Evarm
JF-Expert Member
- Aug 30, 2010
- 1,994
- 1,540
Mungu wa mbinguni akupe watoto wengi zaidi, yaani akufute machozi hadi ushangae.Jaman nawaombea kwa mungu awasaidie wale wote wenye shida ya kutafuta mtoto wapate.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu wa mbinguni akupe watoto wengi zaidi, yaani akufute machozi hadi ushangae.Jaman nawaombea kwa mungu awasaidie wale wote wenye shida ya kutafuta mtoto wapate.
Amen.Mungu wa mbinguni akupe watoto wengi zaidi, yaani akufute machozi hadi ushangae.
Naomba msaada..jaman kama hospital umefanya sperm count three times no sperm..na wamechek testosterone zipo sawa,,,shida nn???
Nashukuru.Pole sana mkuu. Ila umepima katika hospital kubwa? Tatizo linaweza kuwa la kimaumbile ila nakushauri uonane na Dkt bingwa/specialist wa mambo ya uzazi.
Amen...hakika Mungu ametenda.
Fanya mazoezi mkuu.Kama kichwa cha habari kinavyo sema.
Tatizo la uume kutosimama vizuri yaan kuwa mlegevu kiasi cha kushindwa kufanya tendo la ndoa.
Ni suruhisho lipi kwa hilo tatizo?
Au nifanyeje kuufanya kuwa imara pale unapo simama.
Pushapu tu zinatosha hakuna haja ya kufanya mazoezi mengine?Fanya mazoezi mkuu.
Piga push ups kila siku asubuhi.
Utanipa marejesho
Kuna jamaa namjua nae alipata shida hii, sasa akamtafuta sijui nani akampa fomula ya matunda na akawa vizuri.Mcheki huyu mimi ameponesha kabisa kwa kunipa formula yake ya matunda kwa gharama nafuu sanaa ni elfu 22 tu sikuamin nilivyopona maana nilihangaika sana kwa gharama nying0712505049