Kuna tatizo mkuu,Kama hujawai kufanya mapenzi unawezaje kujua huna nguvu za kiume wakuu maana Kila nikiamka mashine haisimami Kama ninavyosikia watu wanasema ukitoka kuamka lazima usimamishe 5G+
😆😆 I know what you are feeling,hiyo hali yako imeshawahi kunitokea tena afadhali wewe mimi hali ilikuwa mbaya zaidi na hivi nilikuwa napiga sana punyeto bhasi kila nikipita nakutana na madhara ya punyeto bhasi akili ndio inavurugika zaidi.Msaada wakuu tafadhali, ni miezi nane sasa toka nimekumbwa na hili tatizo la uume kusimama legelege na hata ikitokea umesimama vizuri haizidi dakika moja unakuwa umelala au sometimes wakati wa maandalizi unasimama ila ukitaka kuingiza unalala au unakuwa umesimama kidogo wakati wa maandalizi hii hali imenitesa sana kwa kweli sana yani na ilianza kuwa hivi baada ya kutumia vicks ili kuchelewa kidogo kufika mshindo kumbe ndio nilikuwa naharibu kabisa, nilijaribu kutumia zile bidhaa za forever living products zilinisaidia kwa miezi miwili tu tatizo likarudi tena,, nikajaribu michanganyiko ya asali vitunguu saumu na tangawizi vikasaidia kidogo ila wapi ,, juzi kati nilienda hospitali wakanipima testosterone level, magonjwa ya zina na sperm analysis wakaniambia nipo sawa wakaniambia shida ni saikolojia lakini nikamwambia doctor tatizo lilianza baada ya kutumia vicks lakini wakaegemea kwenye hivyo vipimo akaniandikia dawa ya amitriptyline kwa ajili ya msongo wa mawazo na natural vitamin E lakini sikutumia kutokana na side effects zake,, wakuu mwenye ushauri au kujua suluhisho naomba anisaidie natangulisha shukrani
Kama unaweza simamisha mashine bila shida[emoji38][emoji38] I know what you are feeling,hiyo hali yako imeshawahi kunitokea tena afadhali wewe mimi hali ilikuwa mbaya zaidi na hivi nilikuwa napiga sana punyeto bhasi kila nikipita nakutana na madhara ya punyeto bhasi akili ndio inavurugika zaidi.
Nimetumia dawa nyingi sanasupplements za kila aina,miti shamba ya kila aina lakini sikupata hata nafuu kipindi iko nilikuwa nipo medical school,mficha maradhi kifo umuumbua nikaonana na Dr mmoja ambaye ni mwalimu wangu nikamwambia mkasa wangu akaniambia nikacheki RBG,BP, Testosterone level majibu ya vipimo yalikuwa vizuri sina tatizo lolote akaniambia shida sio punyeto wala nini shida sijiamini nina msongo wa mawazo saikolojia yangu haipo vzr.
Alinipa dawa (Viagra) aina ya Cialis tadalafil 40mg aliniambia nitumie halafu nipige show wiki nzima ,kweli nikapiga show wiki nzima akaniambia nipumzike wiki mbili baadae akanipa tena vidonge nikatumia ni miaka 7 mpaka sasa sijawahi kuwa na upungufu wa nguvu za kiume kilichokuwa kinanisumbua ni hofu kutokujiamini,sio vidoge ndio vilivyoniponesha shida yangu bali vilinipa hali ya kujiamini dhidi ya hofu.wewe hauna tatizo ila hofu ndio imekutawala ubongoni
NB:hivyo vidoge usitumie bila ushauri wa Daktari
Umekosea kuni quoteKama unaweza simamisha mashine bila shida
Na akipita mwanamke mwenye msambwanda mkubwa mbele yako unasimamisha wewe hutakuwa huna tatizo la upungufu wa nguvu za kiume
Tatizo lako kujiamini tu.
Piga gemu mfululizo ku trigger confidence yako
Tuchukulia mbususu kitu cha kawaida unachokipeleka na kukiamuru unavyotaka (wanawake mtanisamehe).
Biashara tu hizi, hakuna mitishamba yoyote inayotibu hili Tatizo. Narudia tena, HAKUNA!NGUVU ZA KIUME DAWA IPO SASA
Tembelea KIZUMANGO HERBs CARE[emoji256] ukomboe Afya yako, Tunapatikana MANZESE MKUNGUNI STREETs ndani ya DAR:
JIPATIE POWER RIJAR (NGUVU ZA KIUME) LEO KWA 35000TSH KWA DOZI KAMILI YA CHUPA MBILI
POWER RIJAR ni ya milele-sio kwa siku moja tu. Kwa Upendo, Ushirikiano, na kazi imara kitandani. [emoji7]
USIKU mwema kwa watumiaji wetu wote wa POWER RIJAR.[emoji449][emoji449]
Jipatie leo POWER RIJAR kwa 35000tsh Tu Dozi kamili ya ujazo wa 500ml
[emoji273]MATUMIZI YA POWER RIJAR :
[emoji91]Tumia kijiko cha chakula 1 X 2 kwa siku
(KABLA YA KULA CHOCHOTE TULIA DAKIKA 10-15)
[emoji91]Huchanganyi na chochote unatumia kama iliyo
[emoji91]Dozi ni siku 15 Tu (inategemea na ukubwa wa tatizo)
[emoji91]Matokeo yanaweza kuwa haraka au mpaka mwisho wa dozi kutegemea na Hormonal reaction
[emoji91]Tingisha Chupa ya dawa vizuri kabla ya kutumia
#NB: Kama umekunywa POWER RIJAR saa 1:00am asubuhi hakikisha unakunywa POWER RIJAR saa 1:00 pm usiku
[emoji736]Gharama ya POWER RIJAR ni nafuu sana [emoji123][emoji123][emoji123]
Dozi ni 35000TSH TU
Manzese mkunguni street: DAR [emoji1241]
#migogorohakuna
#powerrijarmwanaume
#mwanaumekamili
#Powerrijarmkombozi
#rahamustareheeView attachment 2175967
Vipi umefata ushauri huo hapo mkuuMsaada wakuu tafadhali, ni miezi nane sasa toka nimekumbwa na hili tatizo la uume kusimama legelege na hata ikitokea umesimama...
HOSPITALVipi umefata ushauri huo hapo mkuu
Mwanamke mzuri na sexy ndio nguvu za kiume jameni. Yaani ukipiga bao demu lisi kali unaweza kaa ata wiki mbili huitaji mbususu
Hilo la kujua mapenzi ni suala lingine lakini mashine kukaa juu juu ni all down to uzuri wa mwanamke....yaani lady with thick thighs makes the 🍆 rise.Sasa mwanamke mzur tu alafu vip je anajua mapenz
Hilo la kujua mapenzi ni suala lingine lakini mashine kukaa juu juu ni all down to uzuri wa mwanamke....yaani lady with thick thighs makes the [emoji533] rise.