asubuhi sana
JF-Expert Member
- Mar 18, 2015
- 1,667
- 1,411
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usipoweza endelea isikukute dharau ili ikupate aibu kwa mkeoWAnachama wa chaputa kazi mnayo...sasa uache pombe mwezi mzima, ule hayo makorokocho yote mbona kama adhabu??
Kaka huyu mtoa mada nazani ni mzenji vitunguuu somu kwa kule kwetu nDO VITUNGUU SWAUMUZuchini au zukini ndio nini? Vitunguu som ni vipi hiyo?
Tumsubirie ajeKaka huyu mtoa mada nazani ni mzenji vitunguuu somu kwa kule kwetu nDO VITUNGUU SWAUMU
hyo zuchini siijuii
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hizo punje 6 za vitunguu swaumu,ni lazima kuzimeza? Vipi ukiamua kuzitafuna itafaa?Habar tena ndugu zangu wakubwa shkamooni
Nimeud tena baada ya lawama nyingi ya formula
Hii ni formula ilonisaidia kupona kwa kuzingatia nishart ya matunda mboga mboga na mazoezi
Kabla ya kuanza kwa hii tiba lazima uache
Pombe jambo kwa kipindi cha hii tiba japo kawaida pombe ni adui wa uume wako
Acha puunyeto usiwe unajitibu ila ttzo kuu hujaliacha
Uweze kuvuilia sex kwa week 3 had 4
Ili vyakula viweze Fanya kazi
Usile wala kunywa vyakula vyenye kemikali utaua Dawa mfano masoda hayo tumia juice fresh
Ukiweza hayo sasa twende kwenye formula
Kwa muda wa week hizo 3 hadi 4 uwe na uwezo wa kuyapata haya mahitaji maana kwa mda huu ni kila siku upate ila ukishapona unaweza kua ndo mfumo wako ama Siku nyengine ukapotezea kulinganga na maisha yetu
1 ukiamka anza kuuchangamsha mwili kwa mazoezi ya viungo ikiwa ndani ikiwa beach ama gym
2kitu cha mwanzo kutia tumbon mwako iwe chai iliochemshwa na tangawizi na mdalasini ukishachuja usieke sukar no mbaya kwenye mwili eka asali kijiko kimoja chai hii itasaidia kushtua mishipa ama misuli iliolala ilioregea ama ilioziba
3 ukimaliza hapo kama ndo kawaida unakula vitafunwa ni sawa ila hakikisha usipende vyenye mafuta mengi kama vitumbua sasa hapo ni muda wa kula matunda ndizi 2 na vipande 2 vya tikiti hakikisha unatafuna na kumeza kokwa za tikiti ndizi
4 utaendelea na ratiba zako za kawaida usisahau maji unatakiwa kunywa maji ya kutosha kwa sababu maji ni muhimu katika mwili wa binadam tunajua dam ndio hufanya mwanadam kua katika hali ya viungo vyote kufanya kazi kikawaida na asilimia kubwa ya damu ni maji kwaio maji ni muhimu sanaaaaaaa pia maji hukusababisha kukojoa Mara kwa Mara na hii husaidia mwisho nitakuambia umuhimu wa kukojoa kila muda
Wakat unaendelea na ratiba zako za msosi wa mchana usio na madhara kwa mwili wako ikiwa na uwezo pata tena matunda hayo mchana kama huna inatosha ulokula asubuh
5 vegetable soup wengi tumezoea kula supu nyama kuku haya si masupu bora kabisa tuige wazungu chukua kitunguu maji chemsha pamoja na kerot zuchini ama zukini lipo kama tango hill sokon yamejaa tele kitunguu somu kidogo na tangawizi kwa mbali eka chumvi ya mawe haina madhara hakikisha umevikata vipande vipande ili viwah kuiva vikichemka saga kwa blenda hakikisha maji yasiwe mengi ili soup iwe nzito nzito kila siku usiku unatakiwa kula bakuli moja
5vitunguu somu chopchop vitunguu som punje 6 kama ni vile vidogo kama vikubwa punje 2 tu vikate Kate vidogodogo alaf Meza na maji kama Dawa alaf ndo ulale kwa hivi vitunguu som unaweza Fanya Sikh moja Siku nyengine ukaacha maana vinaweza kukuumiza kichwa
7kengel mazoezi haya ni muhimu sana asilimia 50 ya hii formula ni mazoezi haya
Sasa hapa utakumbuka kule nilipokwambia unywe maji mingi na mkojo ni muhimu
Kikawaida hua hatujichunguzi sisi katika mfumo wetu tuna kimshipa flani ivi kipo chini ya korodani karibu na anus pa haja kubwa hua kipo mfano ukiisi mkojo ukibana usitoke had I choooni ule mshipa unaoukaza ili mkojo usitoke ndo huo sasa huo ndo kila kitu hata ukisex ukiubana huo bao halitok sasa kila unapoenda kukojoa hakikisha unakijoa alaf unabana mkojo kwa sekunde kadhaa alaf unaachia mkojo unabana tena ivoivo hadi unaisha na si lazima uwe na mkojo hata ikiwa nyumban kazin njian unaweza kuashum kama unamko alaf choo kipo mbali unabana alaf unaachia
Mazoezi hayo hukuza misuli kukaza misuli ilioharibiwa na punyeto kuipa nguvu na kuirejesha kwenye hali yake ya kawaida
Nakuahid ukifanya haya kwa usawa unaenda kua mume mpya mwanamme jasiri huezi lia tena mm ni shuhuda wa hili
Naamini na ww utarejeshea feedback nzur
Nawatakia mafanikio mema asanteni
Nakaribisha maswali kwa asofaham kipengele chochote
View attachment 850605View attachment 850609
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujakosea ndio maana naitwa coutinho zenji kwenu munaita vitunguu swaumu kwetu ni vitunguu somu so hujakoseaKaka huyu mtoa mada nazani ni mzenji vitunguuu somu kwa kule kwetu nDO VITUNGUU SWAUMU
hyo zuchini siijuii
Sent using Jamii Forums mobile app
Itafaa ikiwa unaweza hivo lengo ni viingie tumbonMkuu hizo punje 6 za vitunguu swaumu,ni lazima kuzimeza? Vipi ukiamua kuzitafuna itafaa?
sijaelewa sintensi hiiUweze kuvuilia sex kwa week 3 had 4
HiziHizi ndo zuchini ama zukini sijui kwenu munazitambua kwa lugha gani
Sent using Jamii Forums mobile app