Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

"Some women are physically fit because running from one man to another"
Nina mwanaume NAmpenda Sana ila kwa bed sio mzuri Sana yupo mediocre.
So nikamua kuwa na mchepuko, huyu mchepuko alikua vizuri Sana...mwanaume mashine., Lahuala Tangu January kapoteza nguzu za kiume...hawezi Tena Kama zamani.. kwakweli nimepatwa na msiba mkubwa Sana...

Nimefanya kila namna kumrudiasha katika ubora wake lakini imeshindikana...imebidi nibaki na my love wangu.

Ushauri wa kurudisha nguvu za kiume.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
May be ana tatizo la kiafya hasa depression,kwakuwa haumpendi na ni mchepuko Tafuta mchepuko mwingine. Mchepuko ku-underpeform na huku hana kitu kingine cha ku-offer huo ni mzigo,Fanya usajiri mpya msimu huu wa Corona
Atakua na depression...ila nishampotezea naona Hana manufaaa Tena...akafilie mbali huko. Kashakua reject

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulisha enda hosiptali juuh ya tatizo lako la kusambaza muwasho kwenye madushe ya kinababa?

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Nimeenda aisee...nimepima HVS... Wamesema nipo pouwakabisa... Nikamuuliza myluv shida Ni Nini..tumekosa jibu

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa jikite kuongeza kipato chako na jikinge na corona kwa kunawa mikono yako kwa maji tiririka, epuka misongamano,na ikibidi tembea na kitakatisha mikono na kitumie marakwamara ,usipende kushika uso wako as addition

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Sasa jikite kuongeza kipato chako na jikinge na corona kwa kunawa mikono yako kwa maji tiririka, epuka misongamano,na ikibidi tembea na kitakatisha mikono na kitumie marakwamara ,usipende kushika uso wako as addition

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
Asante kwa ushauri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kupoteza nguvu za kiume una maanisha nini?

Mashine haisimami tena?

Mashine inasimama ila haina nguvu?

Akipiga bao 1 haendelei tena anakata moto?

Au hakufanyi kwa nguvu kama zamani?
Mashine yake imekua legelege, Yaaani haisimami vizuri Kama mwanzo, nahata ikiingia ndani inalala Yaaani akipump Mara mbili TU kamaliza. . ALIKUA anapenda kukaliwa juu ila mashine inakuwa haina hata nguvu ya kuweza kuingiza.

Amekuwa mtu wa MAWAZO Sana na Hana Raha...nimekwambia akapime kisukari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom