Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

Aaa chakula si chake ? Basi atakula hata kiporo au atakapotamani " The Meal is ready anakula " time yake...
 
khaaaaaaa!Mkuu hata hukoboi unasaga tu
tatizo mimwanamke miiingi ya digital inalala kama migogo inasubili tuuu ishikwe huku na kule inyonywe papuchi zao na kuchezewa mnara wa network.
inafurahia weeee mwisho wa siku yenyewe haishiki kitu wala kujishugulisha kwa lolote mwisho wa siku matatizo kama haya ndio hujitokeza.
mwanaume nae anahitaji kuandaliwa na kutendewa na kupewa romance bana ndio maana kuna baadhi ya makabila yataendelea kutamba na kuonekana ni malaya.

na kamwe biashara ya wauza uchi haita kaa ikome sababu ukichukua malaya unafaidi sana hata kama unaibiwa ila daaa unaibiwa kiufundi na kwa kupata raha bana.maana ukijikabizi kwa malaya na kidau chako mbona utarambwa kama paka anavyo lamba kitoto anapozaa.

wanawake badilikeni bana nyie mnachangia sana haya matatizo na maneno yenu eti mwanaume mwenyewe anakibamia kumbe nyie ndio mna mipapuchi mikubwa kama mapango??

ndio maana watoto wabinti wadogo wanangonolewa sana na watu wazima coz watu wanatafuta kitu mnato bana.
matokeo yenu ya kuwa na mipapuchi mikubwa mmesababisha mpaka biashara au fashion ya kuliwa tigo iwe juu coz mtu anaona kunako tigo ndio kuna mnato zaidi na anafaidi kuliko kunako papuchi.
yote hayo ni sababu hamna maufundi ya kumwandaa mwanaume na kumlizisha.sasa wewe unapolala kama gogo si bora nichukue mafuta na kupiga nyeto tuuu
 
hhhaaaaaa dakika 5 tu wakati jamaa anasimamia shooooo dakika 25 - 40, na anaenda hadi bao tatu (for 3 hrs)

mwambie aache kula chipsi mayai

ale vyakula vyenye kuupa mwili nguvu mfano (ugali, maharagwe yenye nazi/karanga, korosho etc)

asiwe anavaa C777up$$$i inayokaba korodani, zinatakiwa zipate hewa ya kutosha.
 
Apunguze hofu wakati wa maandalizi, Pia ahakikishe mwili upo katika hali nzuri yani hauna maumivu ya aina yoyote yole, Pia akacheki kama ana homa kama ipo nayo aitibu. Na asiwe ana kurupuka kumlukia mwenzake mapema mapema ahakikishe akili zao zina kutana katika point moja before hawajaanza
 
BRO punguza hasira,haya matusi ya nguoni kwa kina nanihii
tatizo mimwanamke miiingi ya digital inalala kama migogo inasubili tuuu ishikwe huku na kule inyonywe papuchi zao na kuchezewa mnara wa network.
inafurahia weeee mwisho wa siku yenyewe haishiki kitu wala kujishugulisha kwa lolote mwisho wa siku matatizo kama haya ndio hujitokeza.
mwanaume nae anahitaji kuandaliwa na kutendewa na kupewa romance bana ndio maana kuna baadhi ya makabila yataendelea kutamba na kuonekana ni malaya.

na kamwe biashara ya wauza uchi haita kaa ikome sababu ukichukua malaya unafaidi sana hata kama unaibiwa ila daaa unaibiwa kiufundi na kwa kupata raha bana.maana ukijikabizi kwa malaya na kidau chako mbona utarambwa kama paka anavyo lamba kitoto anapozaa.

wanawake badilikeni bana nyie mnachangia sana haya matatizo na maneno yenu eti mwanaume mwenyewe anakibamia kumbe nyie ndio mna mipapuchi mikubwa kama mapango??

ndio maana watoto wabinti wadogo wanangonolewa sana na watu wazima coz watu wanatafuta kitu mnato bana.
matokeo yenu ya kuwa na mipapuchi mikubwa mmesababisha mpaka biashara au fashion ya kuliwa tigo iwe juu coz mtu anaona kunako tigo ndio kuna mnato zaidi na anafaidi kuliko kunako papuchi.
yote hayo ni sababu hamna maufundi ya kumwandaa mwanaume na kumlizisha.sasa wewe unapolala kama gogo si bora nichukue mafuta na kupiga nyeto tuuu
 
Dk 25 up to 40 kwa bao la kwanza? Nae huyo ana matatizo yani sio hali ya kawaida hiyo.

hhhaaaaaa dakika 5 tu wakati jamaa anasimamia shooooo dakika 25 - 40, na anaenda hadi bao tatu (for 3 hrs)

mwambie aache kula chipsi mayai

ale vyakula vyenye kuupa mwili nguvu mfano (ugali, maharagwe yenye nazi/karanga, korosho etc)

asiwe anavaa C777up$$$i inayokaba korodani, zinatakiwa zipate hewa ya kutosha.
 
Kwani ukipiga bao moja, inatakiwa ukae muda gani ndio usikie hamu tena? Na kama wanafanya mapenzi usiku tu hilo lawezekana, maana mkifanya kuanzia saa nne usiku, baada ya bao moja lazima upumzike, na ukikaa kidogo usingizi utakuchukua. Je aliwahi kumwamsha angalau saa 11 wafanye japo cha asubuhi?
 
Wanaume wameandamwa humu na wewe you add to the pain. Suluhisho ni kwamba mwambie abadilishe demu aone matokeo. Tatizo la kulala kwa muhogo huenda ni kwa sababu ya huyo Mkewe.

Unakuta mwanamke havutii, chini ana mfuko wa Rambo na Maji kama sehemu ya kuogelea, kujiweka msafi kazi kwake n.k Kwa nini mashine isilale baada ya bao moja? Tatizo hili mara nyingi linakuja pale mtu anapoolea tabia bila kuwa na mapenzi ya dhati toka moyoni. siku 2 tu keshamchoka na hata ile hamasa haipo tena.

Mnajidanganya sio vyakula wala si chochote ni kwamba amwambie huyo mke wake ajitume zaidi. Wanaume tunapata hamu ya kufanya mara nyingi zaidi endapo tuna enjoy na kufurahia kile kitendo.

Wanawake badilikeni msifikire kuridhishwa nyinyi tuuuuuu. Angalieni je na mwenzangu ameridhika? Jitumeni ongezeni mautundu ili turidhishane.

Umemaliza yote mkuu!

Niliwahi kuwa tatizo kama aliloeleza mleta mada, kila siku lawama kwa mama naniliu! Na lawama hizo kiukweli zinabomoa zaidi ya kujenga. Maana kila ikifika wakati wa tendo mwanaume unaanza kuwaza sijui leo nisipomridhisha itakuwaje! Maana unasonywa, unaoneshwa wazi kwamba hufai, huwezi, badala ya kutiwa moyo. Maumbile ya kike yanawa-favor sana wanawake, hata kama hana hamu bado anaweza kumridhisha mumewe tu.

Sasa basi baada ya kuona hali hiyo nikitishiwa hadi kushtakiwa kwa wazazi, nikaona ngoja nitafute mechi ya kirafiki nione shida iko wapi...., maana nilishaambiwa nitafutiwe dawa ya kienyeji nikawa nagoma. Sasa bwana huko kunako mechi ya kirafiki, mbona hadi kesho natafutwa gharama zozote! Maana mautundu ya mtoto wakati wa mechi unapiga mabao mengine kutoka kwa kipa hadi kipa na bao linatingaaaa......

Jamani wadada mkiolewa msiache mautundu, endelezeni! Maana kabla simuwowa huyu shemeji yenu tulikuwa twaenda sawa hadi mwenyewe anasepa na naniliu yako katika mkoba maana kuivaa alikuwa anaona atachelewa kuondoka chumbani...,

Basi bwana ngoja niwachie hapa MV mie
 
Ndugu zanguni hebu tusaidiane katika hili. Nina rafiki yangu mmoja alikuwa ananiomba ushauri anasema yeye ameoa. Anapata tatizo moja kubwa. Kila wakiwa na mwenzake kwenye malovedavi wakianza ku du tu....anakua yuko fiti na ana du kwa dakika kama 5 hivi anapiga bao moja basi anakua hana hamu tena na Muhogo unalala. Sasa anaomba ushauri je anatatizo gani na afanye nini ili angalau aweze kupiga bao mbili. Ushauri wenu unahitajika.

Pole sana mageuzi1992, ninacho kushauri tu ni kwamba uache kupiga sana punyeto kabla ya tendo la ndoa na mkeo na kuacha kula vyakula vya mafuta, fanya diet na upunguze mwili kidogo, la sivyo utaibiwa kama bado mkeo hajaaanza kujitafutia njia mbadala.
 
Last edited by a moderator:

Mkuu mageuzi1992 Ikiwa ni wewe au rafiki yako mwambie kwa kupiga bao moja kisha hawezi kurudia tena. Huyo rafiki yako ana matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume atembelee hapa https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/196934-dawa-za-nguvu-za-kiume-kwa-anayetaka.html

SABABU KUU ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME:

Zipo sababu nyingi zinazosababisha wanaume kupungua nguvu za kiume katika hizo ni hizi zifuatazo:

1.ubugiaji wa tumbaku .

2.uvutaji wa sigara.

3.utafunaji wa mirungi.

4.unywaji wa pombe.

5.kupooza kwa mwili kunakosababishwa na maradhi.

6.ugonjwa wa kisukari.

7.kujisaidia kwa njia ya mkono KUPIGA PUNYETO.

8.kuwa na mawazo kupita kiasi.

9.kufanya kazi ngumu.

10. Utumiaji wa Madawa ya Kulevya Uvutaji wa unga.

tusubiri wachambuzi..kina mzizimkavu.
Vipi hujambo wewe?

MziziMkavu hebu pitia hapa.
Haya tena nimesha Ufumbuzi kazi kwake tembelea hapa https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/196934-dawa-za-nguvu-za-kiume-kwa-anayetaka.html
 
Hilo tatizo limemuanza ghafla au ni la muda mrefu?

Je mtu huyo huwa ana tabia ya kujichua uume wake?

Amepima magonjwa kama kisukari au shinikizo la damu?

Je ni mvutaji sigara au anatumia kilevi cha aina yoyote?

Anavyodai hana Kisukari ila presure hajapima....kuhusu kujichua anasema kuna vipindi alikuwa akifanya hivyo sana kuogopa ukimwi...baada ya kutemana na demu wake kabla hajaoa. Kuhusu sigara havuiti!... Pombe anakunywa.
 
Pole sana mageuzi1992, ninacho kushauri tu ni kwamba uache kupiga sana punyeto kabla ya tendo la ndoa na mkeo na kuacha kula vyakula vya mafuta, fanya diet na upunguze mwili kidogo, la sivyo utaibiwa kama bado mkeo hajaaanza kujitafutia njia mbadala.

Si mimi mwenye shida ndugu ni jamaa yangu alitaka ushauri sana nikaona niwashirikishe wadau ili nipate cha kumshauri zaidi...
 
Anavyodai hana Kisukari ila presure hajapima....kuhusu kujichua anasema kuna vipindi alikuwa akifanya hivyo sana kuogopa ukimwi...baada ya kutemana na demu wake kabla hajaoa. Kuhusu sigara havuiti!... Pombe anakunywa.

Basi bila shaka tatizo limetokea hapo kwenye kujichua...

1. Mwambie awe anajiamini anapofanya mapenzi, ajifunze mbinu mbali mbali za kuwa steringi kitandani...

2. Atumie muda mrefu kufanya foreplay na mke wake (dakika 5 ni chache mno)...

3. Apunguze kunywa pombe na kama anaweza aache kabisa...

4. Asiwe anapania sana au kufanya kwa kukomoa...

5. Afanye sana mazoezi ya viungo maana ukiacha kupunguza ugoigoi basi itamuongezea pumzi na flexibility...

6. Kuna baadhi ya mikao inabidi aache kuitumia mathalani doggy 'entering from behind au chuma tembele', missionary 'man on top au kifo cha mende'
Mikao itayomfaa ni ile ya Side by side kama 'Dessert Spoon', 'Spider Web', 'Spoons'.

Pia anaweza kufanya woman on top baadhi, kwani hasara ya woman on top ni vile mwanamke ndiye anakuwa anaongoza Ngalawa sasa hukawii kunogewa. Kwa hii jaribu kumshauri atumie See-Saw

NB:

Kwa habari ya hiyo mikao nakuomba tu ufanye googling coz ziwezi weka picha hapa...
 
Si mimi mwenye shida ndugu ni jamaa yangu alitaka ushauri sana nikaona niwashirikishe wadau ili nipate cha kumshauri zaidi...

Wewe usiogope, hili ni jukwaa la kupashana habari. Kwa udaktari wangu ninahisi moja kwa moja hili linakuhusu wewe hivyo basi, jiangalie viganja vyako wa mkono unao tumia kujichua kama umeota manyoya basi wewe umeathirika na kujichua na kama sivyo basi jipime presha.
 
Pamoja na hayo yote ningemshauri pia atumie lishe iliyoandaliwa kiasilia na iliyothibitika kutokuwa na madhara na inatumika kote duniani na pia hapa Tanzania imethibitishwa na mamlaka ya chakula na dawa. Fuatilia maelekezo yake kwa makini hapo chini.

MAGILIM

Inatokana na majina ya Magic-Slim, jina hili likabadilishwa na kuitwa Magilim.
Imetengenezwa kwa mimea kadhaa, mimea hiyo ni;

  • Seamen cassie
  • Cassia bark
  • Mullberry leaver
  • Fago fyrum tataricum
Ikiingia katika utumbo mdogo huyeyuka kuwa ute ute na gel husaidia kugandisha mafuta uliyokula ili yasitumike mwilini, na kufanya mwili kutumia mafuta yaliyoko wilini tu, hivyo kusaidia kupunguza mwili na uzito.
Ikiingia kwenye utumbo mkubwa inasaidia kugandisha maji ya nyongo na chumvi chumvi zake.
Ini huwa inavunjavunja mafuta na kutengeneza;

  • Maji ya nyongo
  • Nguvu ya mwili(glucose)
  • Uric acid
Magilim ukiinywa inasaidia kugandisha maji ya nyongo na mafuta, pia husaidia kwenda kwenye damu kutoa sukari na uchafu kupitia kwenye figo.
Matokeo yake mwili hukosa nguvu kwa kutoa sukari na mafuta, kugandishwa pamoja na maji ya nyongo kwenye utumbo mkubwa na mdogo.
Kufanya mwili kulazimika kutafuta nguvu kwenye hifadhi zake, sehemu zenye mafuta mfano kitambi, ------ na mikononi wanawake. Wanaopunguza unene na uzito hivyo mwili unatengeneza kemikali inayosaidia kutoa mafuta kwenye mwili na yanasafirishwa na damu kupelekwa kwenye ini pale ambapo ini huvunjavunja yale mafuta na kutengeneza vitu vitatu; maji ya nyongo, nguvu ya mwili ana uric acid. Wakati huo maji maji ya nyongo yanazidi kugandishwa na mafuta kwenye utumbo mkubwa na mdogo.

  1. Uric acid na sukari inatoka kupitia figo kwenye mkojo na kufanya mwili unazidi kutoa mafuta kwenye hifadhi zake mwilini na kufanya mtu azidi kupungua(kukonda).
Magilim inasaidia kusawazisha kiwango cha sukari kwenye damu na kuzuia mwili kunyonya vyakula vya wanga kwenye utumbo mdogo na kutoa sukari kwenye damu kupitia figo, huleta faida kwa wagonjwa wa kisukari na wale wanaotaka kujizuia kupata matatizo ya sukari.
Magilim ikiwa kwenye ute ute(gel) kwenye utumbo inasaidia kusafisha utumbo mkubwa na mdogo na kusafisha mfumo wote wa kusagia chakula.

KAZI YA MAGILIM

  • Kupunguza uzito na unene
  • Kusawazisha kiwango cha sukari kwenye damu
  • Kusafisha mfumo wote wa kusagia chakula
  • Inapunguza uwezo wa mwili kunyonya lishe
  • Kutoa sumu mwilini
  • Kutoa chunusi mwilini
  • Kutibu matatizo ya tumbo

REVIVE

Bidhaa hii imetengenezwa na mimea aina mbili ambayo ni Epim-edium na Gin-sen. Bidhaa hii inawasaidia sana wanaume kuamsha hisia za mapenzi na kudumisha msisimko.

KAZI YA REVIVE

  • Kuongeza libido(ashiki au nyege)
  • Kutibu impotence(mahanisi)
  • Kuongeza muda wa uhai wa mbegu za kiume zinapotoka nje, zinatakiwa ziishi katiak joto 37’’C.
  • Kuweka mwili katika hali ya hisia ya kawaida
  • Kutibu maumivu ya kiuno
  • Kuchelewa kumwaga mapema(kufika kileleni)
  • Kutibu kutanuka kwa kibofu cha mkojo na kuzuia uwezekano wa kupata saratani ya kibofu cha mkojo.
  • Inaimarisha usafirishaji wa damu mwilini
  • Pia inasaidia kwa wenye pressure ya kushuka
  • Kuboresha utendaji wa tendo la ndoa

CA + FE + ZI PLUS

  • CA – Madini ya Chokaa
  • FE – Madini ya Chuma
  • ZI – Madini ya Zinki

FAIDA ZA MADINI YA CHOKAA

  • 5% ni uzito wa mwili wa binadamu na ni 2% ya uzito wa binadamu ni madini ya chokaa.
  • Madini ya chokaa yanaimarisha mfumo wa kinga mwilini
  • Madini haya yanasaidia utendaji wa kazi mwilini
  • Madini ckokaa yanaimarisha mishipa ya hisia na ubongo
  • Madini chokaa yanasaidia kugandisha damu mtu anapopata majeraha

FAIDA ZA MADINI CHUMA

  • Hutumika kutengeneza damu hasa Red blood cells ambazo husafirisha oxygen
  • Huimarisha mfumo wa mishipa ya hisia mwilini
  • Huongeza uwezo wa kufikiria na nguvu ya ubongo kwa binadamu
  • Huongeza nguvu mwilini

FAIDA ZA MADINI YA ZINKI

  • Inaimarisha mfumo wa uzazi kwa wanaume
  • Inaimarisha milango ya fahamu
  • Kutibu vidonda vya ndani na nje wa binadamu
  • Inatunza ngozi na kulinda ngozi na nywele
  • Inaondoa matatizo ya macho.

Kwa swali lolote au ushauri waweza kuuliza kwa kunipigia 0776491294/0713889162 au kuniandikia kupitia email ishealthy@hotmail.com

MAGILIM ni 62500/-, REVIVE ni 60500/- na CA+FE+ZI Plus ni 51000/-
 
Attachments

  • REVIVE.jpg
    REVIVE.jpg
    13.9 KB · Views: 116

  • Kuongeza muda wa uhai wa mbegu za kiume zinapotoka nje, zinatakiwa ziishi katiak joto 37''C.
  • Kuweka mwili katika hali ya hisia ya kawaida
  • Kutibu maumivu ya kiuno
  • Kuchelewa kumwaga mapema(kufika kileleni)
  • Kutibu kutanuka kwa kibofu cha mkojo na kuzuia uwezekano wa kupata saratani ya kibofu cha mkojo.
  • Inaimarisha usafirishaji wa damu mwilini
  • Pia inasaidia kwa wenye pressure ya kushuka
  • Kuboresha utendaji wa tendo la ndoa

CA + FE + ZI PLUS

  • CA – Madini ya Chokaa
  • FE – Madini ya Chuma
  • ZI – Madini ya Zinki

FAIDA ZA MADINI YA CHOKAA

  • 5% ni uzito wa mwili wa binadamu na ni 2% ya uzito wa binadamu ni madini ya chokaa.
  • Madini ya chokaa yanaimarisha mfumo wa kinga mwilini
  • Madini haya yanasaidia utendaji wa kazi mwilini
  • Madini ckokaa yanaimarisha mishipa ya hisia na ubongo
  • Madini chokaa yanasaidia kugandisha damu mtu anapopata majeraha

FAIDA ZA MADINI CHUMA

  • Hutumika kutengeneza damu hasa Red blood cells ambazo husafirisha oxygen
  • Huimarisha mfumo wa mishipa ya hisia mwilini
  • Huongeza uwezo wa kufikiria na nguvu ya ubongo kwa binadamu
  • Huongeza nguvu mwilini

FAIDA ZA MADINI YA ZINKI

  • Inaimarisha mfumo wa uzazi kwa wanaume
  • Inaimarisha milango ya fahamu
  • Kutibu vidonda vya ndani na nje wa binadamu
  • Inatunza ngozi na kulinda ngozi na nywele
  • Inaondoa matatizo ya macho.

Kwa swali lolote au ushauri waweza kuuliza kwa kunipigia 0776491294/0713889162 au kuniandikia kupitia email ishealthy@hotmail.com

MAGILIM ni 62500/-, REVIVE ni 60500/- na CA+FE+ZI Plus ni 51000/-

Kwa wale waliokuwa wakiulizia sana kuhusu ushuhuda sababu wengi huwa pia wanataka kuamini kutoka kwa wenzao waliokwishatumia hii lishe na kupona. Fuatilia ushuhuda wa watu waliotumia hapa chini katika link niliyoiweka.
Testimony-REVIVE
 
Back
Top Bottom