Tatizo la uume kupinda (Peyronie’s Disease): Fahamu chanzo na namna ya kutatua tatizo hili

Tatizo la uume kupinda (Peyronie’s Disease): Fahamu chanzo na namna ya kutatua tatizo hili

Swala la kupinda kwa mashine gun lisikuchanganye.ni uumbaji huo,ila ukiangalia kisayansi zaidi jambo hilo linatokea sababu ya kuvaa chupi zinazobana,chupi zinazobana husababisha kujenga mazoea kwa mb** kulalia sehem moja. Ushauri wangu acha kuvaa chupi mbano,tafuta boxer inayopwaya ili uipe mashine mazingira ya kuji stretch zaidi..:thumbup:
 
tembea na sindano, ikisimama tu inajidunga kavukavu, itakoma tu.
kuhusu kupinda, uwe unailazia kulia. kumbuka kuvaa boxer inayobana sana.
ukiona haisaidii, kamwone doct aliyekutahiri akurudishie soksi yako.
 
mbona mingi imeenda upande........... lakini hata ukichungulia kwenye suruali zao unaona au wakitoka kuoga wamejifunga taulo hehehehehehe..... jaribu kuchungulia wenzio uone ni kwawida sana
Huwa unachungulia wapi?
 
wewe kweli umetahiriwa juzi,ni kawaida uume kupinda,kuna ambayo yamepinda kuelekea juu kama mundu,yapo yaliyopinda kwenda chini kama taa za barabarani,nyingine zimepinda kushoto au kulia,zipo pia zilizojinyongorota kama ya bata!

tatizo lako umetahiriwa ukubwani hivyo ukawa unajificha hutaki kuoga na wenzako ndio maana unashangaa kitu kupinda,ni kawaida,kuhusu kusimama ndio uhai wenyewe huo!kawaida pia

naomba picha ya uliojinyongorota sijawah ona katika sampuli zangu
 
Ududu kupinda mbona kawaida sana ndugu? Na kwa taarifa unakusha vizuri sana kunako 6 kw 6
 
Wakuu

Umri wangu ni miaka 24, nimechelewa sana kufanya tohara, nimetahiriwa miezi mitatu iliopita , tangu nifanye tohara naona kuna mabadiliko mengi, kwanza uume umeongezeka urefu, pili unasimama dede Mara kwa mara na kwa muda mrefu hadi nahisi maumivu na tatu umepinda kushoto.
Kwa unyenyekevu naomba Msaada wenu

Tafuta kichongeo utanyooka tu mkuu!
 
Back
Top Bottom