Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu zanguni hebu tusaidiane katika hili. Nina rafiki yangu mmoja alikuwa ananiomba ushauri anasema yeye ameoa. Anapata tatizo moja kubwa. Kila wakiwa na mwenzake kwenye malovedavi wakianza ku du tu....anakua yuko fiti na ana du kwa dakika kama 5 hivi anapiga bao moja basi anakua hana hamu tena na Muhogo unalala. Sasa anaomba ushauri je anatatizo gani na afanye nini ili angalau aweze kupiga bao mbili. Ushauri wenu unahitajika.
Kwanza ndoa ina muda gani? Alikuwa natatizo hilo kipindi anaoa au baada ya kukaa kwenye ndoa kwa muda mrefu? Mimi naona siyo tatizo kama atakuwa anakwenda round moja akilala na wakati wa kuamka asubuhi akashitua tena.
Sasa kama jogoo hashituki tena baada ya safari hiyo hilo ni tatizo lakini ambalo linahitaji tiba. Pia kama aliwahi kuwa mpiga nyeto mahiri hapo nyuma anaweza kuwa ameathirika kisaikolojia maana mwanamke ni tofauti na ny'eto hasa kuanzia second round ambayo nyoka keshatema mate yake tehe tehe.
Hizo Dakika 5 anazokwambia siyo za kweli anakuongopea, huyo aishapanda anakojoa basi, Mimi nahisi huyo alikuwa anapiga punyeto kabla hajaoa na imemfanya ajenge mazoea kwamba baada ya kamoja ka punyeto anakaa pembeni sasa hata kwa wife ni hivyo.Wengi wenye matatizo hayo walioeleza ukweli wao wamepona baada ya kupewa ushauri na Dk na pia kupewa dawa za miti shamba. Naomba sana vijana wa tanzania muepuke kutumia Viagra mnapoona uwezo ni mdogo kumridhisha mkeo tafuta wataalamu wenye roho ya kibinadamu wanaoweza kukupa ushauri wa kukuponya kabisa. Wasiliana na Namba hii 0715 636688 au 0755 336688 Yuko Dar es salaam amesaidia wengi. Jieleze kwa uwazi utasaidiwa ila kuwa mkweli kueleza historia ya tatizo lako usaidiwe. Mitishamba siyo uchawi.
Aache uvivu.................. kina dada wengi wanalia wanaume ni wavivu, ajitume kwa kujali hisia za mwenzake!Ndugu zanguni hebu tusaidiane katika hili. Nina rafiki yangu mmoja alikuwa ananiomba ushauri anasema yeye ameoa. Anapata tatizo moja kubwa. Kila wakiwa na mwenzake kwenye malovedavi wakianza ku du tu....anakua yuko fiti na ana du kwa dakika kama 5 hivi anapiga bao moja basi anakua hana hamu tena na Muhogo unalala. Sasa anaomba ushauri je anatatizo gani na afanye nini ili angalau aweze kupiga bao mbili. Ushauri wenu unahitajika.
Hilo tatizo limemuanza ghafla au ni la muda mrefu?
Je mtu huyo huwa ana tabia ya kujichua uume wake?
Amepima magonjwa kama kisukari au shinikizo la damu?
Je ni mvutaji sigara au anatumia kilevi cha aina yoyote?
mkuu unanifurahisha sana kwa kuguswa na hoja za watu
Ndugu zanguni hebu tusaidiane katika hili. Nina rafiki yangu mmoja alikuwa ananiomba ushauri anasema yeye ameoa. Anapata tatizo moja kubwa. Kila wakiwa na mwenzake kwenye malovedavi wakianza ku du tu....anakua yuko fiti na ana du kwa dakika kama 5 hivi anapiga bao moja basi anakua hana hamu tena na Muhogo unalala. Sasa anaomba ushauri je anatatizo gani na afanye nini ili angalau aweze kupiga bao mbili. Ushauri wenu unahitajika.
kuna sababu nyingi ila zinategemea na tatizo lilianza lini na vip? na inawezekana hisia kwa mke wake zimepungua pia au ni kwa kila anaye du naye??
apunguze kula vitu vya mafuta
apunguze au aache kula chakula usiku wakati wa kulala
asitumie sana vilevi au kufanya kazi nzito kwa muda mrefu
asiwe na stress kabla ya tendo la ndoa
ajiamini wakati wa tendo
afanye mazoezi japa hata pish up tana asubuh na tano jioni,
asitumie dawa za kuongeza nguvu za kiume au kuongeza uume, na asi fanye ngono ovyo mara kwa mara