Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

Bao moja siyo tatizo kabisa,(kwenye ndoa)
Shida ni matumizi ya hilo bao lako moja.
Muda gani unamuandaa mwenzio?
Unatumia dk ngapi kukaa kifuani?
Na mpaka unaenda kufika hilo bao lako una uhakika mwenzako kafika bao ngapi???

Mimi huwa napiga bao moja tu kwa wife kila siku japo nina uwezo wa kurudia tena baadaye au alfajiri ila hilo bao moja hata uwezo wa kuniambia nirudie huwa hana kabisa.

Kwanza namuandaa vya kutosha kuna wakati anaweza akamaliza mshindo mmoja kabla sijamuingilia yale maandalizi tu yanamuweka nusu kaputi.

Mke kila siku nipo naye naamka nalala nipo naye hicho kipengere kinanifanya nisiwe na pupa sana ya kufanya tendo,ninaweza kukaa ulingoni kwa dakika 40 hadi 45,nikiwahi sana basi ni dak 20 hadi 25 hapo tumeshabinuana style zote mhimu na ukitaka kumliza hakikisha umemtaarifu na umuulize ni style gani anaenjoy zaidi(inayomkuna vizuri)basi hiyo ndiyo umalize nayo,na kama nyege zake zipo karibu hakikisha amepiga mishindo yake miwili kwanza ule wa tatu unaenda kumaliza naye.

Sijawahi kupata malalamiko ya kutomfikisha mke wangu,na tuko open sana tunaweza kuzungumzia tendo bila kificho ili kila mmoja afurahie.Narudia tena ninaweza kupiga bao mbili hadi tatu kwa usiku mmoja ila hiyo moja huwa inatufanya tuwe hoi mno siku zingine unamaliza unanyanyuka kwenda kuoga unarudi unamkuta amesinzia kabisa.

Kwa demu mpya mbili ni za kufikia na hicho cha pili lazima aombe maji,maana kinaweza kuchukua saa nzima na zaidi,mwanamke gani afanye mapenzi saa nzima asifike kileleni ??atakuwa na matatizo ya kihisia.

Bao moja si tatizo kabisa ila ujue kulitumia.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu umeniuliza mda gani natumia kumuandaa mke wangu nami nakujibu mke wangu jinsi alivyo hapendi kuandaliwa mda mrefu ukimuandaa mda mrefu inafika mda hamu zake zinapotea..yehuwa ukimuandaa sana ni dk10 hazifiki kashaiva anataka hapo hapo
Kifuani mkuu kuna marazingne nakaaa dakika zisizo zidi dk15 tena hiyo ninakua nadelay bao linaapokuja nachomoa uume nje.nkishakojoa siwezi tena kurudia


Sent using Jamii Forums mobile app
 
shukrani kwa wote wataalam kwa msaada wenu pia inaonekana hili ni tatizo kubwa sana ulimwenguni
Nadhan tatzo kubwa sio wanaume bali tatzo kubwa k zimekuwa pana mno. Kama ambavyo wengi nyonyo zimekuwa mavelo. Sema tu wanaume tunaangushiwa jumba bovu.
 
Habari wakuu!

Hivi nani ameshawahi kutembelea miongoni mwa hizi herbal clinics kama Sigwa au Foreplan herbal clinics kujua kama wanatoa suluhisho la kudumu juu ya matatizo kama ya kuwahi kufika kileleni na mengine kama hayo! Msaada tafadhalini.
 
Outside your mind, no such a problem like nguvu za kiume. It is all about your mind.

Kwa wenzangu namaanisha hivi.. MAENDELEO HAYANA CHAMA

WANA JAMII FORUMS, TUSIFANYE MAKOSA TENA OCT 2020
 
Back
Top Bottom