Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

chukua tangawizi mbili au moja saga na blenda au kidude cha kusagia karoti na nyanya weka kwenye sufuria au chombo changanya na maji kikombe cha robo hakikisha inakua ya uchungu hapo itakua ya uchungu kunywa taratibu kama juisi
 
dah hiyo dawa ni komesha lkn hamja sema kama ni.kwa muda gani utaona matokea ya kupata izo nguvu za kiume
 
tumia kadri uwezezavyo matokeo baada ya kutumia hii si dawa bali kinywaji jamii ya chakula ambao imesagwa na haina madhara
 
Mi nashauri kutumia mizizi ya bamia, chukua mizizi iliyokwisha komaa na bamia kuchumwa, osha mizizi vizuri kisha ianike halafu twanga ili kupata unga. Weka nusu kijiko kidogo cha chai katika chai au uji unashauriwa kufanya zoezi hilo siku ambazo unajua uko na mama karibu .....
 
Mi nashauri kutumia mizizi ya bamia, chukua mizizi iliyokwisha komaa na bamia kuchumwa, osha mizizi vizuri kisha ianike halafu twanga ili kupata unga. Weka nusu kijiko kidogo cha chai katika chai au uji unashauriwa kufanya zoezi hilo siku ambazo unajua uko na mama karibu .....

wewe koku1998 hii dawa yako inatofauti gani na supershaft? maana umesema nikinywa nihakikishe niko karibu na mama je asipokuwepo?
 
Last edited by a moderator:
shukrani kwa wote wataalam kwa msaada wenu pia inaonekana hili ni tatizo kubwa sana ulimwenguni
 
Yaani hawa madaktari uchwara bwana, kila kitu kichungu ni dawa kwa tatizo lililoko mtaani saa hiyo. Acheni ujinga, kama mtu ana matatizo ya nguvu za kiume aende hospital akapate ushauri wa kidaktari. Upungufu wa nguvu za kiume ni matokeo ya mambo mawili tu; moja, msukumo wa damu - msukumo wa damu ndio unao'determine' uume(samahani) kusimama, ndio maana watu wenye matatizo ya Low Blood Pressure mara nyingi wako subject to matatizo ya kutosimamisha. mbili, content ya mbegu za kiume, ambayo ni matokeo ya lishe duni. Mbegu za kiume ni Protein in nature, ndio maana wanaume wanashauriwa kula karanga (ambazo ni rich in protein and fat) wanapojiandaa kwa mechi.
Sasa hili la glass za tangawizi limetokea wapi? Afadhali hata angeniambia pilipili ningemuelewa kwa sababu pilipili ina'boost' msukumo wa damu!! Ila tangawizi, ama kweli. Atuletee vipimo vya kitaalamu kwanza
 
hahahhaha kweli kazi utoto na kazi kweli mbona aibu dawa nzuri lakini ya bao 6 wala haina uhusiano na dawa
 
kitunguu swaumu ndo dawa mtu wangu...na vile vile kinaongeza libido (hamu ya ngono), hakina masharti we kile tu kikavu au kwenye mboga.. hii ndo dawa isiyo na madhara bali faida nyingi tu na inasaidia mambo ya msukumo wa damu...inafaa sana kwa mzinzi km wewe
 
uwongo hii dawa kabisaaaaa...Ukiona daktari anasema dawa halafu hakupi dozi huyo ni muhuni. dawa ya ukweli ni matikiti maji. Chukua tikiti maji kukwa saizi ya kichwa cha mtu ma 2 katakata unameza yote kazikwako na mpenzi wako.
 
Back
Top Bottom