Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

Naomba msaada..jaman kama hospital umefanya sperm count three times no sperm..na wamechek testosterone zipo sawa,,,shida nn???

Pole sana mkuu. Ila umepima katika hospital kubwa? Tatizo linaweza kuwa la kimaumbile ila nakushauri uonane na Dkt bingwa/specialist wa mambo ya uzazi.
 
Yani mleta mada ni mwanaume kabisa, mmeshindwa kusoma mwandiko mnahangaika kureply mada yake...
 
Kuna jamaa wanajulikana kama LIFE HERB CLINIC je wanatiba za uhakika kweli kwa anaye fahamu?
 
Kama kichwa cha habari kinavyo sema.
Tatizo la uume kutosimama vizuri yaan kuwa mlegevu kiasi cha kushindwa kufanya tendo la ndoa.
Ni suruhisho lipi kwa hilo tatizo?
Au nifanyeje kuufanya kuwa imara pale unapo simama.
 
Kama kichwa cha habari kinavyo sema.
Tatizo la uume kutosimama vizuri yaan kuwa mlegevu kiasi cha kushindwa kufanya tendo la ndoa.
Ni suruhisho lipi kwa hilo tatizo?
Au nifanyeje kuufanya kuwa imara pale unapo simama.
Fanya mazoezi mkuu.
Piga push ups kila siku asubuhi.
Utanipa marejesho
 
Mazoezi. Vyakula lakini vyema uonane na wataalamu wa afya usikimbilie kutumia vumbi la Kongo la dawa zingine zinazofanana na hizo
 
kafanye vipimo kuangalia flow ya damu kwenye uume. onana na Urologist....
 
Reactions: RTI
Pole sana mkuu.
- Jitahidi kupunguza msongo wa mawazo uliyo nayo
- Jiunge na klabu yoyote ya mazoezi
- punguza matumizi ya sukari
- Jaribu kubaini aina ya vyakula ulapo ulegevu huongezeka ili uviepuke kwani inaweza kuwa na mzio.
- Kumwona Dkt. liwe ni jambo la muhimu zaidi katika mengine mengi.
 
Reactions: RTI
Tatizo la saikolojia. Kuwa na mtu ambaye huna hofu naye ambaye hutumii nguvu kufikiria kumridhisha au kumkoa kwa shoo ya kibabe bali unafurahi tu kuwa naye. Litaisha haraka.
 
Reactions: RTI
Fanya mazoezi mkuu.
Piga push ups kila siku asubuhi.
Utanipa marejesho
Pushapu tu zinatosha hakuna haja ya kufanya mazoezi mengine?
Na kama ni pushapu tu ninatakiwa kupiga ngap kila hasubuhi?
 
Mcheki huyu mimi ameponesha kabisa kwa kunipa formula yake ya matunda kwa gharama nafuu sanaa ni elfu 22 tu sikuamin nilivyopona maana nilihangaika sana kwa gharama nying0712505049
Kuna jamaa namjua nae alipata shida hii, sasa akamtafuta sijui nani akampa fomula ya matunda na akawa vizuri.
 
Reactions: RTI
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…