DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Pole , ila hilo sio tatizo la kukunyima raha ..jikite zaidi kwenye kutafuta PESA hiyo ndo kila kitu itakupa utulivu .
At your age 21 yrs, doesn't matter ur penis is functional or is dysfunctional you need to abstain sex at any cost.
Money is everything , strive for money and live ur purpose
Unapokuwa duniani jikite katika kuishi kusudio lako tu ndo litakalokupa furaha , hivyo hilo tatizo lako sio kubwa kias cha kukunyima raha.
Endelea kutafuta tiba taratibu huku ukifurahia maisha usijipe stress , maana ngono sio starehe wala haina utamu wowote zaidi ya kupeana mimba tu.