BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,474
- 4,039
mbona hamueleweki?watu wameshaanza kutumia dose tena mnakuja na habri nyingine.....
mbona hamueleweki?watu wameshaanza kutumia dose tena mnakuja na habri nyingine.....
Hahhahaha weee nawe ukisikia tu unapractise utaumia kijana ohooooooombona hamueleweki?watu wameshaanza kutumia dose tena mnakuja na habri nyingine.....
pole pole mkuu na hiyo dozi!..kwani nguvu ulizonazo hazikutoshi? Nadhani hii dozi ni kwa mtu aliyepungukiwa na nguvu za kiume kama sijakosea..
Du!..sometimes kuwa mwanamme ni kazi sana, ukikosa nguvu mtu unajisikiaje?
Inawezekana anatafuta matibabu mwenzio. Ndio maana ameona naye ajaribu, may be anaweza kupata nusra na tatizo lake kumwishia.hahhahaha weee nawe ukisikia tu unapractise utaumia kijana ohooooooo
i think it is the worst exprience ever!! Ukitaka belinda kujua anajisikiaje tafuta mwenye hilo tatizo mpe offer uone
wanaushauri ule yale yenye rangi ya njano zaidi yanaongeza nguvu na uendelevu wa mbegu za kiume....
Life style ya wabongo wengi si nzuri, na imawezekana ili likawa ni tatizo kubwa sana miongoni mwa jamii.inaonekana wabongo wengi wanakabiliwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume? yaani mtatumia hadi migomba kwa mtindo huu.muhimu ni kula vyakula vya kurutubisha mwili tu.
Ukisoma magazeti hasa ya michezo utakuta matangazo ya dawa za kuongeza nguvu za kiume kibao hivyo utagundua Tanzania kunatatizo..inaonekana wabongo wengi wanakabiliwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume? yaani mtatumia hadi migomba kwa mtindo huu.muhimu ni kula vyakula vya kurutubisha mwili tu.
Life style ya wabongo wengi si nzuri, na imawezekana ili likawa ni tatizo kubwa sana miongoni mwa jamii.
Hilo halihitaji dawa ni mazoezi......jipe kwa kujizuia anza na kupiga punyeto then zuia bao fanya hivyo mara 3-4 kila siku litaisha......Tatizo lingine ambalo ni serious ni PE (Premature Ejaculation) liko sana ila kila mtu yuko kimya, may be this requires another thread.