Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo


Mkuu umeniuliza mda gani natumia kumuandaa mke wangu nami nakujibu mke wangu jinsi alivyo hapendi kuandaliwa mda mrefu ukimuandaa mda mrefu inafika mda hamu zake zinapotea..yehuwa ukimuandaa sana ni dk10 hazifiki kashaiva anataka hapo hapo
Kifuani mkuu kuna marazingne nakaaa dakika zisizo zidi dk15 tena hiyo ninakua nadelay bao linaapokuja nachomoa uume nje.nkishakojoa siwezi tena kurudia


Sent using Jamii Forums mobile app
 
shukrani kwa wote wataalam kwa msaada wenu pia inaonekana hili ni tatizo kubwa sana ulimwenguni
Nadhan tatzo kubwa sio wanaume bali tatzo kubwa k zimekuwa pana mno. Kama ambavyo wengi nyonyo zimekuwa mavelo. Sema tu wanaume tunaangushiwa jumba bovu.
 
Habari wakuu!

Hivi nani ameshawahi kutembelea miongoni mwa hizi herbal clinics kama Sigwa au Foreplan herbal clinics kujua kama wanatoa suluhisho la kudumu juu ya matatizo kama ya kuwahi kufika kileleni na mengine kama hayo! Msaada tafadhalini.
 
Outside your mind, no such a problem like nguvu za kiume. It is all about your mind.

Kwa wenzangu namaanisha hivi.. MAENDELEO HAYANA CHAMA

WANA JAMII FORUMS, TUSIFANYE MAKOSA TENA OCT 2020
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…