Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtasingizia vitu vingi sana, swala la sex n more psychology, utayarifu wa nafsi na jinsi mwenza wako unavyomtreat ndo kitu kinacho-matter zaidi. Kulala kwa dushelele Baada ya goli moja sio kwamba nguvu huna:ni jinsi gani umejiandaa na how you enjoy it.
[emoji23]Toa historia yako kwa ufupi, umewahi kupiga/ unapiga punyeto? Unaangalia picha za ngono??
Sent using Jamii Forums mobile app
Yah, huyu atamsaidia ...mi mwnyewe namfatilia sana yule.Kuna kaka anaitwa Iddi Makengo hua anatoa ushauri juu ya hayo Mambo...mfollow Facebook
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuacha punyeto siyo kitu kidogo aisee ni sawa na kumwambia Kim Jong Un ache kutengeneza silaha za Nuclear..
😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹
Kuacha punyeto siyo kitu kidogo aisee ni sawa na kumwambia Kim Jong Un ache kutengeneza silaha za Nuclear..
Vuta bangi mfuate baby wako atakukoma na kukusifiaWakuu kwema?
Leo ni mara ya kwanza kujiunga na familia hii baada ya kuwa mpitiaji wa nyuzi mbalimbali...