Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

Nguvu ni subjective. Kuna anayedhani kwenda dk 3 hana nguvu, mwingine anadhani dk 10 ni kidogo na pengine mwingine anasimamia kucha 35min bado anadhani ni kidogo and vise-versa. Sasa wewe twambie unakimbiza dk ngapi ????
Yan ata dakika simalizi
 
Usikubali kuibiwa pesa kwa kusaka nguvu za kiume.
Tafuta mtopetope pori kula magamba yake mate uyameze. Ukikosa hata mtopetope wa kisasa unaweza kukusaidia.
Utaponyesha tatizo moja kwa moja.
Dawa nyingi zinazouzwa mtandaoni ni catalyst tu zinaboost kwa muda mfupi.
 
Kuna ile unaendelea kupump and then ghafla feelings zinakata inanywea humo humo ndani.

Kuna ile unamaliza na haujisikii tena kuendelea bila kujali binti atajituma kiasi gani kukutia hamasa..
Hii ya ndan ya dakika nimemaliza. Na hai simami tena
 
Usikubali kuibiwa pesa kwa kusaka nguvu za kiume.
Tafuta mtopetope pori kula magamba yake mate uyameze. Ukikosa hata mtopetope wa kisasa unaweza kukusaidia.
Utaponyesha tatizo moja kwa moja.
Dawa nyingi zinazouzwa mtandaoni ni catalyst tu zinaboost kwa muda mfupi.

Hii unatumia kwa muda gani ??
 
Kama una uzito mkubwa au kitambi piga zoezi vikate. Pia check na kiwango chako Cha sukari..pendelea kunywa chai ya tangawizi , vitunguu swaumu na matikiti..
Napiga mazoez na sina kitambi boss wng mm niko slim na nimrefu kiasi
 
Usikubali kuibiwa pesa kwa kusaka nguvu za kiume.
Tafuta mtopetope pori kula magamba yake mate uyameze. Ukikosa hata mtopetope wa kisasa unaweza kukusaidia.
Utaponyesha tatizo moja kwa moja.
Dawa nyingi zinazouzwa mtandaoni ni catalyst tu zinaboost kwa muda mfupi.
Hapa nakula magamba ya tunda au mti??
 
Hali hio kawaida kwa sisi member wa chaputa....rafiki ako mkubwa anatakiwa kua mazoezi boss pia jitahid kula matunda🍌🍋🍊🍒🥑........kama una miaka 24 bas ndio wakat sahh wa kuacha chama ushakua mkubwa tongoza ugegede kila wikiend😎
 
Msahada ndugu zangu...mm n muadhirika wa tatizo la nguvu za kiume.

Imefikia hatuaa sasa nalisema hadharani nipate msahadaa...jman ndugu zangu naombeni msahada wa dawa jmn nateseka mwezenu ,mawazo na maneno ya kejeli kutoka kwa wanawake ninao kutana nao tfdhalini sanaa jmn naombeni msahadaa..
Mkuu pole kwa upungufu wa nguvu zako za kiume nitafute kwa wakati wako nipate kukutibia .
 
Back
Top Bottom