Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo


Huyu jamaa kama hataki kutoa information hapa basi tusimtafute. Anaweza kudai pesa kuwa anajua matibabu. Maelezo yake ni marefu ila hajatoa taarifa muhimu. Anaficha nn? Kwa nn asisaidie watu hapa?
 
Habarini mi nashida ya tatizo la nguvu za kiume na uume wangu mdogo sana kama wa mtoto nahitaji tiba nmeangaika sana nmekata tamaa ni muanga wa punyeto na xxx mwaka wa kumi huu unae da wa 11
Tambua sababu zinazosababisha ukose nguvu za kiume
1. Stress: zinasababisha kwa kupunguza uwezo wa mwili kufanya kazi kutoa hormone ya testosterone inayoleta hisia na kuongeza nguvu ya kusimamisha.
Ndo maana unashauriwa utafute kitu au sehemu ambayo haitakupa stress ndo unaweza kufanya kwa ufasaha

2. Upungufu wa hormone za kuleta hisia: unakuta mtu hana kabisa hisia ya tendo la ndoa au anafanya tu kumridhisha mwenzake, wakati mwingine hawezi kusimamisha, hii ni kwasababu homoni zake hazitoshi kufanya kazi.
Kwahiyo unatakiwa ufanye utaratibu wa kuweka homoni zako sawa

3. Misosi/ vyakula: mfano wa hivyo vyakula ni kula chips kwa sana, kutumia sana ngano, kula vyakula vya mafuta kama nyama za mdudu,
Ndo maana unakuta vijana wa maisha ya kawaida wana nguvu sana za kiume kulinganisha na vijana waliofanikiwa kutoboa.
Kwahiyo hata ukitoboa maisha hakikisha unakula vyakula vinavyofaa kwa afya ya mifupa na misuli

4. Kutokufanya mazoezi:
Hili ni tatizo kubwa sana tena sana, mwili usio na mazoezi unachoka haraka sana kuweza kumfikisha mwanamke.
Ndio maana vijana wanaofanya kazi ngumu huwa wako vizuri kitandani kulinganisha wale wa maofisini

Ukitaka kuepuka hili fanya mazoezi ya kuchuchumaa na kusimama kila siku mara 100 af kunywa tangawizi kikombe kimoja kila siku baada ya siku kazaa mpenzi wako atakuuliza unatumia dawa gani

5. Kunywa pombe kupita kiasi:
Pombe ni nzuri kwasababu inakuchelewesha kufika mwisho maana mawasiliano ya ubongo na mshine yanachelewa kufika,
Lakini ukizodisha pombe nguvu zako zinapungua kwa kupunguza mawasiliano ya hisia na ubongo wako.
Mwisho wa siku unakuwa mtu wa dakika tano umemaliza

6. Umri: umri wa mwanaume unavyozidi kuongezeka zile homoni za kusisimua huwa zinapungua na kusababisha kushindwa kuwamudu hawa vibinti.

Ukikumbana na tatizo hili tumia sana tangawizi na mazoezi ya kutosha ili kuamsha homoni zako zikae sawa
(mbadala wa tangawizi kuna dawa inafanya kazi hasa kwa watoto waliozaliwa wakiwa na hayo matatizo) inawasaidia sana pia wazee kurudisha heshima yao

7. Kuvuta sigara kwa muda mrefu: nina uncle wangu mmoja yeye huwa anasema kati ya madhara makubwa anayopata kwa kuvuta sigara ni aibu anayoipata kwa mke wake.
Sigara ukizubaa inapoteza kabisa uwezo wa kusimamisha na mbegu zako zinakuwa zinatoka kama maji

Ila alipona baada ya kuacha sigara na kuzibua mishipa yote kwa dawa maalumu

8. Matibabu ya hospitali: kuna watu nguvu zao zinapungua baada ya kuchomwa sindano vibaya, kupewa dawa zikawakataa, baada ya kufanyiwa operesheni.
Hapa siongei sana madaktari wenyewe wanajua wanaita ajali kazini

9. Kupata ajali: ajali za pikipiki zinapunguza sana ufanisi wa vijana,
Kiuno na mgongo ndo kiungo cha kila kitu.
Ukiteguka kidogo umekwisha
Ingawa hii inatibika kwa wataalamu wa mifupa.

10. Homoni zisizowiana: hii inatokea sana siku hizi hasa kwa watoto, kibaya zaidi wanakuwa hawajielewi ndo maana wanajikuta wameshaingia kwenye ushog
Unakuta mtoto ana miaka 14 lakini hajui kusimamisha labda awe amebanwa na mkojo tu
Hii ni mbaya sana jitahidi kumkagua mtoto wako au kuongea naye mara kwa mara
Hili tatizo linatibika kama atawahi
Kuna mtoto alikuwa anajificha lakini nikaambiwa na rafiki yake nikawaita wazazi wake tukamtafutia dawa akapona kabisa ndani ya wiki moja akaanza kukimbiza vibinti mtaani

11. Magonjwa yasiyo ya kuambukiza: kisukari, pressure,
Yanachangia sana, na haya yanaletwa na ulaji mbaya wa vyakula

12. Kitambi, tumbo kubwa, uzito uliopitiliza: Mwili unakuwa hauna balance na matokeo yake mashine inakuwa haina uwezo wa kufanya kazi kwa ufasaha

13. Mazingira na usafi: kuna watu akikutana na mwanamke mchafu au mazingira mabaya hamu ya kufanya inakata kabisa

Siku moja nimekaa na babu yangu 2016 nikawa namsimulia matatizo wanayoyapata vijana wa siku hizi hasa ya nguvu za kiume.
Huyo mzee alinipeleka pori moja huko Kagera akanionesha mti mmoja ambao
Unapatikana kwenye maeneo ya ikweta tu

Tukachukua hiyo dawa akaniambia zamani walikuwa wanawapatia watoto wanaozaliwa na hayo matatizo.

Habari njema ni kwamba matatizo yote hayo unaweza kuyatatua ndani ya siku tatu kwa dawa hii ya asili kabisa

Tupigie leo simu
Kwa ufafanuzi zaidi

Kuna dawa za aina tatu
Dawa za vyakula
Dawa za mazoezi
Dawa hii ambayo mimi naitumia kuwasaidia watu waliohangahika bila mafanikio

Rudisha furaha kwenye ndoa yako leo
 
1) Kuwahi kufika kileleni mapema sekunde chache au baada ya kugusa tu mlango wa uke na uume kuwa legelege.

2) Kukosa hamu ya tendo kabisa / kukosa msisimko/mihemko

3) Mwili kuchoka sana baada ya tendo la ndoa na huambatana na usingizi mzito sana.

4) Mbegu kutoka kidogo au hazitoki kabisa.

5) Uume kuwa lege lege wakati unashiriki tendo.

6) Uume kusinya na kuwa mdogo.

7) Kushindwa kurudia tendo kabisa.

8) Kuwa na hasira baada tu ya tendo.

Hizo ni baadhi ya dalili za upungufu wa nguvu za kiume, kama umeziona moja ya dalili hizo usipuuze, na kama unamfahamu mtu mwenye changamoto hizo usipuuze mpatie taarifa hii atakushukuru.

Kumbuka hilo tatizo likiwa sugu utapata shida sana kurejea ubora wa mwanzo, itakuwa ngumu sana na utadhalilika. Jenga afya yako sasa hivi, kwanini usubiri kesho?
 
ta
Tangazo lako la biashara halijajitosheleza
 
Njoo kwenye whats app 0712505049 nikupatie formula ya kutibu nguvu za kiume kwa matunda tu
Formula ni elfu 10 tu zipo tatu matunda ,maji ya uvugu vugu na tangawiz
Formula hazina mashart yoyote.
 
Njoo kwenye whats app 0712505049 nikupatie formula ya kutibu nguvu za kiume kwa matunda tu
Formula ni elfu 10 tu zipo tatu matunda ,maji ya uvugu vugu na tangawiz
Formula hazina mashart yoyote.
Huyo dokta WA instagram kawapiga sana watu hela kule na shughuda zake
 
Huyo dokta WA instagram kawapiga sana watu hela kule na shughuda zake
Kivip ndugu yangu coment yako inaumiza sanaa nitajie nan nimemfanyia hivyo dunia ni ndogo kufanya uovu mimi ndio mtu wa kwanza kufanya hii kitu mwaka 2015 niliowai kuwatibu na wao wakajifanya madoctor wakaanza kutibu watu shuuda za niliowasaidia ni nyingi njoo whats app uzione 0712505049
 
Habarini wakuu, nimepatwa na shida ya kutosimamisha na hata kukosa hamu ya tendo pia Kila nikiamka asubuhi haisimami kama mwanzo.
Umri wangu ni miaka 31. Nimehangaika kutafuta Tiba lakini Bado sijapona. Naomba kama Kuna mtu anajua tiba anisaidie please 😭😭😭
 
Hili tatizo toka likuanze ni muda gani? Na je umepata ajali hapa kati? Au kuna namna mfumo wako wa kimaisha umeyumba maybe ulikuwa vizur kiuchum ila now mambo hayako sawa? Jaribu kuelezea chanzo cha tatizo ila watu wajue pa kuanzia maana labda ww hauhitaji dawa unahitaji ushauri tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…