Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo


Pole sana..ushauri wangu fanya mazoezi na acha kula vitu vya kukaanga na vyenye mafuta mafuta
 
Kama upo serious njoo PM
 
Umeoa unamke
 
Mwenye tatizo nae kapatwa na tatizo maana hatoi ushirikiano.
 
Hapana sijapata ajali na Wala kiuchumi nipo vile vile mkuu, hii hali ilitokea ghafla tu kutosimamisha na kukosa hamu ya tendo. Nikatumia mitishamba angalau nikapata nafuu ila tatizo likajirudia Tena na bahati mbaya nilikuwa natumia Kila Aina ya mitishamba ninayoelekezwa so sikujua ni dawa ipi ilinipa nafuu.

Naomba kama Kuna mtu anajua tiba anisaidie please
 
Asante sana kwa ufafanuzi mzuri mkuu, mimi Nina tatizo kama hili mkuu naomba nije inbox na bahati nzuri nipo Moshi.
 
Naam ndugu zangu Leo kumekiwa na wimbi kubwa la vijana ambao wanalalamika tatizo la NGUVU za KIUME Sasa Mimi nakuelekeza dawa maalum Dawa hii haijalishi chanzo Cha Hilo tatizo ni nini Fanya hivi.

Chukua asali Lita moja.unga wa habat sauda ,unga wa tangawizi na unga wa hurba dawa zote hizo pima vijiko vi3 vi3 changanya katika asali tumia Kwa kunywa vijiko vi 3 Kwa Kila siku in Sha Allah utapona
 


1. Hofu Ya Mimba, Magonjwa, kufumaniwa N.k


2. Uchafu wa mwanamke (Ukeni, harufu ya mdomoni au mazingira mchafu ya kitandani au chumba.


3. Kukamia Mechi (amekula hela zako, umemmiss sana) N.k


4. Ugeni (Kusex kwa mara ya kwanza na mtu husika).


5. Kutokula vizuri (chakula dhaifu) (Njaa).


6. Mawazo hasi (alivyo na Tako kubwa nitamwaga mapema) inakutokea vile vile.


7. Kusex mara nyingi sana, Punyeto (Unapoteza stamina)


8. Kusex na usiye mpenda (hayupo moyoni) aidha ni ex wife au rafiki.


9. Aibu, Kutokujiamini, Kuhofia utaharibu kulingana na historia ya show mbovu hapo nyuma.


NB: Inawezekana wewe ni mzima kabisa una nguvu vizuri,


ila hizo sababu zikakufanya uperform chini ya kiwango, asilimia kubwa niswala la kisaikolojia..🧠
 
10. KUTOZAMA CHUMVINI

Unakuwa kama unaendesha gari bila kuliwasha
 
naenda kumnunulia Mr halafu nitaleta ushuhuda hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…