Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

Nimeenda aisee Nimepima HVS doctor kasema Mimi sio sababu ya huyo baba kupata muwasho... Nimemsihi aende hospital kakataaa kasema Hana muda hivyo Basi kaenda duka la Dawa muhimu kanunua Dawa.

Sent using Jamii Forums mobile app

High Vaginal Swab (HVS)!! Nilitaka kuipotezea akili yako, hiki kivumishi HVS kimenishauri tofauti. Nafkiri unafurahisha jukwaa🤔🤔🤔
 
Nina mwanaume NAmpenda Sana ila kwa bed sio mzuri Sana yupo mediocre.
So nikamua kuwa na mchepuko, huyu mchepuko alikua vizuri Sana...mwanaume mashine., Lahuala Tangu January kapoteza nguzu za kiume...hawezi Tena Kama zamani.. kwakweli nimepatwa na msiba mkubwa Sana...

Nimefanya kila namna kumrudiasha katika ubora wake lakini imeshindikana...imebidi nibaki na my love wangu.

Ushauri wa kurudisha nguvu za kiume.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ww umefanya kipi kwanza?

Mwambie huo weupe anaouogopa si ugonjwa! Maskini dereva wa bajaji wa mpwapwa
 
Back
Top Bottom