Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

Nimeenda aisee Nimepima HVS doctor kasema Mimi sio sababu ya huyo baba kupata muwasho... Nimemsihi aende hospital kakataaa kasema Hana muda hivyo Basi kaenda duka la Dawa muhimu kanunua Dawa.

Sent using Jamii Forums mobile app

High Vaginal Swab (HVS)!! Nilitaka kuipotezea akili yako, hiki kivumishi HVS kimenishauri tofauti. Nafkiri unafurahisha jukwaa🤔🤔🤔
 
Ww umefanya kipi kwanza?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwambie huo weupe anaouogopa si ugonjwa! Maskini dereva wa bajaji wa mpwapwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…