Change ur mentality, Badili jinsi unavofikiri itakua tiba bora sana kwako.
Kabla nilikua na demu mmoja mkali sana, that tym nilikua na tatizo nikienda kimoja tuu chali, nikasoma maandiko ya kutumia vitunguu swaumu, mdalasini, mazoezi n.k
Nikawa najiaminisha nikitumia tuu Ivo vitu ndo napiga show vizuri, taraatiibu nikaanza kupona, nikawa naenda mpk dk 5-10, siku moja nikapiga mpk dk 30.
Kipindi icho nilikua natumia condoms, mentality yngu ikajiset kwmba ngozi ngozi nitashindwa kwnd mda mrefu tena, yaani nikahisi nikiacha tuu condom nitarudi mulemule, na kwli siku nimeach kutumia condoms tuu nikagusua kwny ngozi tuu tayari wazungu Hawa apa, nimekaa dk kumi kusubiri round ya 2 ile nimeingiza tuu wazungu Hawa apa. Niliumia kupita kiasi
Siku nyngine nikajiandaa Kama wiki moja ivi, mazoezi, vyakula n.k, nikajiaminisha nitaenda kupiga bila Kinga na nitaweza tuu, baati mbaya au nzuri Kuna kitu yule dada alizingua kinoma, nikamshusha viwango sana, nikamuona wa kawaida sana, yani ule uzuri wake wote ukanitoka, kiufupi tulitaka kuachana, sema kwa sababu nilikua nimeshajiset kupiga pekupeku bac nikasex nae kama vile sitaki ivi.
Basi ile siku show ilikua ya kibabe sna, coz of mentality, nilivomchukulia wa kawaida kwa muda ule, bac baada ya kumaliza hatukuachana tena ila nikawa najipigia tuu.
Nikaja kugundua kwmba tatizo halitatuliw na vyakula na mazoezi tuu, tiba ya kwnza inatoka kwnye ubongo wako, the way unavofikiri kuhusu mapenzi, mchukulie mwenza wako wa kawaida hasa unaposex, usiuone uzuri wake wakati wa sex, usikamie show, take it easy.
Baada ya kufuata ushauti wa vyakula na mazoezi inabidi ujiamini kwmba umepona na unaweza.
Habari wakuu,
Nimejitaidi sana kupambana na fezea hii lakini nimeona bora nizungumze humu labda ntapata msaada ...