Moghe
Member
- Feb 7, 2013
- 61
- 23
ktk hili pia inategemea ni mke unaishi nae au ni mpz hamuishi pamoja.....kama ni mke na unaishi nae bao 1 linatosha kbs maana wajua muda wowote waweza kupewa bila mashart.....ila kama ni mpz wa kuja na kuondoka utataka ujipinde ili ....eti umalize hamu zote usisikie tena mpaka utakapoonana nae tena...... na pia zaweza kuwa dalili za upungufu wa nguvu za kiume......jiulize before ilikuwaje na sasa ni vip..labda utujuze kizazi kipya