Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

Wakuu mm sio Mtaaramu wa afya ila Nina swali ambalo ningependa nipate majibu ambayo yatakua na msaada kwa wengi.

Binafsi mm nimewah kutumia vigra katika kuimarisha tendo Tena matumizi yangu nilikua nafanya hivi;

Ikitokea nimepata pis Kali ambayo nilikua naisotea kitambo nilikua naongeza nguvu ya ziada(Vigra) kwa siku hiyo ili nimkomoe huyo dem.

Utumiaji wangu ulikua ni hivi, katika kile kidonge kimoja nakikata vipande vi nne, katika kila kipande kimoja nakigawa mala mbili yaan kidonge kimoja nakaa nacho miezi zaid ya miwili( kipindi Cha maisha ya usingo) lakin madem zangu nilio kua nakutana nao mala ya kwanza nikikutana nao mala ya pili stumii dawa hiyo na baada ya kuwa na dem maarumu wa mda wote na kuoa niliacha matumizi ya dawa hiyo.

Nb skutumia kwakua nilikua sina nguvu ila nilitumia ili nimkomoe dem niweze kupiga bao 4-5 kwa usiku mmoja.

Baada ya matumizi hayo katika kipindi kile nilifahamishwa kua matumizi ya dawa hizi yana athari kwa mwanaume nikauliza dawa ya isiyo kua na athari wataaramu kanambia nitumie, tangawizi+kitunguu saumu+ mdarasini + asali, nikatumia lakin skupata msisimko wa kutosha Kama ule wa kwenye vagra. Katika maisha hayo skuwah tena kujihusisha na mambo ya kuongeza nguvu za ziada kwakua miaka mitatu sasa nimetulia na dem mmoja.

Swali: je Kuna dawa ya asili mfano wa kitungu saumu+ mdarasini ambayo inaweza kufanya kazi sawa na vagra? Kama waijua waweza kutwambia ni ipi na matumizi yake yapoje?

maana hili swala vijana wa Sasa tuna taka kuwakomoa Malaya ambao hawakomoeki.
Mkuu yaani umeoa ,lakini bado unataka kuendeleankuwakomoa Malaya aisee , mke wako kazi anayo aisee
 
Wewe mtaaram vipi bhana! Hakuna dawa nzuli kwa shughuri hiyo kama viagra! Enderea tu kuitumia kwa kukata vipande mala nyingi kadili uwezavyo!!

Hiyo midarasini haisaidii chochote!! Tumia viagra kwa faida yako ya sasa na ya baadae!!!
Mkuu nilitaka nijue tu kua Kuna dawa gani asili yenye nguvu Kama vagra, na kwann vagra ina nguvu kuliko hizi tunazo ambiwa Tutumie.?
 
Mkuu yaani umeoa ,lakini bado unataka kuendeleankuwakomoa Malaya aisee , mke wako kazi anayo aisee
[emoji23][emoji23][emoji23] Mkuu sio ivo bana nilitaka kufahamishwa tu kwann vagra ina nguvu kuliko hizi dawa asili tunazo ambiwa kutumia ?
 
Tafuta pesa mkuu achana na mambo ya kuongeza nguvu za kiume , ridhika na nguvu zako utampata wa kufanana na wewe ,wapo pia mademu waliotulia na wanaoridhika na watu wa aina yako hiyo hiyo ,ya nini kujipa stress? tafuta fedha.
 
Mura umeshakura au umerara mura yaani mura unachanganya matumizi ya R na L mpaka habari inapotea mura...amakweli fita ni fita mura
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah! Kwenye uandishi hua naferi hapo hapo tu kwenye matumizi ya R na L, mm niwa mara msoma ila sio mkurya kaka. Japo kua karibu mkoa mzima niwaathirika wa matumizi haya ya R na L
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah! Kwenye uandishi hua naferi hapo hapo tu kwenye matumizi ya R na L, mm niwa mara msoma ila sio mkurya kaka. Japo kua karibu mkoa mzima niwaathirika wa matumizi haya ya R na L
Kumbe ni uko..lazima zkupge chenga ila jitahidi kuandka mkuu...enewei nani alkudanganya viagra ni dawa ya kuongeza nguvu utakuja kunyeshwa sumu mwaisa" wewe kula karanga mbichi kila diku
 
mkuu, Vigra ilikua inakuongezea kipi kati ya hivi
1. Uwezo wakwenda round 4 adi 5
2. au kuongeza muda katika kila round
 
Kumbe ni uko..lazima zkupge chenga ila jitahidi kuandka mkuu...enewei nani alkudanganya viagra ni dawa ya kuongeza nguvu utakuja kunyeshwa sumu mwaisa" wewe kula karanga mbichi kila diku
mkuu, Vigra ilikua inakuongezea kipi kati ya hivi
1. Uwezo wakwenda round 4 adi 5
2. au kuongeza muda katika kila round
Ilikua inaongeza uwezo wa kwenda round nyingi zaid zaid, uwezo wa kukaa mda ninao hata kama skuwah kutumia hiyo vagra.
 
Juz tu nlikuwa kilingeni na swaiba wangu.
Akatoa kichupa kidogo
Nikahoji nn hicho?
Akasema Mkongo huu
Nikashangaa sana
Nikamuuliza Ndugu una shida?
Akasema hapana amepewa tu wana.
Nikamwambia lakini hii si nzuri
Naye akasema ni kweli si vzur kutumia.

Ila kimoyomoyo nikajisemea dhahiri jamaa anatumia mkongo.

Vijana wenzangu tufanye mazoezi tu.

Mm binafsi mazoezi yamekuwa ni sehem ya maisha yangu.

Huwa nafanya jogging kila cku asubuh, alafu nanyoosha viungo.

Kipindi cha nyuma nlikuwa naanza alafu naacha.

Ila sasa huu ni mwaka wa tatu tangu nianze jogging. Mwili uko fiti kalikiti.
Mtu mbad [emoji34] sikuhizi
[emoji23]

ANZA KESHO
 
Juz tu nlikuwa kilingeni na swaiba wangu.
Akatoa kichupa kidogo
Nikahoji nn hicho?
Akasema Mkongo huu
Nikashangaa sana
Nikamuuliza Ndugu una shida?
Akasema hapana amepewa tu wana.
Nikamwambia lakini hii si nzuri
Naye akasema ni kweli si vzur kutumia.

Ila kimoyomoyo nikajisemea dhahiri jamaa anatumia mkongo.

Vijana wenzangu tufanye mazoezi tu.

Mm binafsi mazoezi yamekuwa ni sehem ya maisha yangu.

Huwa nafanya jogging kila cku asubuh, alafu nanyoosha viungo.

Kipindi cha nyuma nlikuwa naanza alafu naacha.

Ila sasa huu ni mwaka wa tatu tangu nianze jogging. Mwili uko fiti kalikiti.
Mtu mbad [emoji34] sikuhizi
[emoji23]

ANZA KESHO
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Et kweli sio nzur alaf bado anatembea
Nayo

Mazoez muhimu Sana kwakweli
 
MWANAUME MWENZENU NAANGAMIA, MSAADA TAFADHARI...

Wakuu mi ni kijana kabisa wa kiume, usidhani ati ni kijana wa kisiasa kama UVCCM, hapana ni kijana kabisa wa miaka 20's. Tatizo linalonisumbua ni kuwahi kufika mshindo na uume kulala kabla ya tendo( kwenye maandalizi pale).

Shida ilianza kitambo kidogo, mwanzo nlikua nikikutana na msichana nashindwa hata kusimamisha sijui ilikua hofu sijui ni nini, lakini kadri muda ulivoenda na kujaribu kwenda kwa madada poa kidogo kiwango kikapanda, nikawa naweza simamisha mara moja moja na kuwahi kufika yaani kama kuku vile dakika moja ni nyingi nshafika mshindo.

Hii hali Inaboa na kuumiza sana, sometimes mwenza anataka kupelekewa moto lakini mimi sasa ndo tatizo kubwa.

Uwezo wa kumuandaa mwanamke yeyote ninao mkubwa na anaweza kua wet akalegea kabisaa ila kumla sasa ndo ivo sekunde tu pwaaa ama lah nkimuandaa kwa muda kidogo mashine inalala na haiamki.

Wakuu mimi sio mdau wa chaputa, na bahati mbaya zaidi hata cha pili kuja ni baada ya muda mrefu hata dakika 20/30. Usidhani eti cha pili ndo madakika kibao, hapana ni sekunde hizo hizo wakuu.

Kwasasa nimekubali kuwa nina tatizo, nimeikubali hali yangu japo sijaipenda kabisa. Na sidhani kama eti nimeipata kwa sababu ya uraibu fulani katika huu ukubwa wangu, kwasababu tangu nimeanza mapenzi sijawahi kumudu tendo. Nadhani ni eidha nimezaliwa hivyo ama katika mkuzi yangu nikalivagaa hilo bila kujua ama ni ulaji wangu nikiwa nabalehe.

Wakuu,

Kwasasa sina pesa za kuwa naweza kwenda hospital nikapata matibabu ya hili tatizo, Naomba kama kuna njia sisizo na gharama/zenye gharama nafuu za kuweza kutatua tatizo langu hili.

Niwakumbushe tu wakuu tatizo langu ni kuwahi kufika kileleni yaani mapema mnooo ,kushindwa kuendelelea baada ya kupizi, na pia sometimes uume kulala wakati wa kuandaana tu. Naomba pia kama kuna namna ya kuimarisha uume naomba kujuzwa wakuu.

Inawezekana kuna wale waliowahi kupona kwa kufanya mambo mbalimbali, Jama Jama naomba basi mnishirikishe njia mlizotumia na mimi nifurahie tendo kama nyie jama.

Yafuatayo ni hiari yako kusoma/kuburudika/ kusikitika nami...
Acha niweke visa kadhaa vya aibu vilivyonipata kwa baadhi ya madem.

1. Huyu ni manzi portable mwenye kaumbo kake kazuri tu, nilimtaman mno. Basi bna siku ikaandaliwa akaja geto.... Kilichofuata ni aibu aibu aibu. Mtoto nmemuandaa fresh kabisa kalegea so poa bna bna mjegeje ukaniumbua haukusimama😳😳!!!. Yaani katikat ya maandalizi ngoma ndiiii ikalala mazima.
Daah nlisikitika na kupanick sana sana nikaishia tu kumchezea 😭😭. Huyu aliniacha kwa hii sababu japo alinipenda sana na mimi bahati mbaya sikuwahi kumwambia ukweli kua nna tatizo akasepa akijua mi sina hisia nae/namuona mbaya/ nna madem wengi hivo sioni uzuri wake/ sivutiwi nae na sababu kama hizo.

2. Hiki kisa ni cha majuzi tu, huyu manzi yeye ni wa mtaa wa pili tu hapo. Nilimtongoza (sijisifu ila kipaji cha kutongoza ninacho aisee sio rahisi manzi kuchomoa), basi siku ya siku akanitunuku mbususu, daah aibu ikanikumba tena ila hii nilipiga km kuku chaaaap wazungu haooo. Kwasababu nilimuandaa mno nadhan aliridhika kwa hicho hicho cha kuku.

3. Huyu ndo hadi aliacha kunitafuta kabisa, huyu nae alitimba geto maandalizi finyu na kama kawaida chaap wazungu hao, kiukweli huyu hata mi niliona kabisa hajaridhika zaidi zaidi nimemuongezea genye tu.

4. Aisee hii pia ni aibu ya karne, sio aibu tu bali ni aibu iliyoandamana na hasara kubwa. Huyu bidada hakutaka kuonekana kitaa kua anakuja geto so ikabidi tuende mbali kidogo, huko nikaingiwa na hasara ya chakula na vinywaji+ pesa ya gesti.

Usiombe yakukute mwanaume, ile siku jololoo haikusimama ndgu msomaji, iligoma katakata , sasa unadhani nikafanyaje basi ikabidi mtoto nimrudishe kwao bila kupata kilichoniingiza gharama ivo.

Note: Usidhani eti Mmanyanigho ni kitombi sana, sasa ukitombi nautolea wapi na hali yangu ndgu zangu. Ni vile tu najaribu labda huyu ntadumu ama huyu itakua tofauti ila ndo ivo kote bilabila. Kuna kipindi mpaka nikataka nivute jani kwa kusikia eti litanipa stamina ya hatari, ila nashkuru Mungu sikuingia huko.

Sasa hivi nimeona tu hali yangu ndio hii, nimeanza mazoezi ya kegel taratibu taratibu labda ntapata matokeo chanya.
 
Back
Top Bottom