Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

Wakuu kwema?

Leo ni mara ya kwanza kujiunga na familia hii baada ya kuwa mpitiaji wa nyuzi mbalimbali.

Mimi ni kijana wa 20's ambae kwa sasa napitia changamoto kubwa inayonifanya nisiwe na mahusiano ya kudumu.

Kwanza kabisa ni suala la kugegeda. Hapa nikipiga bao moja tena la dk 4-5 nakuwa sina tena hamu ya kurudia tendo na nikirudia muda unakua huo huo na siwezi kwenda zaidi ya hapo.

Pili nina tatizo la uume kuwa mdogo sana. Hizi hali zinanikosesha raha ya mahusiano kabisa wakuu.

Nifanyeje niondokane na halii hii? Napata shida sana hadi nimekosa raha ya maisha.

Usikurupuke tu kwa kukatishakatisha habari, tueleze ukweli tukusaidie.
 
Pole Sana Mkuu! Kwa kuanzia Acha Punyeto kabisa,Fanya Mazoezi ya kutosha! Swala la Uume kuwa mdogo ni relative term,mdogo kulinganisha na nani? Japokuwa ni Ngumu tafuta mwanamke mwenye K ndogo prefarably Mwanamke ambaye ni Mwali(Bikra)

Kwa sababu ya Umwali wake atakuwa hana pa kulinganishia lakini ukienda kwa Mwanamke ambaye ameshazijua mboo 30 kwenye Maisha yake basi utaisoma namba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu kwema?

Leo ni mara ya kwanza kujiunga na familia hii baada ya kuwa mpitiaji wa nyuzi mbalimbali.

Mimi ni kijana wa 20's ambae kwa sasa napitia changamoto kubwa inayonifanya nisiwe na mahusiano ya kudumu.

Kwanza kabisa ni suala la kugegeda. Hapa nikipiga bao moja tena la dk 4-5 nakuwa sina tena hamu ya kurudia tendo na nikirudia muda unakua huo huo na siwezi kwenda zaidi ya hapo.

Pili nina tatizo la uume kuwa mdogo sana. Hizi hali zinanikosesha raha ya mahusiano kabisa wakuu.

Nifanyeje niondokane na halii hii? Napata shida sana hadi nimekosa raha ya maisha.
Wewe unataka uende dakika ngapi?
 
Kwenye uume kua mdogo tuna swala sawa ni rahisi jifunze kua comfortable ilikua ngumu mwanzo ila sasa kila kitu kipo sawa.

Pia kuhusu kuwahi ni swala la akili zaidi kuliko swala la uume kua mdogo. Kiukweli nampenda Shilole (wa zamani) so kuna chansi kubwa nikiwa naye on bed nikawahi kumwaga hiyo ni kawaida.

Mind over matter
 
Eti dakika 5 ni chache kwa Round moja?
 
Back
Top Bottom