Tatizo la uume kupinda (Peyronie’s Disease): Fahamu chanzo na namna ya kutatua tatizo hili

Chunguza kushoto kunanini,kama mmea ukipindia mahali kwenye mwanga tunasema phototropisim,au ukifuata maji tunasema hydrotropism.sasa huo uume inaweza kuwa ni pussytropisim.

Ushauri; nunua rula ya mbao funga na kitambaa kuunyoosha
 
hahhahahhahahhahha pussytroprism
 
wewe kweli umetahiriwa juzi,ni kawaida uume kupinda,kuna ambayo yamepinda kuelekea juu kama mundu,yapo yaliyopinda kwenda chini kama taa za barabarani,nyingine zimepinda kushoto au kulia,zipo pia zilizojinyongorota kama ya bata!

tatizo lako umetahiriwa ukubwani hivyo ukawa unajificha hutaki kuoga na wenzako ndio maana unashangaa kitu kupinda,ni kawaida,kuhusu kusimama ndio uhai wenyewe huo!kawaida pia
 
dah mkuu unamabalaa wewe!!!subir utakapoanza kuchimba visima utanyooka tu.
 
We unaumwa woga.... Walibakia na dushe iliyonyooka baada ya kutahiriwa ni wachache sana... na vile vile inategemea ukiiweka kwenye chu.pi unailazia wapi...
 
Mkuu kupinda kwa dushe ni dalili ya kusaka G-spot!
Ikipinda kulia, kushoto, chini, juu ama kokote, we iache tu!
Acha dushe isake direction bana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…