Weka picha tuone.
View attachment 129583kama hivi au?
hii nadhani ni ndizi, au macho yangu makupekupe?
Huwa unachungulia wapi?mbona mingi imeenda upande........... lakini hata ukichungulia kwenye suruali zao unaona au wakitoka kuoga wamejifunga taulo hehehehehehe..... jaribu kuchungulia wenzio uone ni kwawida sana
wewe kweli umetahiriwa juzi,ni kawaida uume kupinda,kuna ambayo yamepinda kuelekea juu kama mundu,yapo yaliyopinda kwenda chini kama taa za barabarani,nyingine zimepinda kushoto au kulia,zipo pia zilizojinyongorota kama ya bata!
tatizo lako umetahiriwa ukubwani hivyo ukawa unajificha hutaki kuoga na wenzako ndio maana unashangaa kitu kupinda,ni kawaida,kuhusu kusimama ndio uhai wenyewe huo!kawaida pia
ndizi yenye kudadavua extent ya 'mpindo'
Mkuu kupinda kwa dushe ni dalili ya kusaka G-spot!
Ikipinda kulia, kushoto, chini, juu ama kokote, we iache tu!
Acha dushe isake direction bana!
Wakuu
Umri wangu ni miaka 24, nimechelewa sana kufanya tohara, nimetahiriwa miezi mitatu iliopita , tangu nifanye tohara naona kuna mabadiliko mengi, kwanza uume umeongezeka urefu, pili unasimama dede Mara kwa mara na kwa muda mrefu hadi nahisi maumivu na tatu umepinda kushoto.
Kwa unyenyekevu naomba Msaada wenu
ha haha jamni huwa macho hayana pazia jamani
hahahaaa! yangu imepindia wapi vile? sijaiangalia ati
naomba picha ya uliojinyongorota sijawah ona katika sampuli zangu
ni pm nikuonyeshe yangu