Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

Kama ukiweza pata data kamili ingekuwa vizuri, maana hiyo 1.9 hatujui ni za nini. Na hiyo dawa anayotumia ungeleta jina kamili, Promone ukigoogle unapata dawa ya wanyama, sasa sidhani kama ni sahihi.

Generaly low male hormones inatibiwa kwa kutumia Testasterone steroids, hii inakuja kwenye sindano au cream ya kupaka.
 
Tuwasiliane nikuombee utapona. Mungu aweza kukuponya na kuondoa majonzi hayo moyoni. au nenda kanisa lolote la kilokole kamweleze kwa siri mchungaji(huwa hawaenezi unachosema) atakuombea na utapona kabisa.

Wakati mwingine inakuwaga ni pepo, either limemwingia mkeo, linalala na mkeo(pepo mahaba) sasa linakuonea wivu, ndo linaamua kukukata network ili usiwe unamfaidi mkeo linayelala naye kila siku bila kujijua.
 
Mpe pole sana, sijui anatibiwa wapi na daktari gani? Pale TMS Hospital kuna daktari mzuri sana kwa haya magonjwa ya uzazi, ni matumaini yangu kama anaweza kwenda pale akafanikiwa kumuona anaweza kumsaidia sana. Hii ipo Nyuma ya TRA Ilala.

Ila huu ushauri wa Mwana wa Mungu mmmh! inanipa wakati mgumu kidogo kuamini kama kweli ni mwana wa mungu
 
Mwana wa Mungu mmmh! inanipa wakati mgumu kidogo kuamini kama kweli ni mwana wa mungu

He is...mungu aanaweza ndugu..ndio maan unakuta mtu ana phd ale chuo anakimbizanan na BARMED lakini ukiiwa mwana wa MUNGU si uchawi wala UGONJWA UTAKAOKUPITIA......MUNGU AKUBARIKI MTUMISHI MWANA WA MUNGU.....
 
Ndugu yangu hii nimenyofoa toka kwenye mtandao sijui kama inasaidia

How can i increase the male hormone wthout medicine ? i mean by food or exercise or any thing else?



Praise the LORD who has made man's metabolism work with every kind of food we eat. Remember to keep your mind clear from vulgarity, walk briskly in the morning and running afternoon, join JYM for muscle building or controling, dont take tea after meals the gap should be not less than 2 hours. Eat nuts, fruits & salads inbetween your meals, Quit smoking.

Add seafood and goat meat in your diet. Avoid drinking or carbonated or any kind of sodas.Soda baked breads or cakes. Eat wholemeal bread (chappati).Dont eat pakoras or samosas because these are artificial food and heavy for digestion. Always keep close to the nature.
 
Mwambie ale kwa wingi matikiti maji kwa siku yasipungue 10.
 
Mpe pole, kwa ushauri sijui alishaonana na Dr nani? Amtafute Dr Kamala anapatikana Ocean Rd Hospital kitengo cha kansa kwa akina mama, ana hospitali yake maeneo ya Tabata lakini sipafahamu, mimi binafsi nilimtafuta na kumpata hapo Ocean Rd hospital, nilikuwa na tatito la hormone, amenisaidia.
 
Amini usiamini, Mungu ndie aliyeumba mwanadamu, ndiye aliyeweka kila unachokiona mwilini mwako. hatashindwa kukuumba tena pale palipoharibiwa na adui, au nyendo zako za maisha. cha muhimu ni kuamini, usipoamini basi nenda hospitali.

Ila kumbuka, kuna watu wametembea hospitali zoote za hali ya juu, na tatizo likabaki palepale, na wakati mwingine wakienda hospitali wanasema hawaoni ugonjwa au tatizo, akifika home tu linamkuta.

You people need to understand kuwa kuna ulimwengu wa aina mbili, spiritual na huu wa pyisical, vyote vinafanya kazi sawasawa na vile unavyouona huu wa mwili. unless umevikanyaga vyoote kwa Jina la Yesu, vitakusumbua sana na utaumia moyo hadi ufe kabla ya wakati. kuna wengi wamepona nawafahamu. Mungu awabariki.

Mwenye doubt na uwana wa Mungu au mimi kuwa mtoto wa Mungu, tembelea Yohana 1:1-5. asante.
 
Kama ukiweza pata data kamili ingekuwa vizuri, maana hiyo 1.9 hatujui ni za nini. Na hiyo dawa anayotumia ungeleta jina kamili, Promone ukigoogle unapata dawa ya wanyama, sasa sidhani kama ni sahihi.

Generaly low male hormones inatibiwa kwa kutumia Testasterone steroids, hii inakuja kwenye sindano au cream ya kupaka.


Mkuu naomba ufafanuzi wako nilisika Dr.akisema sinda ni nzuri huwa inaitwaje?
 
Wana ndugu habarini za kwenu;wa asb za asbh wa mchana za mchana na wajioni za uussiku....
nilikuwa na tatizo moja kidogo ambalo naona wana jf baadhi wana mawazo tanashati kuhusu mambo ya uzazi na engineyo...kuna mtu alinielekeza matatizo alionayo..nikaona kwenye msaada nijaribu kuona tutasaidiaje...
kuna kijana wetu yeye ameoa ana muda kidogo katika kucheki mara ya kwanza wakakuta nguvu za kuzalisha mbegu ndogo sana wakampa dawa akatumia miezi 3 ....alipoenda kupima akakutwa zimerudi norma...sasa dk akamshauri kupima vipimo 3 ambayvyo vilijumuisha hormones.....viwiili vikawa norma ila hiki cha hormones test ikakutwa ana hormones za kike 96%....na za kiume 1.9 ambazo kwa kawaida zinatakiwa kuanzia 2.2-10
ndugu msomaji kama una aidia mawazo tuweze kuongeza uzao wa mwana JF MWINGINE BASI SHIRIKI KATIKA HILI...ATUMIE DAWA GANI NZURI KUMUONGEZEA HII MEN HORMONES....WAKATI WA MONGEZI AKASEMA ALIKULA SANA MAKUKU YA KISASA WAKATI WA KUKUA...JE INAWEZ KUWA TATIZO...NA KAMA NDIO KUNA NJIA ZAIDI KURUDISHA HALI NDUGU YETU...
KILA LA KHERI NA MAWAZO YENYE BUSARA

Mwambie atumie ASALI safi kila siku kabla ya kwenda kulala vijiko viwili vya chai na Insha'Allah tatizo lake litamwishia.
 
Pdidy, sidhani km tunaweza kupata majibu sahihi hapa jamvini, kwa kuwa inahitaji kuona na kuuliza maswali mengi, nashauri ahudhurie FERTILITY CLINIC ya - Dr Yongolo, Prof. Abood na wengine pale MNH au TUMAINI HOSP.
 
Pdidy, sidhani km tunaweza kupata majibu sahihi hapa jamvini, kwa kuwa inahitaji kuona na kuuliza maswali mengi, nashauri ahudhurie FERTILITY CLINIC ya - Dr Yongolo, Prof. Abood na wengine pale MNH au TUMAINI HOSP.

Nadhani kwa msaada uliokamilika ungetoa na direction mkuu, hiyo ya Dr. Yongolo ipo wapi, ya Prof. Abood ipo wapi na hiyo tumaini hosp ipo wapi.

Sio wote wanaojua mahala walipo hao ma-specialist
 
Prof. Kaisi nilisikia amestaafu, lakini ana clinic pale Upanga, jamaa yako kama ni mvumilivu wa foleni Prof angemsaidia, anaifanya kazi yake kwa wito sio pesa. Mara nyingi wanapenda kama una issue za aina hii muende wote wewe na mwenzio.
 
Twanga Tangawizi kavu upate Unga wake kiasi cha Gramu 50, Pilipli Mtama upate unga wake kiasi cha Gramu 50 karafuu unga wake Gramu 50 Vitu hivyo vyote changanya na asali Safi mbichi ya nyuki Gramu 500.

Matumizi yake Kula kila siku Asubuhi, mchana na usiku kabla ya kula kitu chochote tumia hivyo mpaka umalize hiyo dawa kisha nenda kamuone Doctor akupime au kama una mke baada ya kumaliza kutumia Zungumza nae kitandani utaona ajabu kwa nguvu za kiume na hayo matatizo yako ya hormone za kiume hiyo inasaidia.

Hata kwa yule mtu Mgonjwa wa nguvu za kiume au mtu ambaye anamaliza haja yake upesi akiwa kitandani nimeona unateseka sana nikusaidie ingawa waganga wa kienyeji watanilaumu sana kwa kutoa siri yao ya hiyo dawa ina nguvu sana tena za ajabu mno Kuliko hiyo dawa ya promone Asanteni.
 
Last edited:
Bujibuji umegusia kitu ambacho nami kilikuwa kinanipa taabu- yaani rafiki zangu Wamasai eti uongeze urefu wa uume. Kama umeoa nadhani ni vyema ukaongea na mkeo kuwa una mpango huo ili aridhie kwa ongezeko hilo.

Kasheshe ni pale ukitaka irudi katika erefu wa kawaida. Tuseme kwa ujumla madhara yake hayajulikani. Wamasai wanapita tu barabarani hawana hata ofisi kuwa utamfuata nk. It is a risky undertaking.
 
Twanga Tangawizi kavu upate Unga wake kiasi cha Gramu 50, Pilipli Mtama upate unga wake kiasi cha Gramu 50 karafuu unga wake Gramu 50 Vitu hivyo vyote changanya na asali Safi mbichi ya nyuki Gramu 500. Matumizi yake Kula kila siku Asubuhi, mchana na usiku kabla ya kula kitu chochote tumia hivyo mpaka umalize hiyo dawa kisha nenda kamuone Doctor akupime au kama una mke baada ya kumaliza kutumia Zungumza nae kitandani utaona ajabu kwa nguvu za kiume na hayo matatizo yako ya hormone za kiume hiyo inasaidia hata kwa yule mtu Mgonjwa wa nguvu za kiume au mtu ambaye anamaliza haja yake upesi akiwa kitandani nimeona unateseka sana nikusaidie ingawa waganga wa kienyeji watanilaumu sana kwa kutoa siri yao ya hiyo dawa ina nguvu sana tena za ajabu

Mkuu mbona hizo ingredients isipokuwa asali ni hot sana, yaani ni kali sana inakuwaje uchanganye tangawizi, pilipili mtama na karafuu?? Halafu pia hujasema ni kipimo gani unatakiwa kupata (kijiko cha chai au cha kula au mil. 5 au 10?).

Ukweli ni kwamba madawa mengi ya asili ni mazuri kwa magonjwa kama yatatumiwa kwa kipimo kuliko hata yale yanayoitwa eti ya kitaalam hata hujui walivyochanganya ndiyo maana side effects ni kibao!!! Tupe somo vizuri mzee maana wengine tukifika 60 years tunataka jogoo liendeleee kuwika vizuri.
 
Nadhani kwa msaada uliokamilika ungetoa na direction mkuu, hiyo ya Dr. Yongolo ipo wapi, ya Prof. Abood ipo wapi na hiyo tumaini hosp ipo wapi.

Sio wote wanaojua mahala walipo hao ma-specialist

Dr. Yongolo na Prof. Abood wanapatikana Muhimbili Nat. Hosp. (MNH) kitengo cha UROLOGY, akijiandikisha huduma ya fast track itakuwa ni rahisi kuwaona, pia kwa urahisi zaidi wanapatikana hospitali ya TUMAINI, ipo upanga mkabala na makao makuu ya JWTZ.

MDEE amependekeza Prof. Kaisi, ni gynaecologist aliyebobea mambo ya fertility, ila sina uhakika na location ya kiliniki yake.
 
Saturday, October 3, 2009
... Yanawachanganya sana wanaume!

Wengine wanayaita "Watermelon"Ingawa matiti ni kwa ajili ya chakula cha mtoto mchanga, baba ndiye hujikuta mara zote anaishia kuchezea kama mali zake na pia wapo wanawake wengi sasa ambao hawataki kunyonyesha kabisa watoto ili kulinda matiti yao yabaki umbo lilelile ambalo wanaume wanatawafurahia virtually.

Titi ni jug la asili la maziwa ya motto ingawa huja katika size na shape tofauti na huvalishwa bra kwa design tofauti kwa gharama toauti kutokana na hadhi ya mwanamke wakati sehemu zingine duniani mwanamke hutembea kufua wazi bila tatizo.

Matiti yamekuwa yakipewa heshima (kuabudiwa na kushabikiwa) tangu enzi za zamani hata hivyo attention ambayo matiti yanapewa leo hii (information society) inashangaza na imefika mahali wanawake (hasa mabinti) wanatumia pesa nyingi ili kufanyia upasuaji kuwa na umbo ambalo wanaume wengi husherehekea wakiyaona.

Matiti yamepewa majina mbalimbali na jamii tofauti kama vile Nido, Mtindi, Jugs, Apples, Balloons, Bean bags, Boobies, Boobs, Bullets, Glands, grapefruits, quaver, hand-warmer, Hills, Headers, Lulus, Mams, Mangoes, Meatballs, Meat loaves, Melons, Milk cans, Milk shop, Mountains, Nature’s fonts, Ninnies, Nuts, Oranges, pair. Papaya, pears, Pillows, Pumpkins, Rib cushions, Sandbags, Sphere, shakers, Upper deck, Warheads, Watermelons, Yams na mengine mengi unayojua wewe.

Swali bado ni kwa nini wanaume huchanganywa sana na matiti?
Kwanza matiti huwafanya wanaume kujisikia utulivu, kuburudika, kuliwazwa, kulegezwa, kustarehe, kupoa, kupozwa, kupumzishwa na kujisikia shwari (calmness) kutokana na ulimwengu chepe, korofi, unaokwaruza na rafu, hivyo kwa matiti kuwa soft; yanayokarirbisha na hayatishi, mwanaume hujisikia yupo salama (Naongelea mke na mume hahahaha!)

Kwani tangu mwanaume akiwa mtoto, ikitokea kuna hatari au kitu chochote ambacho kinamtisha na hata kuanza kulia, alikimbia kifuani kwa mama yake kunyonya titi na kunyamaza hivyo kulindwa na kile kinachomuumiza au kukutana na ubaya wowote.

Pili matiti ni alama (symbol) ya uzazi kwa mwanamke hivyo matiti hutoa dalili kwamba huyu mwanamke anauwezo wa kuzaa na kuendeleza kizazi, kwani huwezi kukutana na msichana ambaye hajabalehe na ana NIDO za uhakika bali akishabalehe huwa na matiti ya uhakikika kuonesha yupo tayari kuzaa au kuwa na uzazi (not all the time).


Kutokana na maelezo ya Charles Darwin (Natural Selection) mwanaume hujikuta anatumia kigezo cha matiti kuchagua partner ambaye ana matiti umbo fulani bila yeye kujua, kumbe ni kuchagua partner mwenye afya na mwenye uwezo wa kuzaa.
Kutokana na maelezo ya bwana Darwn, wanaume hutiwa na kuchanganyikiwa kabisa na matiti sharp kwani ni dalili kwamba huyo mwanamke anauwezo wa kuendeleza species yao.

Tatu matiti ni ufunguo (key) kwa mwanamke kusisimka kimapenzi.
Muulize mwanaume yeyote ambaye ni mzuri kimapenzi (good lover) atakwambia kwamba matiti yana direct connection na msingi wa mwanamke kusisimka kimapenzi (libidinal zones), hivyo mwanaume anapenda matiti na anachanganyikiwa nayo kwa sababu yanaweza kumsisimua mke wake vizuri na kuwa tayari kuwa mwili mmoja.
Kwa hiyo moja ya Home Entertainment Center ya mwanaume ni matiti ya mkewe so mwanamke anayejua siri huhakikisha mume anaitumia hiyo hardware.
Nne matiti husisimua wanaume visually kwani wanaume husisimka kwa kile wanaona, matiti yaliyosimama (shape, A class) husisimua zaidi na kutoa attention kubwa kwa mwanaume, ukiacha genitals, pia matiti ni moja ya physical feature ambayo inamtambulisha mwanamke na kumvutia mwanaume (attraction).


Tano, mwanaume huchanganyikiwa na matiti kwa sababu ya msukumo wa jamii.
Kwani ni binadamu peke yao (katika wanyama wote) ambaye hutumia matiti (fondling) ili kusisimuana kimapenzi.

Magazeti, Televisions, mamodel, Catalogs, matangazo ya biashara, fashions, movies, films yote ni source ya kutangaza uzuri wa mwanamke na matiti 24/7 katika siku 365 za mwaka, mwanaume anayekutana macho kwa macho ya vyote hivi kwa nini asichanganyiwe akiona kifua cha mwanamke ndiyo maana mara nyingi wanaume wanapoongea na mwanamke huangalia kifuani badala ya usoni kwa mwanamke!

Swali la kujiuliza hivi ingekuwaje kama matiti yangekuwa hayafunikwi?
Kama masikio au pua au shingo au lips yangepata attention kama yanavyofichwa?

Binadamu ana sifa moja kubwa ya kutaka kupata kile kimefichwa;
je hii inaweza kuwa proved?

Na je, ni kweli wanaume wanastahili kulaumiwa kwa kuwa attracted na matiti ya mwanamke yeyote?

Je, matiti ni sifa muhimu kwa mwanaume kuzingatia wakati wa kuoa hasa kutokana na msukumo wa jamii, saikolojia na mvuto kimwili ili aoe mke ambaye matiti yake yatamfanya mwanaume ayasherehekee na kuyafurahia?

srce
mbilinyi.blogspot.com
 
Back
Top Bottom