Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

REVIVE
Bidhaa hii imetengenezwa na mimea aina mbili ambayo ni Epim-edium na Gin-sen. Bidhaa hii inawasaidia sana wanaume kuamsha hisia za mapenzi na kudumisha msisimko.
KAZI YA REVIVE

  • Kuongeza libido(ashiki au nyege)
  • Kutibu impotence(mahanisi)
  • Kuongeza muda wa uhai wa mbegu za kiume zinapotoka nje, zinatakiwa ziishi katiak joto 37’’C.
  • Kuweka mwili katika hali ya hisia ya kawaida
  • Kutibu maumivu ya kiuno
  • Kuchelewa kumwaga mapema(kufika kileleni)
  • Kutibu kutanuka kwa kibofu cha mkojo na kuzuia uwezekano wa kupata saratani ya kibofu cha mkojo.
  • Inaimarisha usafirishaji wa damu mwilini
  • Pia inasaidia kwa wenye pressure ya kushuka
  • Kuboresha utendaji wa tendo la ndoa

Kwa yeyote anayehitaji kuipata ni sh 60500/- tu. Napatikana kwa namba 0776491294 pia kwa barua pepe ishealthy@hotmail.com na ukiwa na swali ushauri unakaribishwa sana
 
Wanajamvi ni nini kinasababisha mwanaume apige bao moja tu kwa siku labda na baada ya hapo hawezi rudia mpaka kesho yake?
Au uume kusinyaa katikati ya tendo kabla hujafika?

Na nini dawa yake?
 
Bao nyingi kwani ni mashindano!!. Cha msingi hakikisha na mwenzako anafika kileleni hata kama ni bao moja tu. Zaidi ya hapo inategemeana na mambo mengi sana ikiwemo na afya.
 
Kwani kiwango ni bao ngapi? Bao linaweza kuwa moja lakini la haja ..au unaongelea vibao uchwara..
Anyways...yako mambo mengi ila kubwa ni lishe.....lishe ndogo siku hizi
 
Tatizo wengi wanafikiri sex ni kukojoa kojoa kama sungura,mzee bao moja ni afya,kama mpenzi wako ameridhika ni sawa tu.
 
Quality over quantity.

Mambo ya kupandiana kama kuku acha. Bao moja inatosha mradi mwenzako kafika.
 
Baba piga bao moja la nguvu tosha. Labda kama ni malaya unataka umkomoe kwa kuwa kala hela yako
 
Wote hapo juu wamekuzingua tu.....in short, kupiga bao moja utake mwenyewe na si kwamba huo ndio iwe mwisho wa uwezo wako!! Sina shaka yoyote kwamba wewe una tatizo and am afraid inaweza kuwa inasababishwa na masturbation!! Si unajua kwamba often bao la masturbation ni moja?! So, frequent practice of masturbation inafanya akili yako izoee(Condition Reflex Action) kwamba, ukishamimina mara moja, basi!

So, kama unafanya masturbation basi solution ni ku-practice kuacha.....!!
 
Mabao yangekuwa biashara, sipati picha.
What ru insinuating? Kwamba ingekuwa tunajazana kwenye foleni, au?! halafu maongezi btn customers and shopkeepers yangekuwaje?! Let me guess:
Shopkeeper: Unataka mangapi?
Client: Kwani bei gani?
Shokeeper: Moja buku 2, ukinunua matano nakuongeza mawili bure!
Client: Nipe matano basi,manake home yapo matatu ambayo yalibaki jana!
 
Ha ha ha mnaongelea mabao gani bandugu ?

Ni Yale Juventus aliyomfunga Celtics juzi au?
 
unaweza piga bao zaidi ya moja, kwanza uwe vizuri kimawazo bila kusahau kuwa huyo mwanamke umempenda na anakusisimua, ukishapiga la kwanza pumzika kidogo kabla ya kuendelea usitake kulazimisha kupiga ndanikwandani,kusinyaa katikati ya mchezo mara nyingi mawazo yanakuwa hayajatulia pengine una wasiwasi wa jambo lolote ile hasa ugonjwa,kufumaniwa, una hasira naye na mambo mengine yafananayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…