Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

Chukua Mu alovela tawi moja , menya ilibutoe ule utandu wa katikati mweupe weka kwenye glass safi , kisha chukua limao kamulia humo ndani lote , kisha weka asali mbichi Vijiko 2 , kisha weka unga wa karaga au peanutbutter , kisha weka maji nusu grasss , unakoroga unakunywa !! Hii itakusaidia kurudisha na kuifanya iwe imara na kuongezeka kidogo , tumia hii dawa kwa mda wa siku Saba uje ulete mrejesho !! Nilikuwa naenda moja mapaka 2 ! Ila baaada ya kuitumia hiyo kwa siku naweza nikapita nyumba tatu tofauti na kila mmoja akahadithia
 
Punguza kula misosi ya mafuta na usiku usile kuvimbiwa !!! Nyingne waweeza saga kitunguu maji na twanga tangawizi kicha changanya na maji , alafu weka kitunguu saumu punje zilizokatwa katwa punje 3 mpaka 4 kisha chuja , uwe unakunywa mara 2 usiku na asubuhi kwa mda wa siku 5 , epuka Vinywaji vya dukani kasoro Majiiiii, na Maji uwe unakunywa kuanzia litre 2.5 na kuendelea !! All the Best , hakuna kitu kinauma kama kugongewa na mtu powerfully inauma sanaaaaa
 
Kiukweli ni muda sana tangu nikumbwe na Hilo tatizo ambapo uume ulikuwa legelege/sometimes unasimama but ukitaka kuingiza au ukiingiza mwisho bao moja ti hiyo ndo mpaka kesho...
Ungeweka suluhisho hapa mkuu. Utasaidia wengi na Mungu atakubariki maana huko instagram hili janga watu wamelifanya kitega uchumi, watu wanapigwa sana pesa na kupona hakupo.
 
Change ur mentality, Badili jinsi unavofikiri itakua tiba bora sana kwako.

Kabla nilikua na demu mmoja mkali sana, that tym nilikua na tatizo nikienda kimoja tuu chali, nikasoma maandiko ya kutumia vitunguu swaumu, mdalasini, mazoezi n.k

Nikawa najiaminisha nikitumia tuu Ivo vitu ndo napiga show vizuri, taraatiibu nikaanza kupona, nikawa naenda mpk dk 5-10, siku moja nikapiga mpk dk 30.

Kipindi icho nilikua natumia condoms, mentality yngu ikajiset kwmba ngozi ngozi nitashindwa kwnd mda mrefu tena, yaani nikahisi nikiacha tuu condom nitarudi mulemule, na kwli siku nimeach kutumia condoms tuu nikagusua kwny ngozi tuu tayari wazungu Hawa apa, nimekaa dk kumi kusubiri round ya 2 ile nimeingiza tuu wazungu Hawa apa. Niliumia kupita kiasi

Siku nyngine nikajiandaa Kama wiki moja ivi, mazoezi, vyakula n.k, nikajiaminisha nitaenda kupiga bila Kinga na nitaweza tuu, baati mbaya au nzuri Kuna kitu yule dada alizingua kinoma, nikamshusha viwango sana, nikamuona wa kawaida sana, yani ule uzuri wake wote ukanitoka, kiufupi tulitaka kuachana, sema kwa sababu nilikua nimeshajiset kupiga pekupeku bac nikasex nae kama vile sitaki ivi.

Basi ile siku show ilikua ya kibabe sna, coz of mentality, nilivomchukulia wa kawaida kwa muda ule, bac baada ya kumaliza hatukuachana tena ila nikawa najipigia tuu.

Nikaja kugundua kwmba tatizo halitatuliw na vyakula na mazoezi tuu, tiba ya kwnza inatoka kwnye ubongo wako, the way unavofikiri kuhusu mapenzi, mchukulie mwenza wako wa kawaida hasa unaposex, usiuone uzuri wake wakati wa sex, usikamie show, take it easy.

Baada ya kufuata ushauti wa vyakula na mazoezi inabidi ujiamini kwmba umepona na unaweza.
Habari wakuu,

Nimejitaidi sana kupambana na fezea hii lakini nimeona bora nizungumze humu labda ntapata msaada ...
 
Change ur mentality, Badili jinsi unavofikiri itakua tiba bora sana kwako.

Kabla nilikua na demu mmoja mkali sana, that tym nilikua na tatizo nikienda kimoja tuu chali, nikasoma maandiko ya kutumia vitunguu swaumu, mdalasini, mazoezi n.k....
Hili tatizo ni pana sana mzee, usichukulie mambo kiwepesi kiasi hicho.
 
Msahada ndugu zangu...mm n muadhirika wa tatizo la nguvu za kiume.

Imefikia hatuaa sasa nalisema hadharani nipate msahadaa...jman ndugu zangu naombeni msahada wa dawa jmn nateseka mwezenu ,mawazo na maneno ya kejeli kutoka kwa wanawake ninao kutana nao tfdhalini sanaa jmn naombeni msahadaa....

NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU ZA DHATI KWA KILA ANAEE SOMA THREAD HII NA ATAKAE NISAIDIAA KWA MAWAZO NA KWA MAELEKEZO MUNGU AKUBARIKI SANA
 
Chaputa pia ni shida... Sema mfollow dr Wilson yupo insta atakusaidia kwa njia za asili kabisaa gharama zake zaman ilikuwa ni 30 now sijajua ni ngapi
 
Msahada ndugu zangu...mm n muadhirika wa tatizo la nguvu za kiume.

Imefikia hatuaa sasa nalisema hadharani nipate msahadaa...jman ndugu zangu naombeni msahada wa dawa jmn nateseka mwezenu ,mawazo na maneno ya kejeli kutoka kwa wanawake ninao kutana nao tfdhalini sanaa jmn naombeni msahadaa....

NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU ZA DHATI KWA KILA ANAEE SOMA THREAD HII NA ATAKAE NISAIDIAA KWA MAWAZO NA KWA MAELEKEZO MUNGU AKUBARIKI SANA
Una umri gani?
 
Tupe historia tujue tatzo lilianzaje ndipo tutakupa ushaur kutokana na tatzo
 
Nguvu ni subjective. Kuna anayedhani kwenda dk 3 hana nguvu, mwingine anadhani dk 10 ni kidogo na pengine mwingine anasimamia kucha 35min bado anadhani ni kidogo and vise-versa. Sasa wewe twambie unakimbiza dk ngapi ????
 
Kuna ile unaendelea kupump and then ghafla feelings zinakata inanywea humo humo ndani.

Kuna ile unamaliza na haujisikii tena kuendelea bila kujali binti atajituma kiasi gani kukutia hamasa.

Kuna ile hausimamishi kabisa.

Kuna ile unaingiza ndani ya dakika ushamaliza na haisimami tena.

- Katika wanaume 10 kila mmoja kashapitia kimoja au viwili katika hicho. Ishu ni kama ni swala endelevu. Now wewe uko wapi hapo?
 
Back
Top Bottom