Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

ktk hili pia inategemea ni mke unaishi nae au ni mpz hamuishi pamoja.....kama ni mke na unaishi nae bao 1 linatosha kbs maana wajua muda wowote waweza kupewa bila mashart.....ila kama ni mpz wa kuja na kuondoka utataka ujipinde ili ....eti umalize hamu zote usisikie tena mpaka utakapoonana nae tena...... na pia zaweza kuwa dalili za upungufu wa nguvu za kiume......jiulize before ilikuwaje na sasa ni vip..labda utujuze kizazi kipya
 
Dah kama n kidemu cha kuja na kusepa mm nacharaza hata 5 mpaka akome.
 
Mimi nikichojoa ma4 haaaa kiroho safi tu niko mwepesi, sasa we wa kimoja tafuta vyakula vya mizizi km vile mihogo, magimbi na viaz atleast utafikisha hata ma2 au ma3
 
Duhh!hlo tatzo lko ni hatari snaaa!kwnza una umri gn labda kma ningepnda kujua?bt co issue sna,me nafkri jtahdi kufnya mazoezi sna,kula vyakula vya asili na pungza kula vyakula vyenye mafuta mengi,vyakula vya kusindkwa pia co vzuri,kunywa maji ya kutosha nadhani hyo itakusaidia walau kupga hata 3 kma co 4.
 
Tatizo wengi hapa mnaongelea quantity ya mabao!! Bila kujali quality ya hata hilo bao moja ikoje!!
Mkuu kizazi kipya, if you can't nail the quantity, aim for quality!! Mwenyewe utaona matokeo yake!!
 
Acha kula mlenda au bamia kabla ya mtanange...kwa sababu ukila hiyo makitu huwa inateleza na kuja kutuama kwenye dushelele, sasa hapo mtalimbo utakua na necha ya bamia au mlenda a.k.a mdebwedo.
 
mimi natumia saa 1 kupiga bao 1 na siwezi endelea na mchezo mpaka saa 1 liishe ndo naweza endelea na mchezo tena
 
Some times stress huwa zinapelekea hilo,kwan huathiri ubongo na kupelekea mwili kufanya kazi nyingi kwa wakati mmoja.
 
Sipati picha bibie anavyofura kitu kimesinyaaa ndo kwanza asubuhi lolz.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kama ni kawaida yako unafanya Mapenzi kila cku tena zaidi ya round 2 kila cku ,hiyo hali inatokea tu with matter of tym, jaribu kupumzika kwa muda kama wiki then fanya tena kama tatizo lipo pale pale nenda kamwone mtaalam wa mambo hayo hospital
 
Mungu! wangu huo ni msiba kama anabembeleza mashine huo ni msiba, wenzenu tinapiga kama vile tunaua nyoka. Yaani ukuona unamashine tiamajitiamji, kunyanyuka mpaka uipepee ebu check na doctor haraka sana.
 
Kazi ndogo sana mbona, tatizo watu wengi hawa watu wanaitwa wanawake huwa hatuwapatoo, cha kufanya usiangalie uwingi wa magoli ndio ujue umemfikisha, cha kufanya mpatie style inayoweza kumfikisha huyo mke wako/ mpenzi wako, then cha kufanya mfikishe mara mbili mfululizo papo hapo alafu na wewe uwe wa mwisho kumaliza, baada ya hapo utamuona amelala kitandani hana nguvu tena na heshima hapo itakuwepo na hutopata dharau kutoka kwake, so uwingi wa magoli hauna tija bali kumfikisha mtu wako kwa goli lako moja la haraka haraka
 
Wote hapo juu wamekuzingua tu.....in short, kupiga bao moja utake mwenyewe na si kwamba huo ndio iwe mwisho wa uwezo wako!! Sina shaka yoyote kwamba wewe una tatizo and am afraid inaweza kuwa inasababishwa na masturbation!! Si unajua kwamba often bao la masturbation ni moja?! So, frequent practice of masturbation inafanya akili yako izoee(Condition Reflex Action) kwamba, ukishamimina mara moja, basi!

So, kama unafanya masturbation basi solution ni ku-practice kuacha.....!!

Ni science gani inayosema kuwa masturbation inasababisha bao moja? Unayozungumza hapa ni mambo ya kijiweni tu. Hakuna utafiti wowote wa kitaaluma unaokubali unayosema.
 
Hehehehe... Ukisoma comment utajua jinsi watu wengi walivyo poteza nguvu! Kila mtu et bao moja linatosha... Punguzeni chips jamani! Moja limeanza kutosha lini?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
kula dona! kula nyama choma, noah! fanya mazoezi, hata kutembea ni mazoezi! anyway sikumbuki vizuri, lakini mara ya mwisho kuonana na demu niliacha BAO TISA, mpaka leo bado ananitafuta turudie tena! muache chips kabisaaaaaa! goli moja hata kama ni viwango vya juu huwezi kumaliza haja za mwanamke, kama ni hivyo basi BAA TUNGEKUNYA MOJA TUU BASI!
 
Back
Top Bottom