Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

Dawa nzuri ni lishe tu. kula mlo kamili, matund ana mboga mboga kama kawaida. pata muda wa kutosha kupumzika. epuka sigara na kunywa pombe kwa kiasi kama mywaji.
Kamanda kitambo sana mkongwe mwezangu
 
Kuongeza mbegu za kiume:
Kula sana korosho but they are expensive,

To improve your natural performance:
Kula na kunywa supu ya pweza kwa sana if possible three times@week.
Food rich in selenium is supposed to increase testosterone levels in the male body. Studies suggest that males who consume cashew in their balanced diet are supposed to have better testosterone levels than the people not consuming cashew in a healthy manner (high level ya testosterone ina ongeza LIBIDO na Sperm count)
 
Wakuu msaada wenu mninasue nnimgonjwa wa mda mrefu wa thyroids hyperthyroidsm nko kwenye dawa takribani miaka2.5

Sasa kama miezi2 nyuma hisia zimekua zikipotea sana ya kusimamisha kufanya tendo wapi uume inasimama inalala nkifanikiwa inalala humo ukeni.

Sasa nimekua mgonjwa wa bawasiri mda mrefu pia madonda ya tumbo..namwezi mmoja nyuma nimepima mafuta nna cholesterol imepanda kidogo, wakuu nisaidieni nin nifanye kuinusuru ndoa yangu,nateseka mawazo yanazid mke akitaka unakua nahofu kubwa

Msaada wenu unahitajika
 
Sio kweli mkuu...
Sema mengine siwezi nikayaandika hapa..🙈
 
Aziz ki njooo hukuu
Fasta
Si umeona watoto WA dada yetu

Na wewe toa wakoo
 

Pole sana.

Tatizo la hyperthyroidism huwa na madhara mengi mojawapo ikiwa ni hilo la kupungua kwa hamu ya tendo (reduced libido)/upungufu wa nguvu za kiume, ugumba (kwa mwanamke) nk.

Kutokana na sumu zinatokana na hilo tatizo la hyperthyroidism kuwa juu uzalishaji wa homoni za zinahusika na kuleta msisimko/hamu na uwezo wa kufanya tendo hufifishwa au kupotea kabisa hivyo mgonjwa hupata tatizo hilo la kushindwa kushiriki tendo ipasavyo na kwa wanawake husababisha ugumba.

Pamoja na kuzingatia matumizi ya dawa kwa ajili ya tatizo la hyperthyroidism ni muhimu pia daktari wako akakupima kiwango cha mafuta kwenye damu (cholesterol) na homoni walau kila baada ya miezi mitatu ili kusaidia kupunguza hali hiyo. Pia ni muhimu ukazingatia mlo kamili.

Kila la kheri.
 
 
 
Mkuu kama wiki moja nyuma nlipima cholestorole Ile LDL ipo juu vip nifanyaje kupunguza hiyo cholestorole,,vip kwa mgonjwa wahyperthyroidsm Kuna vyakula anaruhusiwa kula na ambavyo haruhusiwi kula,na vip swala la kufunga ramadhani kwa mgonjwa wa hyperthyroidsm Kuna weza mfanya ugonjwa ukazidi
 

Pole sana.

Nafikiri mfungo kwa upande wa wagonjwa huwa ni tofauti kidogo. Kama hali yako sio mbaya sana unaweza kufunga.

Kwa viwango vya juu vya LDL cha kufanya ni kuhakikisha unatumia vyakula vyenye wanga kiasi na pengine pamoja na dawa kama kutakuwa na uhitaji wake.

Kila la kheri.
 
Mkuu kwa cholesterol kuwa juu naweza kutumia korosho,maana mim huwa napenda kula korosho sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…