa kwa afya.
 
Umetoa elimu nzuri sana ndugu na haya ndiyo matumizi bora kabisa ya jukwaa hili, ubarikiwe kwani utakuwa umesaidia wengi.
Wajameni tunaulizia kwa wataalamu wa JF dawa gani za kuongeza mbegu za kiume yaani idadi zake na kuongeza nguvu za kiume ukiacha viagra.

Tuwe serious kutoa msaada.
 
Mwanaume unava cheni/heleni za gold za nini kaka si uhanithi unakumendea? Saa nitakubali ila cheni wacha upungue nguvu na ziishe kabisa ubaki kuwa useless
 
REVIVE
Bidhaa hii imetengenezwa na mimea aina mbili ambayo ni Epim-edium na Gin-sen. Bidhaa hii inawasaidia sana wanaume kuamsha hisia za mapenzi na kudumisha msisimko.
KAZI YA REVIVE

  • Kuongeza libido(ashiki au nyege)
  • Kutibu impotence(mahanisi)
  • Kuongeza muda wa uhai wa mbegu za kiume zinapotoka nje, zinatakiwa ziishi katiak joto 37’’C.
  • Kuweka mwili katika hali ya hisia ya kawaida
  • Kutibu maumivu ya kiuno
  • Kuchelewa kumwaga mapema(kufika kileleni)
  • Kutibu kutanuka kwa kibofu cha mkojo na kuzuia uwezekano wa kupata saratani ya kibofu cha mkojo.
  • Inaimarisha usafirishaji wa damu mwilini
  • Pia inasaidia kwa wenye pressure ya kushuka
  • Kuboresha utendaji wa tendo la ndoa

Kwa yeyote anayehitaji ataweza kuwasiliana na mimi kupitia namba 0776491294. Pia akiwa anahitaji ushauri au swali anaweza kuniandikia kwa barua pepe ishealthy@hotmail.com
Gharama yake ni sh 62500/- tu
 

Je hii ni pure herbal??? je inamadhara gani kwa mtumiaji???
 
Je hii ni pure herbal??? je inamadhara gani kwa mtumiaji???

Hiyo ni pure herbal na imethibitishwa kutokuwa na matatizo yoyote kwa afya na ina mafanikio mazuri sana kwa mtumiaji.
Ni bidhaa ambazo zimefanyiwa research vya kutosha miaka 4000 sasa na zinatumika siyo TZ tu bali nchini China hizi bidhaa zimehamasishwa kutumia na watu zaidi ya bilioni 1.3 kwa ajili ya afya. Zimefanyiwa utafiti na Traditional Chinese Medicine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…