Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

Piga nyeto at least mara 3 kwa siku!
 
Mkuu kwani we sio graduate,huna madeni na ni mwoga wa madeni,au ni mtu wa kuogopa skendo kama yote hayo unayo shida sio nguvu za kiume ila una hofu na maisha
Mkuu kama nilivosema, ishu ilianza kitambo. Sema sasa hivi nimepanga nisake doo na kama kutakua na njia za kujitibu nizifanye taratibu taratibu
 
Tumia viagra upate siku moja then upate confidence hapo bila ya ivyo litakuwa kingine ukitumia mara moja usirudie utakuwa una confidence
 
Tumia viagra upate siku moja then upate confidence hapo bila ya ivyo litakuwa kingine ukitumia mara moja usirudie utakuwa una confidence
Bei ya hiyo kitu ikoje mkuu.??
Na pia si naskia ni vizuri ili kuitumia upate ushauri wa dktari inaweza kuleta madhara mkuu.
 
common sense
Stress na madeni imekua visingizio sana kwa wasemaji na madokta wengi huanza na kusema hivyo, tuambiane ukweli.
Tuonge ukweli uko na pisikali shepu la maana alafu mpo faragha hizo stress na madeni unaanzaje kuvikumbuka aisee. Labda uwe umechoka kwa kazi ngumu au umefiwa, tofauti na hapo ni ugonjwa.
Jibu
Unatatizo kwenye mfumo wako wa uzazi. Concetration of zinc oxide cause cell erosion (mucus) on prostate gland and Corpus spongiosum (erection tissue) of penis and other places in the system it clog the system, pre ejaculation and impotence are results of erosion. Food we takes ndio chanzo, tuko kwenye ulimwengu wakibiashara; afya sio priority. Western foods ndio imekua lifestyle kwa waafrica na vyakula vyetu tumevipiga teke.
Solution
Badili mlo wako achana na machipsi na nyama n.k badala yake kula vyakula hivi. Pata matibabu kwa wataalamu wa afya wa tiba asili wakuaminika.
Na katika matibabu ya kweli lazima huanze na kusafisha mwili mzima kabla yakuanza na kutibu sasa eneo husika, tatizo la watoa tiba hukimbilia moja kwa moja eneo lenye tatizo bila kuzingatia kua mwili ni mfumo.

Sugestions
Kama huko Moshi naweza kukusaidia, au tafuta tabibu aliye karibu yako.

Tahadhari
Utumiaji wa madawa ya kusisimua misuli kama Viagra, kama sutra, nk. Ni hatari kwa afya yako kwa ujumla inaweza leta matizo ya moyo, figo, ini na parmanent damage of tissues in reproduction system.
Chukua tahadhari na soma descriptions na side effects kama ndio maamuzi ulio amua kuchukua.

Dr. Luu
 
Nyeto.umeionea
 
Hapo ulipoacha kuvuta jani ndipo ulipoharibu.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Sasa unataka uchelewe ili iweje. Fanya kilicho ndani ya uwezo wako. Au unataka yawe mambo ya mbwa mnanganganiana hadi nusu saa.

Wacha kuangalia mambo ya ngoni zile ni uuigizaji. Mbona kuku na mbuzi hawalalamiki kukojoa mapema
 
Ni kawaida kuwahi bao la kwanza, kuwahi kukojoa kwa bao la kwanza ni dalili ya ukamilifu wa hisia za nguvu za kiume. Wanaume wote wako hivyo, bao la kwanza lazima ukojoe haraka.

Tatizo linakuja bao la pili na kuendelea, ukiona bao la pili na kuendelea unakojoa haraka kama la kwanza, hapo ndiyo kwenye tatizo. Ukiona bao la kwanza unakojoa haraka halafu huendelei na mengine, hapo ndiyo tatizo.

SULUHISHO:
Bora uwe na bao moja pekee la muda mrefu kuliko moja la haraka. Bao moja la muda mrefu mwanamke anaridhika kama anavyokutana na mwanaume anayeenda mengi. MAJI ndiyo dawa. MAJI mengi ni zaidi ya vumbi la Kongo kwenye kuchelewesha kumwaga.

Saa moja kabla ya kukutana na mwanamke, kunywa maji mengi zaidi ya lita 2, ukikutana na mwanamke baada ya kunywa maji mengi LAZIMA UTACHELEWA kumwaga.

Usisahau kuja kuleta mrejesho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…