View attachment 1695288
ni jamii ya Viagra, naona hapo umenielewa, zipa aina nyingi kwenye haya Maduka, unaweza kuta Kamagra, Novagra etc zinasaidia kusuuma msumuka wa damu kule kwenye via vya kujamiiana kwa mwanamume au mwanamke
madhara yake naona ni mengi km kushambulia mishipa midogo kwani inapoenda ule chini inasababisha macho, moyo hata kuhema
zipza gram tofauti km 50g au 100g
ukizidisha zinaweza sababisha kifo
ufanyaji wake wa kazi ni lazima uwe na feeling karibu na mwenza la sivyo hazifanyi kazi ni madhara km hayo ya moyo kwenda mbia; zinatumika kwa wenye mri mkubwa, wenye magonjwa ya presha, sukari , uchovu nk, unaweza tumia na hcohcote hata kilevi isipokuwa kuna mahali wamekataza Wine
ni dawa za uhakika kuliko vumbi la Mcongo na mshubati al kasusu nk
mengine sijui lkn ngoja kina
Mzizi mkavu waje wao wana dawa mbadala na wanajua madhara yake