Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

Mimi punyeto huwa inanisaidia sana kufanya mashine kuwa konki na kuchelewa kumwaga haraka.. sijaona madhara ndani nyeto kwa miaka 15 sasa.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
msaada mimi nikijana wa miaka32 nimeoa nimekua natatizwa ama nasumbuliwa na swala la kuwahi kumaliza wakat wa sex.

shida imekuepo tangu naaza mapenzi nikiwa na umri wa miaka 20 mpaka naoa hadi sasa nikiwa katika ndoa nilijaribu kwenda hospital ya Tikaya ya Dr Kapona niliambiwa nina upungufu wa testestorone horme nikapewa dawa ya miezi mitatu ya kubust lakini sikuwa namabadiliko yoyote.

baadae baada mwaka nikaenda kwa urology speacialist pale Tumaini hospital nikaonana Prof YONGOLO nkapimwa kila kitu.

prostate, presha, sugar, kidney, liver, bladder, flow ya mkojo, cholestorel vyoote vilionekana niko sawa ikabidi niandikiwe dawa ya zahel na spray mbili za kupulizia katika uume ili nidelay katika tendo moja inaitwa VEGA na nyingine ina itwa CYDOCLINE. Nilikaa navyo kwa muda wa miezi mitatu sIkutumia hata dawa moja.

Baadae kama miezi sita kupita nlikwenda MUHIMBILI nikaona pia daktar wa urology napo nlipimwa kila kitu skuonekana na shida yoyote Daktar wakasema wewe huna shida hatuwezi kukupa dawa ni akili yako tu imejiaminisha hivyo kuwa una tatizo lakini huna tatizo na muda unaotumia kusex wa dk8 unapizi nisawa kabisa wanaume wote tuko hivyo.

Ila kurudia round nyingne inategemeana na mwanamke ulienae ushirikiano wake kwako ili uweze kurudia kwahiyo upo sawa. Na hata huyo Daktar wa Tumaini aliekupa hizo dawa sisawa we nenda upo sawa.

basi nkaondoka na mawazo yakuwa niko sawa nanikawa najiaminisha kuwa sina shida yoyote nakuanza kujiamini zaidi lakini kila nitakapokutana na mwanamke ni bao moja tena la dakika5 nikijizuia hadi dk10-15 nikikojoa siwezi tena kurudia tena. Hali ikaendelea hivo japo nIkawa najijengea comfidance nakuamini sina tatizo ila kila nIkiwa katika tendo hali inakua tofauti.

baada ya kupita tena kama mwaka kuna mtu humu humu jf alielekeza kuwa kuna dr yupo aga khan alimsaidia sana kwenye swala kama langu. Basi nikajichangachanga nikaenda AGA KHAN nikaonana nahuyo UROLOGY Specialist DR ZAHIR AKBAR nako nilipimwa kila kitu figo, korodani, tezi dume, kibofu, ini,presha, sukari nikaonekana niko sawa ila akaona katika tezi kuna infection kidgo ila akasema infection haiwezi kuleta hiyo tatizo akaandika dawa na yeye akashauri ni akili yako na mtu ulie nae na hizo dk unazotumia kumaliza tendo nisawa tu hakuna shida huna tatizo

Nshaonana mpaka na mwanasaikolojia pia DR CRIS MAUKI akanishauri kujiamini vyote navitekeleza lakini wapi najitahid kula vyakula asilia naepuka mafuta mafuata.

WAKUU NI HAYO NAHITAJI MSAADA WENU NAMI NIWEZE KUFURAHIA SEX YA ZAID BAO MOJA NAKUKAA MUDA KIDOGO KTK TENDO NA MUWEZA KURUDIA TENDO NDAN YA MUDA MFUPI.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kaka kwani unataka nini wewe? Umeshaenda mahospitali yote unaambiwa uko sawa huna tatizo na muda unaotumiwa ni sawa si tatizo huamini kwanini? Kwanini unaijengea akili yako unataka kuambiwa unaumwa wakati huumwi?

Kwani wewe umeambiwa ukikojoa mangapi ndio uanaume? Kwani kukojoa mara moja hadi kesho kuna shida gani? Mkeo amelalamika? Mbona kuna njia nyingi za kumfurahisha huyo mkeo kabla hujakojoa hilo moja lako. Unadhani utitiri wa mabao ndio uimara?

Wabongo bwana. Hebu tulia mkuu na ujikubali. Achana na mastori ya vijiweni wewe jamaa.
 
Naona karibu madaktari wawili wamekwambia kuendelea inategemea na mwanamke uliye nae, swali je, unakuwa muwazi kwa mkeo, ili ajue vitu au sehem gani unasisimka kwa haraka ili afahamu la kufanya wakati unataka kuamsha tena


Alexander The Great
 
Mimi sijaoa na sina mahusiano permanent ila nimu athirika mkubwa wa tatizo la punyeto Hali Kama yako hua yanitokea kila ninapo sex dakika 5 ni nyingi hua nakojoa then inachuka Kama nusu saa hivi kusimamisha tena.

Ushauli wangu kwa sasa usikamie mapenzi kwakuwa umeoa tenga siku na mkeo muende sehemu mbali na nyumbani eg. Nje ya mji mna sex randomly bila pressure ya muda na familia munaweza sex siku nzima na kuongea, mkicheza muziki nk. Itakusaidia kutunza ndoa yako # shida iyo tunayowengi sana tuombeane tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa huko kwa madaktari bingwa kooote umeamiba uko vzr baada ya vipimo vyote ambavyo ni sababishi kuonyesha huna shida yoyote, humu unatafuta msaada gani? au unazani humu kuna Muujiza?
 
Mkeo analalamika anataka bao mbili?
Na je? Ukipiga moja usiku moja asubuh haiwezekan ama unataka ndo usimamie ukucha?

Sent using Jamii Forums mobile app
kuna wakati ilitokea nkapiga sex kwa dakika zaid ya 20 na sijui ilikuaje ila nilinotes mke alifurahia zaid japo hizo mara zingne nazofanya chini yadk10 anapizi ila alisema neno moja leo umejua kunifanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bao moja siyo tatizo kabisa,(kwenye ndoa)
Shida ni matumizi ya hilo bao lako moja.
Muda gani unamuandaa mwenzio?
Unatumia dk ngapi kukaa kifuani?
Na mpaka unaenda kufika hilo bao lako una uhakika mwenzako kafika bao ngapi???

Mimi huwa napiga bao moja tu kwa wife kila siku japo nina uwezo wa kurudia tena baadaye au alfajiri ila hilo bao moja hata uwezo wa kuniambia nirudie huwa hana kabisa.

Kwanza namuandaa vya kutosha kuna wakati anaweza akamaliza mshindo mmoja kabla sijamuingilia yale maandalizi tu yanamuweka nusu kaputi.

Mke kila siku nipo naye naamka nalala nipo naye hicho kipengere kinanifanya nisiwe na pupa sana ya kufanya tendo,ninaweza kukaa ulingoni kwa dakika 40 hadi 45,nikiwahi sana basi ni dak 20 hadi 25 hapo tumeshabinuana style zote mhimu na ukitaka kumliza hakikisha umemtaarifu na umuulize ni style gani anaenjoy zaidi(inayomkuna vizuri)basi hiyo ndiyo umalize nayo,na kama nyege zake zipo karibu hakikisha amepiga mishindo yake miwili kwanza ule wa tatu unaenda kumaliza naye.

Sijawahi kupata malalamiko ya kutomfikisha mke wangu,na tuko open sana tunaweza kuzungumzia tendo bila kificho ili kila mmoja afurahie.Narudia tena ninaweza kupiga bao mbili hadi tatu kwa usiku mmoja ila hiyo moja huwa inatufanya tuwe hoi mno siku zingine unamaliza unanyanyuka kwenda kuoga unarudi unamkuta amesinzia kabisa.

Kwa demu mpya mbili ni za kufikia na hicho cha pili lazima aombe maji,maana kinaweza kuchukua saa nzima na zaidi,mwanamke gani afanye mapenzi saa nzima asifike kileleni ??atakuwa na matatizo ya kihisia.

Bao moja si tatizo kabisa ila ujue kulitumia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…