Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

Chakushangaza huyu ndo huwa anatangaza nguvu za kiume kwa matunda insta
 
Nashukuru kaka sikuwai kudhania kua ntapona kwa bei nafuu uume ulikua haudind kwa mda mrefu nilikimbiwa na vibint kwa sasa mambi safi
 
Nimesomea mambo ya madawa now nimeajiriwa NSK hospital ya wahindi njoo PM nikupe ujuzi 0692422869 watsap
 
genius
 
fanya mazoezi.
Kula matunda
Kunywa maji yakutosha. Acha kukamia binti anapokuja getto
 
Dahhh niliacha punyeto sababu kunarafkiyangu niponae jirani akileta mamloop anapiga shoo hyo afu nkijicheki Mimi duhh nlikua kamoja BC nkamuaga kuacha sahv namm nanyooosha balaa yani usku tunashindana najiraniyangu nan anawahi kumaliza
Kuacha punyeto siyo kitu kidogo aisee ni sawa na kumwambia Kim Jong Un ache kutengeneza silaha za Nuclear..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jitahidi sana kutumia chakula chenye pili pili kwa wingi , pia jioni unaweza ukanywa uji wenye pili pili manga utakuja kunishukuru

Sent using i phone x
 
skate-board, daaah mkuu dk 4 kwabao lakwanza unaona ndogo, mimi bao lakwanza hata dk 2 simalizi lakini hapo hapo nikimwaga mashine hailali na bao lapili saa linaisha aijamwaga na na mashine bado inanguvu kila shemeji yako lazima alalamike namchubua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…