daah ww unamuua kiakili jamaa yetu [emoji28] [emoji28] [emoji28]Pole sana aisee dakika moja chali na wanawake wenyewe siku hizi tuna nguvu nyingii[emoji23][emoji23]
Fanya mazoezi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu kwema?
Leo ni mara ya kwanza kujiunga na familia hii baada ya kuwa mpitiaji wa nyuzi mbalimbali.
Mimi ni kijana wa 20's ambae kwa sasa napitia changamoto kubwa inayonifanya nisiwe na mahusiano ya kudumu.
Kwanza kabisa ni suala la kugegeda. Hapa nikipiga bao moja tena la dk 4-5 nakuwa sina tena hamu ya kurudia tendo na nikirudia muda unakua huo huo na siwezi kwenda zaidi ya hapo.
Pili nina tatizo la uume kuwa mdogo sana. Hizi hali zinanikosesha raha ya mahusiano kabisa wakuu.
Nifanyeje niondokane na halii hii? Napata shida sana hadi nimekosa raha ya maisha.
Haihitaji kuambiwa ana shida,anajua ana shida,anachohitaji ni ushauri! Two things involved, aidha umshauri au umpe pole!Kwa kweli mwana unashida. Maana hapa duniani katika burudani zote burudani namba moja ni hiyo ya kugegedana na wee hapo ndio upo chini.
Hehe mkuu unaona swala dogo hilo??
Hivi kuna mwanaume hajawahi fanya huo ujinga... Labda aliyezaliwa bila macho na mikonoToa historia yako kwa ufupi, umewahi kupiga/ unapiga punyeto? Unaangalia picha za ngono??
Sent using Jamii Forums mobile app
Ebu acheni utani nyie watu dakika 4 ni vidakika.Ha ha haaaa bora umemwambia, asidhani masihara na hivyo vdk vyake 4.
Wewe unataka uende dakika ngapi?Wakuu kwema?
Leo ni mara ya kwanza kujiunga na familia hii baada ya kuwa mpitiaji wa nyuzi mbalimbali.
Mimi ni kijana wa 20's ambae kwa sasa napitia changamoto kubwa inayonifanya nisiwe na mahusiano ya kudumu.
Kwanza kabisa ni suala la kugegeda. Hapa nikipiga bao moja tena la dk 4-5 nakuwa sina tena hamu ya kurudia tendo na nikirudia muda unakua huo huo na siwezi kwenda zaidi ya hapo.
Pili nina tatizo la uume kuwa mdogo sana. Hizi hali zinanikosesha raha ya mahusiano kabisa wakuu.
Nifanyeje niondokane na halii hii? Napata shida sana hadi nimekosa raha ya maisha.
Eti dakika 5 ni chache kwa Round moja?Kwenye uume kua mdogo tuna swala sawa ni rahisi jifunze kua comfortable ilikua ngumu mwanzo ila sasa kila kitu kipo sawa.
Pia kuhusu kuwahi ni swala la akili zaidi kuliko swala la uume kua mdogo. Kiukweli nampenda Shilole (wa zamani) so kuna chansi kubwa nikiwa naye on bed nikawahi kumwaga hiyo ni kawaida.
Mind over matter
Siyo chacheEti dakika 5 ni chache kwa Round moja?